Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,055
- 6,777
Lowassa kiboko yao wanamsema pembeni akiingia wanafyata mikia Kama mbwa koko kuanzia huyo nape anayemlipa zombi
Wewe ni zitto nini!!! Nadhani unajihami mapema baada ya kugundua kuwa jitihada zako za kuutafuta urais zinaweza kugonga mwamba mbele ya wapiganaji wengine ndani ya cdm. Kama wewe ndiwe kabwe basi usijidanganye na ndoto zako za kuwa RAIS wa nchi labda kama ni kuwa RAHISI. Inawezekana huto tusafari twako twa kukutana na viongozi maarufu duniani ni mbinu mojawapo utakayoitumia wakati wa kuchukua fomu lakini mbele ya cdm hilo si lolote si chochote. Utaangukia pua tu.Kuna kila njama zinazofanywa kwa makusudi kabisa, kupunguzia kasi Zitto Kabwe katika jukwaa la kisiasa. Njama hizo zinatokea kwa vigogo fulani wa CHADEMA, wanaomuona kuwa Zitto ni mwiba mkali.
Historia ya karibuni ilionesha kuwa Zitto alisakamwa sana alipotaka kugombea uenyekiti na baada ya kuzipangua hoja zote za kumuumiza kisiasa ndani ya CHADEMA akaambulia kupoozwa kwa kusukumiwa cheo cha unaibu Katibu Mkuu, cheo ambacho hakina manufaa yoyote kwa CHADEMA wala kwa Zitto. Ili kuponesha maumivu na kutibu majeraha ya kisiasa, Zitto akakikubali cheo hicho, lakini ukweli ni kwamba hakifanyii kazi yoyote.
Uthibitisho mwingine wa kumshusha kisiasa Zitto ni pale ambapo hajahudhuria vikao vya CHADEMA na Kikwete huko Ikulu, kuna mambo ya msingi ambayo Zitto amekuwa akitofautiana na viongozi wengine wa CHADEMA na hayo ndio yanamfanya ajaribiwe kushushwa hadi na kutokuwekwa kwenye maamuzi mengi ya chama na yeye hustukia tu maamuzi yameshafanywa. Na anapotoa misimamo yake huwa ina tofauti na ya chama chake, mifano ipo mingi.
Tunawaasa vigogo wa CHADEMA kuwa hata ndugu zetu wa Kigoma walipopiga kura za Ubunge zilikuwa ni kura za Zitto na si za CHADEMA, hilo walielewe. Kama ilivyo kwa kura za Shibuda, zilikuwa ni za Shibuda lakini si za CHADEMA hilo linajidhihiri kwa kuwa kura za Urais za Kigoma 90% zilikuwa za Kikwete hata kwenye jimbo la Zitto.
Aliposhindwa Mbowe uchaguzi mkuu wa 2005, 2010 akawekwa Slaa, tunataka Zitto agombee 2015 tumpe kura zetu, kumbuka, hatuwapi kura CHADEMA tutampa Zitto Kabwe, bila yeye sahauni kura za wengi.
Kati ya vitu asivyopendezwa navyo Zitto ni namna ya chaguzi za wabunge wa upendeleo zinavyoendeshwa kimabavu ndani ya CHADEMA.
Tunawatahadharisha CHADEMA wasimjaribu Zitto, wataumia kisiasa.
Anagombea na lowassa kiboko yenu Mzee wa mamvi toka kaskazini chezea yeyeZitto for President 2015!
Kipindi hicho lowassa alikuwa wapi? Kwasababu najua hata zito hakuwepoNimeanza kutumia kompyuta wewe hujazaliwa mwaka 1981, ATARI. Ulikuwa wapi wakati huo?
Kumtimua Kama mnavyosema ni gambaLowassa tumjaribu nini?
Lowassa ni mwamba wa kaskazini hamuwezi nyinyi mlikuwa mnafikiri ni wa bagamoyo sio atawalipuaLowassa akigombea na Zitto kura yangu ni kwa Zitto, akigombea na mwingine yeyote kura yangu ni kwa Lowassa.
Ubavu hamna nyinyi mnasemea pembeni na makundi yenu kibao sisi tuna mpenda zito wetuDhanna ya gamba hatimuliwi mtu, ulishaona nyoka anavuliwa gamba?
Aliposhindwa Mbowe uchaguzi mkuu wa 2005, 2010 akawekwa Slaa, tunataka Zitto agombee 2015 tumpe kura zetu, kumbuka, hatuwapi kura CHADEMA tutampa Zitto Kabwe, bila yeye sahauni kura za wengi.
Aliposhindwa Mbowe uchaguzi mkuu wa 2005, 2010 akawekwa Slaa, tunataka Zitto agombee 2015 tumpe kura zetu, kumbuka, hatuwapi kura CHADEMA tutampa Zitto Kabwe, bila yeye sahauni kura za wengi.
Kati ya vitu asivyopendezwa navyo Zitto ni namna ya chaguzi za wabunge wa upendeleo zinavyoendeshwa kimabavu ndani ya CHADEMA.
Tunawatahadharisha CHADEMA wasimjaribu Zitto, wataumia kisiasa.
Wewe zoba kwani zito yupo kwa magamba nyie jaribuni kwa lowassa muone cha mtemakuni
Wanasema Chama chenu kimekithiri kwa rushwa baada ya mbunge wenu kukamatwa
mkuu zomba kama unadhani zitto atasapoti unachoongelea ni vizuri zaidi ukamshawishi aanzhishe chama chake.awe mwenyekiti then 2015 agombee uraisi.naona shida yako na wachache wengine ni zitto kuwa mwenyekiti wa chadema.unadhani ni zitto tu ndani ya cdm mwenye uwezo wa kuwa mwenyekiti?kama watu wengine wapenzi w a tundulissu au mnyika au slaa nk wangetaka kila wanaomshabikia kuwa mwenyekiti chadema ingeishia wapi?kama ni supporter wa zitto ni vizuri kusapoti nafasi yake aliyeko sasa na sio kuingilia maamuzi ya chama ya kupanga uingozi.unaona jinsi viongozi wengine wanavyozunguka nchi nzima kuimarisha chama na kukijenga lakini huoni umuhimu wao.unachotaka ni zitto awe mwenyekiti na uimarishaji wa chama wafanye wengine.una laana wewe.be blessed!