Msiokunywa pombe, mnastarehe vipi?

Msiokunywa pombe, mnastarehe vipi?

Anza na ugoro usipoelewa
Piga ganja tena high grade
Alaf Kuna mirungi
Bado shishaaa
Sigaraa kama zote
Mbona vilevi vingi tuh acha kujitesa
Ugoro ni kitu hatari Sanaa siku zoteee huwa na shangaa vijana walio jiingiza hukooooo kwenye ugoro na pombe Kali

Maajabu Sana zamani wazee walitumia kama Dawa Ila vijana Wana miss use
 
Msiache pombe mkiacha tutakosa watu wa kuwadharau mtaani
Unaugua wewe sio bureeeee

Screenshot_20241130-191812.png

Screenshot_20241112-171357.png
Screenshot_20241112-171917.png


Naita jopo langu
min -me
MENEMENE TEKERI NA PERESI
secretarybird
Monetary doctor
Harmful
dosho12
Castle_Lite

E.t.c
 
Kutokana na changamoto za kimwili na kiafya, nimeshauriwa niache kwa muda kunywa pombe.

Sasa najihisi kama niko kifungoni, sifurahii maisha kabisa; nakunywa juisi, soda, maji n.k nyama zote nakula, natembea kutoka pointi moja hadi nyingine, totozi hakuna shida.

Pamoja na yote hayo, naona sifurahii maisha kabisa kwa sababu ya kutokunywa pombe, najiona napwaya kabisa.

Kama ni viwanja, wale wakaribu yangu watakunywa pombe ila mimi napiga tu maji na juisi tu.

Wakuu, msiokunywa pombe, mnafurahiaje maisha?​
K ni zaidi ya pombe.
 
Have you tried weed?
Ifanye Combo ya Weed+books au Weed+Body2body Massage.
 
Ujanani ukiweza kuepuka pombe na wanawake umewin maisha,,,,, kuna jinamiz la kubet limekuja kwa kasi sana, vijana wanaangamia huko !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom