Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,050
- Thread starter
- #61
Last edited by a moderator:
Naona Watu wanaokufanyia counseling wazuri sana, umeshapata nguvu za kuishi tena na kurudi jukwaani? Karibu tena, sisi tunakupenda, regardlessFP unasemaje?
teh teh teh!!! nenda kwa wakati ndio sasa mganga wa jadi kutoka ufipa...amekuja na dawa ya kumuweka mpenzi wako kwenye kiganja.
CL na wewe umeanza lini tabia za vijana wa yuvisisiem?
Mbona alimshindwa nanhii mpaka alidata kidogo alazwe? charminglady unayasikia haya?
nimewamissini chit chatters! mambo niaje humu ndani?? shkamoo Bishanga! wengine woteeeee mmmmwwwaaahhhhhhh!