CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
mkuu Judgment nimeangalia bana ndo maana nikasema taratibu
yako mengi sana ya Nicas Mtei yanajulikana ila nimeamua kukaa kimya asije akaumbuka mzee mzima hapa
mkuu Judgment nimeangalia bana ndo maana nikasema taratibu
yako mengi sana ya Nicas Mtei yanajulikana ila nimeamua kukaa kimya asije akaumbuka mzee mzima hapa
No no kaka
Mi si nasema kweli mkuu au hapo naongopa
Mi na Erickb52 hatuna ushirika kabisa wala hatuna utani
Utani wetu ni wa ngumi tuu akileta za kuleta anapata za uso
charminglady nimekumisije wewe
uko salama aise
Mbona hujanipigia kura kuwa mheshimiwa supika mzee wa mwongozo
Naruhusiwa kukupa busu aise
(mwahhaaa ,wahhaaa kwenye mabano mtu asione)
Hvi ulfanikiwa kumkamata yule dada poa wa pale Sekei alyekuotea juzi?
charminglady nimekumisije wewe
uko salama aise
Mbona hujanipigia kura kuwa mheshimiwa supika mzee wa mwongozo
Naruhusiwa kukupa busu aise
(mwahhaaa ,wahhaaa kwenye mabano mtu asione)
Mhhh na wewe Nicas Mtei umeanza biashara ya najungu sasa
Ndo nini kutoa siri za kikao cha chama hadharani hivi
Hiyo ilikuwa double na Erickb52 maana tulikuwa tunamwania kwa pamoja ila Erickb52 aliliwa pesa zake ila mimi nilifanikiwa
Huyu hana lolote, tangu aende kuchukua majibu hainekani sana huku, nadhani bado yupo kwenye madarasa ya ushauri nasaha, lol!mimi nilipata wasiwasi nikadhani na wewe umejumuishwa kwenye kesi ya akina Ponda
Hivi Mr Rocky wanao wa Meatu hawajambo?Mhhh na wewe Nicas Mtei umeanza biashara ya najungu sasa
Ndo nini kutoa siri za kikao cha chama hadharani hivi
Hiyo ilikuwa double na Erickb52 maana tulikuwa tunamwania kwa pamoja ila Erickb52 aliliwa pesa zake ila mimi nilifanikiwa
Heheheheeee #justloughingShem Erickb52 mie sijasikia kabisa!!!
Chariminglady im #justMissingYoumh, nami mie mekumiss pia. sijaingia kwenye ule uzi. n-way ngoja nkatie timu!