Mstari gani au verse ya FID Q umekubamba?

Nawachota kihisia, nasota, je inatosha fidia
Shibe ya mdau hainilazi njaa sababu mganga yupo juu
Nafurahi ambavyo wadau wakimuona star wanalamba miguu
Asiye nihitaji simuhitaji, kamwe simuachi aje azinzi
Bandidu kama tsotsi sipigi goti ka' PNC
Hakuna ambae hakosi, labda ....kwa.....

[HASHTAG]#sumu[/HASHTAG]
 
Tusikutane leo mtaani halaf kesho uibuke ghetto/ nizungushe kidogo mwisho wa siku niingie mpeku/
Sijakupenda leo tu sababu tumekutana / nimekupenda long time hadi leo nakupenda sana/
Nikikutazama napata hisia za kuoa/ na sio kukudanganya kisha nikaishia kukoa
USINIKUBALI HARAKA
 
fid anampenda Sana tsosi tsosi,hata kwenye video ya walk it off,Yule jamaa anaepiga ngumi punch bag,ndio tsosi yule..
 
Nikiwa na cash Naka fresh kama cucumber
Huhu napapenda hapo....

Nikipata cash nakua fresh kama cucumber,nikiwa na dash nakua mjeshi bila full ngwamba,kwenda resi sioni kesi Mr Ku-banda,yakijiset.. sikwepeshi naweka juu chanda.. Niko fresh kula fresh ile fresh ya shamba fresh maujanja..Wawesh ile fresh inabamba,fresh kinanda..haukeshi kama hauko fresh umesanda....huhhuuuuuu

Nikikosea mnirekebishe nikatambie mtaani
 
Tusikutane leo mtaani halaf kesho uibuke ghetto/ nizungushe kidogo mwisho wa siku niingie mpeku/
Sijakupenda leo tu sababu tumekutana / nimekupenda long time hadi leo nakupenda sana/
Nikikutazama napata hisia za kuoa/ na sio kukudanganya kisha nikaishia kukoa
USINIKUBALI HARAKA
Oyooo hii naipendaga zaid,uyu baba lakini sa ingine ni ngumu kumwelewa
 
fid anampenda Sana tsosi tsosi,hata kwenye video ya walk it off,Yule jamaa anaepiga ngumi punch bag,ndio tsosi yule..
Kumbeee ntamwangalia vizur,naonaga mara nying anamtajaga sa mi sijuagi nafanya kukariri tu[emoji23]
Jamaa kama hanaga marafiki,lkn huku kuanza kugandana na wale alofanya nao rmx ya fresh dah!mtaan wanamsema kwamb kazingua
 
Huhu napapenda hapo....

Nikipata cash nakua fresh kama cucumber,nikiwa na dash nakua mjeshi bila full ngwamba,kwenda resi sioni kesi Mr Ku-banda,yakijiset.. sikwepeshi naweka juu chanda.. Niko fresh kula fresh ile fresh ya shamba fresh maujanja..Wawesh ile fresh inabamba,fresh kinanda..haukeshi kama hauko fresh umesanda....huhhuuuuuu

Nikikosea mnirekebishe nikatambie mtaani
fresh kama pipi ya minti,pimp pipi ya binti,hii sio piipiiiiii ya lift..hah
 
Kumbeee ntamwangalia vizur,naonaga mara nying anamtajaga sa mi sijuagi nafanya kukariri tu[emoji23]
Jamaa kama hanaga marafiki,lkn huku kuanza kugandana na wale alofanya nao rmx ya fresh dah!mtaan wanamsema kwamb kazingua
haha anazingua kweli..fid now kachoka..alivyotoa video ya fresh nkampa ukweli wake,,akanimaindii..
 
Sijui watafika au kwa spika tu kusikika kwa wahusika ujumbe utafika au kwa spika tu kusikika kwa wahusika ujumbe utafika
MWANZA MWANZA
 
haha anazingua kweli..fid now kachoka..alivyotoa video ya fresh nkampa ukweli wake,,akanimaindii..
Haha alihojiwa kwenye E news ya EATV akasema haon kama amezingua kwa sabu ye anaishi maisha yake,akisikiliz watu atafeli hahaha anaongea ivyo bila kucheka

Na kiukwel sijawah kumwona akicheka
 
Back
Top Bottom