SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,181
- 9,796
Siku hizi wanajamii wa humu mmekuwa mnaringaa sijui mmeona nini jamani aisee .
Nimeomba msaada wanani anajua shamba za bei rahisi aniambie pangani au eneo lolote la Tanga kimya.
Mnashida gani??
Eti ?? Mmeona nini ?? Au wivu eh
Nimeomba msaada wanani anajua shamba za bei rahisi aniambie pangani au eneo lolote la Tanga kimya.
Mnashida gani??
Eti ?? Mmeona nini ?? Au wivu eh