Mkuu unapatikana wapi?mie binafsi najifungia ndani na hizi hapa, sitoki nje kama mwali, majirani wanahisi nimesafiri
View attachment 3394967
Nikihisi nyege, nyeto inahusika
nikitaka kisinia sitoki, ni kuagizia toka mbali
Masanganya moja, KisaraweMkuu unapatikana wapi?
Sawa mkuu ungekuw dar ningekuja na external iyo mizigo sio poa hasa eurotruck nimekumbuka mbali sana.Masanganya moja, Kisarawe
Mimi sinywi pombe na nafurahia maisha kwa kumtukuza Mungu bila kupepesukapepesuka.Kutokana na changamoto za kimwili na kiafya, nimeshauriwa niache kwa muda kunywa pombe.
Sasa najihisi kama niko kifungoni, sifurahii maisha kabisa; nakunywa juisi, soda, maji n.k nyama zote nakula, natembea kutoka pointi moja hadi nyingine, totozi hakuna shida.
Pamoja na yote hayo, naona sifurahii maisha kabisa kwa sababu ya kutokunywa pombe, najiona napwaya kabisa.
Kama ni viwanja, wale wakaribu yangu watakunywa pombe ila mimi napiga tu maji na juisi tu.
Wakuu, msiokunywa pombe, mnafurahiaje maisha?
mkuu mbona wapo wanauza hizo(bei elekezi 5000/- kwa moja) mmoja huyu hapaSawa mkuu ungekuw dar ningekuja na external iyo mizigo sio poa hasa eurotruck nimekumbuka mbali sana.
Hivi huwa nn side effects ya weed?Have you tried weed?
Ifanye Combo ya Weed+books au Weed+Body2body Massage.
asant sanaamkuu mbona wapo wanauza hizo(bei elekezi 5000/- kwa moja) mmoja huyu hapa
ila karibia zote hapo ukiwa na video kadi ndo sitacheza vyema
Haaahaa 😊 😅 😅 🤣Kama baba alikuwa mnywaji mzuri kwa nini Mimi nisiwe mnywaji?
Namaanisha baba wa taifa na siyo baba levo.
sijawahi kuona watu wapumbavu kama walevi kwa kweliMsiache pombe mkiacha tutakosa watu wa kuwadharau mtaani
Si unajua vijana wa siku hizo baba waneyemjua ni Levo tu.Haaahaa 😊 😅 😅 🤣
Noma SANAASi unajua vijana wa siku hizo baba waneyemjua ni Levo tu.
Effects za weed ni kama vile short memory kuathirika kwa muda mfupi (ukiwa high), kuwa na njaa kali na kuwa emotional sana (itafuatana sasa emotion gani Iko triggered).Hivi huwa nn side effects ya weed?
Sijapata furaha yoyote nilijaribu bangi ila nayo ikagoma in short cjapata furaha yoyote kama niliyokua napata kwenye pombeJe kuacha kwako pombe kumekupa furaha yoyote kimaisha?
Mi kwangu naona ni mateso, ata umuhimu wa kutafuta hela nyingi unakuwa haupo, kwa sababu matumizi yanayonipa furaha hayapo.
Sasa ukiambiwa unachangamoto za kiafya je zitatoka kwa kunywa pombe? Pombe ni mlango wa shetani kama utakunywa na kulewa.Utaanza kupata hamu ya kufanya mambo yasiyofaa kwa raha za shetani.Ukilewa shetani anachukua usukani na kufanya atakayo kwa kutumia mwili wako.Kunywa pombe tu mkuu, usiwaze sana we kunywa tu
Wengi wao ni wapiga punyeto tuKutokana na changamoto za kimwili na kiafya, nimeshauriwa niache kwa muda kunywa pombe.
Sasa najihisi kama niko kifungoni, sifurahii maisha kabisa; nakunywa juisi, soda, maji n.k nyama zote nakula, natembea kutoka pointi moja hadi nyingine, totozi hakuna shida.
Pamoja na yote hayo, naona sifurahii maisha kabisa kwa sababu ya kutokunywa pombe, najiona napwaya kabisa.
Kama ni viwanja, wale wakaribu yangu watakunywa pombe ila mimi napiga tu maji na juisi tu.
Wakuu, msiokunywa pombe, mnafurahiaje maisha?