Mstari gani au verse ya FID Q umekubamba?

Mstari gani au verse ya FID Q umekubamba?

Hii list ni Top 20 ya Afrika inamuda kdgo toka imetoka,,,tizama mwenyew huyo king wako yupo nafasi ya ngapi

:Source,,, sahiphopmag.co SAHIPHOPMAG ni jarida maarufu sana kwa muziki wa HipHop na lipo SA
IMG_20180320_201115_724.JPG
 
1. Wewe ni shabiki.
2. Endelea kuwa shabiki wa "NGOSha"
3. Hujui chochote kuhusu muziki wa rap
4. Acha kufuata mkumbo.
5. Ukubali ukatae joh is a king of rap in east africa.
[emoji4]

Naona bado u mtoto ubongo wako hauwezi comprehend mistari mizito ya Fid, endelea kusikiliza nursery rhymes za Joh.

Kwa kukusaidia kuna Fidictionary kuwasaidia watu kama wewe wasioweza kunyambua uzito wa mistari ya Fid
 
Ukienda kasi utaona life iko fast,
Kiasi Kwamba ata your first lover hawezi kua Last
 
Back
Top Bottom