msinione kimya jamani....

huna lolote wewe,ulindwe wewe,ungelindwa Amyner angekuacha ndani akaenda kwa .arushaone?
Bishanga nitake radhi....Sina ushindani na Arushaone na ArushaOne mwenyewe anajua mi nani so hawezi kujiingiza kwenye anga zangu hovyohovyo.....Mi niko najaribu kufikiria Mr Rocky nimfanyaje coz ndio kidogo ananiumiza kichwa na majungu yake ila poa tu dawa yake ipo
 
Last edited by a moderator:

Mr Rocky is heavily married,acheni kumfundisha ubazazi wenu.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga mara ya mwisho naona uliaga unaenda kupima afya kwa hiyo nafiki ukimya wako unahusiana na majibu uliyopewa.its my assumption
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom