Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,899
- Thread starter
- #121
hapa huwa sijaelewa anamaana gani..FRESH/cucumberNikiwa na cash Naka fresh kama cucumber
hapa huwa sijaelewa anamaana gani..FRESH/cucumberNikiwa na cash Naka fresh kama cucumber
Poapoasorry mkuu..
mwanaharakati kama mkapa shingoni nina cheni ya gold.kumbuka a small leak will sink a ship
amenyae kwa mdomo siku zote ahishi kutemamwanaharakati kama mkapa shingoni nina cheni ya gold.
nuru bandia za shetani hazitabadili imaniamenyae kwa mdomo siku zote ahishi kutema
gonsha anaimba vitu konki sana"amenyae kwa mdomo siku zote haishi tutema"
Really????ngoma gani hii
Hata mi sielewagi kabisahapa huwa sijaelewa anamaana gani..FRESH/cucumber
mstari naupenda huuSikuumbwa nije ni settle for less naisubiri mvua inyeshe nijitokeze Ku dance
Aisee nimemsoma, huyu jamaa kweli ubongo WA Shakespearehapa huwa sijaelewa anamaana gani..FRESH/cucumber
Unajua alimaanisha ninimstari naupenda huu
Kaka hii ngoma unayo?? Nmeitafuta sanaNapokuja, siji kwa speed ya kishamba
Wanashtuka fid siku hiz ana kifrij
Sio mwembamba
Mimi ndo gwiji toka jiji lenye miamba
Siwapig kamba sauti ya rock city itazid tamba ha ha ha fid Q fet Nako - hakuna
i am a professional!..Weeeeeeeeraweeera niljua ni sias pekee ndo unaziweza