Kitabu Cha Abdulwahid Sykes Kimewasili

Kitabu Cha Abdulwahid Sykes Kimewasili

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
23,279
Reaction score
33,880
Hapa jamvini kumekuwa na mjadala mkali kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika.

Watu wengi wamekuwa wakiniuliza kitabu kitapatika lini baada ya kuwa "out of print" kwa muda mrefu.

Nina furaha kuwafahamisha kitabu cha Abdulwahid Sykes kimewasili nchini na kwa sasa kinapatika Ibn Hazm Media Center Msikiti wa Manyema.

Mipango inafanyika In Shaa Allah kukitawanya kwenye maduka yao mengine Msikiti wa Mtoro, Mtambani na Kichangani.

View attachment 3623969
 
Kitabu kinapatika Ibn Hazm Media Center Msikiti wa Manyema, Mipango inafanyika In Shaa Allah kukitawanya kwenye maduka yao mengine Msikiti wa Mtoro, Mtambani na Kichangani.
Hongera kwa kuendelea kuwapambia wazee wako na na jamii yako ya kiislam huenda wakaelimika.
 
Ungeenda kuwauzia CCM
huyu mzee hivyo vipamphlets vyake ampelekea sheikh mwaipopo avinadi kwa umma wa allah na wale panyaroad, mbwa mwitu na chui wa mwaipopo wavitembeze misikitini mzee atapata hela nyingi sana na pia amwalike samuya na mwanae abdul wawe wageni rasmi kwenye kuvizindua ijumaa hii msikitini naamini mzee atapata hela nyingi sana.
 
Hakikisha kinafika hapa kwenye Msikiti wa Sheikh Mwaipopo, mtetezi wa Allah Samia na kiongozi wa kikundi cha Kigaidi cha Mbwa Mwitu.
 
huyu mzee hivyo vipamphlets vyake ampelekea sheikh mwaipopo avinadi kwa umma wa allah na wale panyaroad, mbwa mwitu na chui wa mwaipopo wavitembeze misikitini mzee atapata hela nyingi sana na pia amwalike samuya na mwanae abdul wawe wageni rasmi kwenye kuvizindua ijumaa hii msikitini naamini mzee atapata hela nyingi sana.
Salari,
Siandiki ''vipeperushi.''
Nina vitabu ngazi ya shule za msingi, sekondari na vyuo vikuu:

1783371669759.jpeg

1783371912242.png

1783372184726.png
1783372730295.png
1783372850812.png
1783373296317.png
 
Attachments

  • 1783373474155.png
    1783373474155.png
    243.9 KB · Views: 8
Hapa jamvini kumekuwa na mjadala mkali kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika.

Watu wengi wamekuwa wakiniuliza kitabu kitapatika lini baada ya kuwa "out of print" kwa muda mrefu.

Nina furaha kuwafahamisha kitabu cha Abdulwahid Sykes kimewasili nchini na kwa sasa kinapatika Ibn Hazm Media Center Msikiti wa Manyema.

Mipango inafanyika In Shaa Allah kukitawanya kwenye maduka yao mengine Msikiti wa Mtoro, Mtambani na Kichangani.

View attachment 3623969
Hata nikipewa bure, siwezi kupoteza muda wangu kusoma kitabu cha author ambaye neutrality kwake is a mission impossible!
 
Pulchra,
Hakuna shida.

1783374346921.png

📚 CHAPA MPYA IMEPATIKANA!

MAISHA NA NYAKATI ZA ABDULWAHID SYKES

Je, unataka kuifahamu historia ya harakati za uhuru wa Tanganyika kwa mtazamo tofauti unaotegemea nyaraka, ushahidi na uchambuzi wa kina?

Kitabu hiki kinakuletea simulizi kuhusu maisha ya Abdulwahid Sykes na nafasi yake katika harakati za kudai uhuru wa Tanganyika. Ni rejea muhimu kwa wanafunzi, watafiti, walimu, waandishi wa habari, viongozi na kila anayependa historia ya Tanzania.

Kwa nini ukisome?
✅ Uchambuzi wa kina wa historia ya harakati za uhuru.
✅ Marejeo na nyaraka za kihistoria.
✅ Kinafaa kwa wanafunzi, watafiti na wasomaji wa historia.
✅ Chapisho lenye ubora wa hali ya juu.
 
Hapa jamvini kumekuwa na mjadala mkali kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika.

Watu wengi wamekuwa wakiniuliza kitabu kitapatika lini baada ya kuwa "out of print" kwa muda mrefu.

Nina furaha kuwafahamisha kitabu cha Abdulwahid Sykes kimewasili nchini na kwa sasa kinapatika Ibn Hazm Media Center Msikiti wa Manyema.

Mipango inafanyika In Shaa Allah kukitawanya kwenye maduka yao mengine Msikiti wa Mtoro, Mtambani na Kichangani.

View attachment 3623969
Sawa Mkuu! Kwa hiyo hiki kitabu kitamaliza malalamiko ya kwamba Wazee wa Gerezani hawatajwi kwenye historia ya harakati za uhuru wa Tanganyika?
 
Ivi ndo vitabu vya vyuo vikuu?
Dallas,
Hapo kuna vitabu kuanzia shule ya msingi, sekondari hadi Chuo Kikuu.

Kitabu cha Chuo Kikuu ni hiyo Dictionary of African Biography (DAB) wamechapa Oxford University Press New York na kitabu cha Abdul Sykes kimechapwa na Minerva Press, London na Uamuzi wa Busara Abantu Publishers, Nairobi.

Vilivyobaki ni vya shule za msingi na sekondari.

Lakini ninacho kingine biography ya Sal Davis (Shariff Salum Abdallah) hiki kipo Amazon:

1783394842916.png
 
Sawa Mkuu! Kwa hiyo hiki kitabu kitamaliza malalamiko ya kwamba Wazee wa Gerezani hawatajwi kwenye historia ya harakati za uhuru wa Tanganyika?
Kyenju,
Hicho kitabu kipo sokoni huu mwaka wa 28.

Kilichapwa mara ya kwanza Uingereza mwaka wa 1998 na tafsiri ya Kiswahili Nairobi mwaka wa 2002 na Phoenix Publishers.

Kitabu kinakwenda toleo la tano.

Kitabu hiki kinafahamika sana hapa JF.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom