Mstari gani au verse ya FID Q umekubamba?

Mstari gani au verse ya FID Q umekubamba?

"Dunia sio chafu chafu uchafu tukiutazama sumu ndani ya watu na ndo hapo hapo tunapokwama HAWAAMINI KATIKA KUUNDA DIAMOND AU KIBA WAWILI WANACHOAMINI NI KUMSHUSHA MMOJA ILI MMOJA AWE DEAL"

Sumu
 
Joh makini ndiyo real mc siyo farid kubanda. [emoji87]
Joh siku hizi sijui anaimba madudu gani ?
Hip hop sio hip hop mchiriku sio mchiriku yani basi tu na yeye aonekane ametoa ngoma mpya.

"Ukacha hisia zikuendeshe kwa ujeuli utaishia kufeli sababu neno la ukweli sio zuri na neno zuri halina ukweli .ntasahau vyote milele ntamkumbuka aliyeniumba na daily ntakaa mkao wa push up kama mbwa" FID Sumu
 
Kupata vichekesho vingine Kama hivi nitume msg kwenda number gani?
Ya fid Q.

Sasa wewe huoni fid hana kolabo za nje

Cheki joh x davido
Kata leta ilivyo simama...
[emoji4] [emoji444] [emoji441]
 
Joh siku hizi sijui anaimba madudu gani ?
Hip hop sio hip hop mchiriku sio mchiriku yani basi tu na yeye aonekane ametoa ngoma mpya.

"Ukacha hisia zikuendeshe kwa ujeuli utaishia kufeli sababu neno la ukweli sio zuri na neno zuri halina ukweli .ntasahau vyote milele ntamkumbuka aliyeniumba na daily ntakaa mkao wa push up kama mbwa" FID Sumu
We kaka muogope mungu,
Joh makini fundi toka zamani
Legend joh makini [emoji87] [emoji15]
 
Ya fid Q.

Sasa wewe huoni fid hana kolabo za nje

Cheki joh x davido
Kata leta ilivyo simama...
[emoji4] [emoji444] [emoji441]
Kwanza sisikilizi wanigeria kabisa. Wanapiga kelele tu

Pili, colabo sio kipimo cha ubora

Tatu, mstari mmoja tu wa FidQ unaweza maliza career ya Joh. Baada ya Niaje ni vp Joh kabaki kuimba nursery rhymes tu

FidQ ni zawadi kwa watanzania.
 
Ya fid Q.

Sasa wewe huoni fid hana kolabo za nje

Cheki joh x davido
Kata leta ilivyo simama...
[emoji4] [emoji444] [emoji441]
Hii collabo inachekesha sana ...yaani bora usiwe na collabo kuliko kuwa na collabo ya hivyo.... hivi unajua kama davido hajawahi kuipost hio ngoma hata siku moja??

Halafu ukiongelea wasanii wa kimataifa fid ana collabo na diamond tena diamond ndo alimuomba fid atolee rmx ngoma yake (diamond ni msanii wa kimataifa zaidi ya davido kwa sasa)
 
Kwanza sisikilizi wanigeria kabisa. Wanapiga kelele tu

Pili, colabo sio kipimo cha ubora

Tatu, mstari mmoja tu wa FidQ unaweza maliza career ya Joh. Baada ya Niaje ni vp Joh kabaki kuimba nursery rhymes tu

FidQ ni zawadi kwa watanzania.
1. Wewe ni shabiki.
2. Endelea kuwa shabiki wa "NGOSha"
3. Hujui chochote kuhusu muziki wa rap
4. Acha kufuata mkumbo.
5. Ukubali ukatae joh is a king of rap in east africa.
[emoji4]
 
Joh ni fundi wewe east Africa wanamuelewa,
Akiingia coke studio wasanii wanamgombania
Bila joh hip hop East Africa haisogei.

[emoji4]
 
1. Wewe ni shabiki.
2. Endelea kuwa shabiki wa "NGOSha"
3. Hujui chochote kuhusu muziki wa rap
4. Acha kufuata mkumbo.
5. Ukubali ukatae joh is a king of rap in east africa.
[emoji4]
Uko Sirias kabsa? Huyo Joh Makini hata kwa Khaligraph Jones hajafika,,, hlf unasema ni king wa East Afrika
 
Uko Sirias kabsa? Huyo Joh Makini hata kwa Khaligraph Jones hajafika,,, hlf unasema ni king wa East Afrika
Khali Jones katoka kimziki baada ya kumuomba joh afanye naye kolabo joh akamwambia bdo u.ground ndyo akamfanyia mchakato Rosa ree wakatoa one time remix [emoji4]
Ukibisha kesho nakupa no ya nahreel umuulze
 
Unataka kusema One Time remix ndo imemtoa Khali?
 
Dunia mwendo wa Ngisi, kung'aa sio lazima Star ashushwe
 
Back
Top Bottom