Mstari gani au verse ya FID Q umekubamba?

Achana na jamaa anaependa kujiita King,,haja Fanya kitu chochote kwenye Rap Game ya Bongo,,but kwa Ngosha,Bandidu,Jasiri.,mwanamalundi..ndio Real MC kwenye Game,,size yake wengi wapo hoi kwa madawa,baadhi wapo kwenye Siasa,Wengine Wapo Busy na maisha Nje ya Music..RIP Langa&Ngwair..

Dondosha Mstari wa Fid unaoupenda,Ku prove kwa haters kua NGOSHA sio wa kawaida..naanza

''The Pablos and the Narcos are Formal,Bro's like Warner so the options are PLATA OR PLOMO"
You nailed It, Forest Hill .

IELEWE MITAA kwanza ndipo ujue kuwa siyo PROPAGANDA. BONGO HIP HOP ni BENDERA YA CHUMA ambayo kuanzia AGOSTI 13 ilianza kupepea nusu mlingoti kwa JUHUDI ZA WASIOJIWEZA. Hiyo yote ni kwa sababu SUMU yake inatoka ndani ya ROHO, ukiikunja mbona FRESH?.

N'natamani unge-add kitu kingine, "Ni katika kitabu gani, cha nani, na kinaitwaje"?, Ni quotes ya nani na aliisema wapi?, na kadhalika. Ingefana sana na kutufanya kuumiza vichwa as we called " Great Thinker's".

Examples--

Kumbuka A small leak will sink a ship- Fid Q- Propaganda.

Hii ni quotes ya Benjamin Franklin, Founding Father of USA. Author, printer, political theorist, politician, scientist, inventor, humorist, civic activist, statesman etc.

Penzi ni kipofu na anayependa halioni- Fid Q ft Majani-Bongo HIPHOP.

Shakespeare katika The Merchant Of Venice.

Mzowea punda hapandi farasi- Fid Q ft Bi Kidude-Juhudi za wasiojiweza.

Kutoka katika Kitabu, Asali Chungu-Said Ahmed Mohamed, Pg 25.

Amani kwa Chachage na Makuadi wa soko huria,
Baba ahsante kwa utafiti na zawadi ya Almasi bandia.

Nilichoki-bold hapo juu ni vitabu vya Prof Chachage Seith L Chachage (R.I.P), aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Sosholojia & Anthropodia pale UDSM. Usiikose Makuadi wa soko huria, Tafadhali.

Maisha ni kama kiio, ukiyachekea nayo yanacheka- Fid Q-Agosti 13.

Hii ni quotes ya Shakespeare-The world is a mirror, laugh before it and it laughs back at you”..

Ukishindwa kujiandaa, Jiandae kushindwa- Fid Q

Hii pia ni quotes ya Benjamin Franklin- If you fail to plan, You plan to fail.

Wimbo wa Propaganda ni Kitabu "Falsehood in war time".

Pia alikuwa akiizungumzia documentary ya "Darwin's nightmare" ya Hubert Sauper aliyoifanya Lake Victoria, Mwanza. Uki-connect dots kati ya kitabu Falsehood & Darwin Nightmare utaelewa n'nachokimaanisha.

Hapo ni kwa baadhi tu. Sasa tunaweza kuendelea kutiririka…

Cc-- Alisina, Jolie Jolie , Palantir, xav bero, mumu , Jambazi , Nabii kibonge .
 
"Money wouldn't have value if women didn't exist" - Aristotle Onasis
"we should not wait for the sea to rest, so as to sail rather we should learn to sail with the waves" - Aristotle Onasis
 
Habari za siku Dahafrazeril,

Heshima kwako umechambua vyema sana,hongera sana.

Huyu jamaa(fid q) anasoma sana vitabu jambo ambalo ni zuri kabisa,baadhi ya verse zake huwa nakumbana nazo katika vitabu.A book is a gift you can open again and again.

Benjamin Franklin "Eat to live rather than live to eat" Nadhani katika wimbo wa propaganda aliweza kuichezea chezea vyema hii nukuu ya bwana benjamini na ikaleta tafakari pana.

Elimu kubwa ipo vitabuni,The more the learn the less you know.
 
Greeting's, Alisina .

Amani kwa Chachage na Makuadi wa soko huria,
Baba ahsante kwa utafiti na zawadi ya Almasi bandia.

Fid Q ft Juma Nature--Siri ya Mchezo.

Enenda ukatafute hivyo vitabu nilivyovi-bold hapo Juu. Hutojuta kamwe, Japo ni expensive kidogo. Lastly niliviona Samora Avenue, TPH Bookshop.

Hekima Ni Nuru.
"Aaaaah aaaah fid q, fid q,fid q kitu gani,halafu Mimi ananiudhi kujifanya anapenda mademu wa kizungu"- Fid Q--Ni hayo.

"Ujinga ni mjukuu wa woga yule aliyemzaa chuki"- Fid Q--Ielewe mitaa.

Hicho kitabu cha chachage Makuwadi wa soko huria niliwahi kukisoma juu sana miaka mitano imepita sasa,kama unaweza kuwa na softcopy yake waweza kunisaidia.
 
Salamu, Alisina .

Sina nakala laini (softcopy). N'na hardcopy pekee, na nipo mbali kwa sasa. Ila kama utaweza kuagiza/kukifuata bookshop utakuwa umesaidika sana.

Kwa Dar es salaam, utakipata pale TPH.
 
hapa huwa sijaelewa anamaana gani..FRESH/cucumber
Nikiwa na cash, nakuwa fresh kama cucumber 🥒

Yaani hana tabu, ni mtu wa lowkey, anaweza kuwa na pesa na asiwe na mbwembwe, anapoa tu kama tango.
 
Back
Top Bottom