Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,338
- 56,039
- Thread starter
- #41
Kuna faida zipi huko?Sisi ni mamaz boy! Njoo upande huu.

Ni starehe kama nyingine zile oyaoyaKuna faida zipi huko?
Wanaishia kupapasa na kulala usingiziKutokana na changamoto za kimwili na kiafya, nimeshauriwa niache kwa muda kunywa pombe.
Sasa najihisi kama niko kifungoni, sifurahii maisha kabisa; nakunywa juisi, soda, maji n.k nyama zote nakula, natembea kutoka pointi moja hadi nyingine, totozi hakuna shida.
Pamoja na yote hayo, naona sifurahii maisha kabisa kwa sababu ya kutokunywa pombe, najiona napwaya kabisa.
Kama ni viwanja, wale wakaribu yangu watakunywa pombe ila mimi napiga tu maji na juisi tu.
Wakuu, msiokunywa pombe, mnafurahiaje maisha?
Hauko kifungoni, unatoka kifungoni kuja kwny uhuru.. pombe haijawahi muacha mtu salama abadaniKweli mkuu, inafikia hatua nikiwa kiwanja kwa wale walionizoea wananiletea chupa kadhaa, inabidi wale walioko karibu yangu wazitumie.
Ingawa niko kama vile kifungoni; sioni umuhimu wa vingine kwa sababu ile furaha 'vibe' sina.
Nilijuwa haiwezekaniKutokana na changamoto za kimwili na kiafya, nimeshauriwa niache kwa muda kunywa pombe.
Sasa najihisi kama niko kifungoni, sifurahii maisha kabisa; nakunywa juisi, soda, maji n.k nyama zote nakula, natembea kutoka pointi moja hadi nyingine, totozi hakuna shida.
Pamoja na yote hayo, naona sifurahii maisha kabisa kwa sababu ya kutokunywa pombe, najiona napwaya kabisa.
Kama ni viwanja, wale wakaribu yangu watakunywa pombe ila mimi napiga tu maji na juisi tu.
Wakuu, msiokunywa pombe, mnafurahiaje maisha?
Welcome to the club...Kutokana na changamoto za kimwili na kiafya, nimeshauriwa niache kwa muda kunywa pombe.
Sasa najihisi kama niko kifungoni, sifurahii maisha kabisa; nakunywa juisi, soda, maji n.k nyama zote nakula, natembea kutoka pointi moja hadi nyingine, totozi hakuna shida.
Pamoja na yote hayo, naona sifurahii maisha kabisa kwa sababu ya kutokunywa pombe, najiona napwaya kabisa.
Kama ni viwanja, wale wakaribu yangu watakunywa pombe ila mimi napiga tu maji na juisi tu.
Wakuu, msiokunywa pombe, mnafurahiaje maisha?
Pole yake. Atazoea tu na ataona ni kawaida kuishi bila ya pombePole Sana mkuu ngoja niite jopo langu.
Cc. min -me , secretarybird , Monetary doctor , Harmful , Castle_Lite
E.t.c
Itawale akili yako na sio kutawaliwa na mwiliNiifanyeje mkuu?
🙌mie binafsi najifungia ndani na hizi hapa, sitoki nje kama mwali, majirani wanahisi nimesafiri
View attachment 3394967
Nikihisi nyege, nyeto inahusika
nikitaka kisinia sitoki, ni kuagizia toka mbali
😂😂😂Ilikuwa ina nipa 'vibe' sana, ila ndio hivyo tena, afya ni muhimu zaidi; inabidi kuishi kama nipo kifungoni.
Mkuu itakuwa kama utambimie binafsi najifungia ndani na hizi hapa, sitoki nje kama mwali, majirani wanahisi nimesafiri
View attachment 3394967
Nikihisi nyege, nyeto inahusika
nikitaka kisinia sitoki, ni kuagizia toka mbali
Anza na ugoro usipoelewaKutokana na changamoto za kimwili na kiafya, nimeshauriwa niache kwa muda kunywa pombe.