Msikiti Umasaini!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msikiti Umasaini!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Safari_ni_Safari, Oct 9, 2012.

 1. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Watu wanaswali huko Handeni.........Hapa ukiiba tu unakatwa sikio.......sio ile misikiti yetu ya Mtambani


  [​IMG]
   
 2. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Duh hii kali lakini mbona kama hii picha imekaa kibiashara zaidi mbona masendeu yote mapya ha ha ha haha ha .....

  [​IMG]
   
 3. awp

  awp JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  unawachokoza eeeeeeeeeeeeee
   
 4. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Yani hao watu wote wameambizana kuvaa viatu dizain moja
   
 5. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  We wachokoze wataandamana sasa hivi,shauri yako.
   
 6. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Heee naona viatu vyote vinafanana ukitoka unavaa hata visivokua vyako

  Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
   
 7. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  wamasai nao kuna waislam?? sijawahi kusikia, watakuwa wachache sana!
   
 8. G

  GENERARY Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wacha kudanganya wewe! tangu lini umasaini kukawa na misikiti ya wasomali (kama inavyojulikana). hapo ni kwenye biashara ya masendeu!!!!

  [​IMG]
  [/QUOTE]
   
 9. DULLAH B.

  DULLAH B. JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 674
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hiyo bab kubwa
   
 10. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Nyie bisheni tuu....eti viatu haviwezi kufanana

  [​IMG]
   
 11. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Oooohooo, shauri yenu, sasa hivi utasikia maandamano yataanzia kwa Mtogole na kuishia Kidongo Chekundu.
   
 12. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hiyo ni dalili ya umaskini wa nchi .
   
 13. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,863
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Mbona wengi Sana... wapo hadi Ngorongoro kuna Msikiti... Kuna A. Ngororo na wanawe familia na ndugu zake wote ni Muslim ni ukoo mkubwa kiasi huyu alikuwa katibu wa wizara serikalini na Shihata... Dhiri Abdallah, hawa niwajuao kwa uhakika
   
 14. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #14
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwani kuwa muislam au mkristo si swala la kuamua tu.
   
 15. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,725
  Likes Received: 7,986
  Trophy Points: 280
  Sasa wanapotoka mtu huvitambua viatu vyake kwa harufu au wamevua in their order of seniority?
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  acha uzushi wewe,vipo sokon hivo
   
 17. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #17
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Wewe endeleza ubishi tu
   
 18. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,017
  Likes Received: 3,202
  Trophy Points: 280
  Huwa jamaa huwezi kuta wameacha nje kiatu cha kuanzia elfu mbili na kuendelea nje ya msikiti, ni viatu choka mbaya ndo wanaenda navyo, sijui imani yao iko wapi.

  Maandamano na matusi wanafanya baada ya kutoka kuswali, yani huwa siwaelewi kabisa.
   
 19. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #19
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  aiseee babaangu naunga mkono hoja
   
 20. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Acheni ushakunaku nyie na kuwatafuta waislam......on the positive side nimependa, haibi mtu viatu maana nako kuna uwizi wa viatu balaa.
   
Loading...