Money makes a man but love Ni Hustle,,you know who you love,but you don't know who loves youYou know who u love, but you dont know who loves you
maneno yangu mi ya moto,na mdomo wangu hauna fridge,navyoyatema bila kupooza jiulize nliyameza vipiManeno yangu mi ya moto na mdomo wang hauna frig ya kuyapooza
HatariMoney makes a man but love Ni Hustle,,you know who you love,but you don't know who loves you
wadau wana wasanii wabovu,je wakali watatoka vipi..hahWabana pua kuimba mapenzi ,je itafanya ukimwi usepe?
Media zinapromoti beef ‘’wanadai zinakuza muziki’’
Sijui nini na nini nimesahau uko mbele huhuhuu[emoji125] [emoji125]
Ogopa kuolewa haraka kama unaogopa tarakaHatari
HahahahaOgopa kuolewa haraka kama unaogopa taraka
chagua moja ,ufiche uchi au uvue chupi uzaeMachizi sikusoma nao, tulikutana tu mtaani,udogoni sikucheza nao lakini ndo machizi wa ukubwani
[emoji23] [emoji23]chagua moja ,ufiche uchi au uvue chupi uzae