Chezeiya Kongosho weiye? Mtoto kafundwa kafundika,toka azaliwe hajawahi kuvaa kufuli,yeye ni kazi tu.Unadhani umeongea?
Bado hujasema ! Na bado , Utatoa siri zako zote !
Kufilisika mchezo, nakuoneaje "uluma"
so far umewekwa kihaus na Konnie unalishwa!
Unaveshwa, na matumbuzi mengine juu ya anaekuelea !
Pole wee BEPARI USED !
Si useme tuu umefulia na hela ya net huna
tajiri la kihaya linakosa hata ipad na blackberry na iphone za kukaa hata kitandani unachat huku ukipepewa Bishanga shikamooo
Si useme tuu umefulia na hela ya net huna
tajiri la kihaya linakosa hata ipad na blackberry na iphone za kukaa hata kitandani unachat huku ukipepewa Bishanga shikamooo
Mmmhhhh?????Erickb52 habari yako iya ndani bana
Please please pulizi usitoe siri yangu ya juzi kuwa nililizwa na yule dada poa
Ukiitoa tuu nakufungulia kesi ya defamation na wakili wangu atakuwa Ruttashobolwa akisaidiwa na Kaizer na Mentor
hilo bepari la kihaya halina lolote., tangu litoke mwanza participation yake hapa jf ni "O" nafahamu mengi yalomsibu huku. ngoja nimlie time kwanza. asiponi-airtel money namchana makavu live. shaurilo Bishanga. . .
Bishangaaaaa oh! bepari la kibwengaa ooh.. wakora waitu! Eti ni kweli umegeuka DHAIFU? Nukuu kutoka kwa Mr Rocky na Nicas Mtei.