Niweke picha kwa faida ya member au🫣Wa nani uko kwenye hali mbaya😂
Usije ukaja wenye ulimi douta ohoo..
Mtaje tumjue chicaNikutaje?? 😅😎
Umdhania ndie kumbe sie kaa chonjo😎
Hivi kuna faida gani katika kuanikana?
For me hiyo hiawezi tokea kamwe
Jf msiri wangu ni mimi mwenyewe na roho yangu ,kwenye maisha ni kosa kubwa sana mwamini binadamu yoyote ,labda wazazi wako tuNamalizia mwezi wangu ndani ya chitchat nisepe zangu kulekule..!
Kila mtu kila mahali ana MSIRI wake kwenye kila Jambo.
Je wewe MSIRI wako ni nani JF?
Una hakika hata akilewa hawezi kufunguka?
Weka mama! Hakikisha tu mashoga mbuzi hawakinasi 😃Niweke picha kwa faida ya member au🫣
Sasa si linahama kisirisiri halianikwi humu ndani🥲Kuanikana JF kupo hivi, file lako linahama, labda chukulia mfano file lako lipo kwa Binti wa zamani , linahama linakuja kwa Seran , na yeye analihamisha analileta kwa jamaa yake min -me , kwa iyo unakuta file lako tayari watu kibao wanalo hapa jamvini. 😁
Hiii mbona safiiiKuanikana JF kupo hivi, file lako linahama, labda chukulia mfano file lako lipo kwa Binti wa zamani , linahama linakuja kwa Seran , na yeye analihamisha analileta kwa jamaa yake min -me , kwa iyo unakuta file lako tayari watu kibao wanalo hapa jamvini. 😁
HehehehWeka mama! Hakikisha tu mashoga mbuzi hawakinasi 😃
Mi sina uoga wowote sema tu sipendagi tu mamishe ya kujuana sana!Muda wote huo nije kumuuza leo lol! Acha uoga mkuu jitungue usiogope mambo ya mauzo😄
Waliouzwa na wanaouza wamepata faida gani so far zaidi ya kujiona wako perfect kuzidi wenzao!?
Ngoja aje 😀Mtaje tumjue chica
Stay private, simple..Mi sina uoga wowote sema tu sipendagi tu mamishe ya kujuana sana!
Akija unishtue 😀Ngoja aje 😀
Hakuna shida hata upo kwenye hali nzuri🏃♂️🏃♂️🏃♂️😎