Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,283
- 55,899
- Thread starter
- #21
Unahuzunika kutokula kitu kinachokidhuru? Kama umeacha pombe,juisi pia sio option nzuri kwako mkuu
Kweli mkuu, inafikia hatua nikiwa kiwanja kwa wale walionizoea wananiletea chupa kadhaa, inabidi wale walioko karibu yangu wazitumie.
Ingawa niko kama vile kifungoni; sioni umuhimu wa vingine kwa sababu ile furaha 'vibe' sina.
Ingawa niko kama vile kifungoni; sioni umuhimu wa vingine kwa sababu ile furaha 'vibe' sina.