Msikiti uliopewa Jina la Yesu

Msikiti uliopewa Jina la Yesu

Na hyo 3:5.
HAKUNA sehemu iliyosema Mariam Ali kuwa dada Yake Musa.
Quran 19
27. Akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba. Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta kitu cha ajabu!
28. Ewe dada yake Harun! Baba yako hakuwa mtu muovu, wala mama yako hakuwa kahaba.


..


.

.
.


Quran 3:5. Alipo sema mke wa Imran: Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu; basi nikubalie. Hakika Wewe ndiye Mwenye kusikia na Mwenye kujua
36. Basi alipo mzaa alisema: Mola Mlezi! Nimemzaa mwanamke - na Mwenyezi Mungu anajua sana aliye mzaa - Na mwanamume si sawa na mwanamke. Na mimi nimemwita Maryamu. Nami namkinga kwako, yeye na uzao wake, uwalinde na Shet'ani aliye laaniwa.
 
Nimekuwekea hapo uzaonwa yesu kwenye Quran na wewe niwekee uzao wake katika bibliaView attachment 1661338
Nioneshe aya inayosema issa alizaliwa sehem gan n mji upi
Screenshot_2020-12-28_114638.jpg
Screenshot_2020-12-28_114701.jpg
Screenshot_2020-12-28_114804.jpg
Screenshot_2020-12-28_114810.jpg
 
Sio kweli ni wawili tofauti Yesu alizaliwa kwenye hori la ngombe wakati Issa alizaliwa chini ya mtende Yesu alikufa na kufufuka Issa hakufufuka alikufa akazikw akaozea kwenye udongo
kwa mujibu wa kislam issa hajafa amepaa
 
Ubatizo Ni mafundisho ya KIPAGANI.
Sidhani Kama Ibrahim,isaka,ishmail,yakobo n.k walikuwa wanabatizwa .
Hujajib swali kama Yesu na Issa n mtu mmoja Yesu alibatizwa mto Yordan n Yohane ndie aliembatiza je Issa alibatizwa wapi
 
Hivi mkuu nipe tofauti ya maneno haya.

Kanisa na church.
---Bible na injili.

---Book na kitabu.

---brahim na Abraham.

---Musa na moses.

--Michael na mikhael.

---Gebril na grabriel.

--Yesu na issa.

---Mirium na mariam..

--Joseph na Yusuph.

--yohana na yunus
yohana na yunus NO.
 
Kumbe hata xmass mnasherehekea siku kuu za watu wengine na sio kuzaliwa kwa yesu..
Kama mimba marium alipata mwezi wa 6 iweje mtoto azaliwe mwakani DEC ?

Kwa hesabu zilivyo yesu alipaswa kuzaliwa April au may.

Inamaana mimba ya yesu ilikuwa ni miezi 18?

Duu!! Aisee!!

wataliano sio watu wazuri...wao ndy wameleta mambo yote haya.
kwanza kabisa hatujui baada ya kumtokea hiyo mwezi wa sita ilimchukua muda gani kupata mimba,halafu pia ninavyojua mimi tarehe 26/12 imepangwa kukumbuka tukio la kuzaliwa kwa yesu kama tu babaangu mzazi tulivyoamua kutumia tarehe 1/7 kusherehekea sikukuu yake ya kuzaliwa baada ya kukosa kumbukumbu za tarehe halisi na sio dhambi maana pale inasherehekewa tukio sio tarehe
 
Unapoelekea mwishowe utauliza je mbona na sisi hatukusukubiwa?kama yesu!

Nimekuuliza hii kusali kwenye madawati na kuingia na viatu imetoka wapi?

Jibu kwnz
hakuna andiko sehemu yoyote iwe msikiti au kanisani linalokataza mtu asisali na viatu
 
Kwanza nikuelimishe .
Wakati yesu anazaliwa HAKUNA aliyemuona .
Wala hakuna aliyejua Mariam yupo WAPI.
Walikuja kushangaa Mariam anarudi tu na mtoto.
Bas Issa n mtu tofauti kabisa Na usimlinganishe huyo issa n Mwanapekee wa Mungu Yesu kristo kwa mujibu wa Injili ambayo unaiamin amezaliwa bethlehem Pangon
 
Kwanza nikuelimishe .
Wakati yesu anazaliwa HAKUNA aliyemuona .
Wala hakuna aliyejua Mariam yupo WAPI.
Walikuja kushangaa Mariam anarudi tu na mtoto.
Sio kweli siishi kwa kusimuliwa bali kwa kusoma Biblia Takatifu kubali tu kuwa Issa sio Yesu n msimfananishe hawafanani
 
Ebu niwekee Aya ya huo utofauti wa miaka 2,000.walioishi hao Mariam
ina maana hujui nabii musa na ndugu zake wa tumbo moja haruun na miriam walipishana muda gani na kizazi cha yesu,yani ilipita miaka mingapi baada ya kuondoka musa hadi kuja kuzaliwa yesu
 
Kwanza nikuelimishe .
Wakati yesu anazaliwa HAKUNA aliyemuona .
Wala hakuna aliyejua Mariam yupo WAPI.
Walikuja kushangaa Mariam anarudi tu na mtoto.
Soma maandiko matakatifu acha kukalilishwa vitu visivyokuwepo
Screenshot_2020-12-28_121625.jpg
Screenshot_2020-12-28_121636.jpg
 
Nategemea mwisho wa mjadala nione kuna waislam au wakristo wanabadili dini zao kama matunda ya huu uzi.
 
19:27.
Wakasema "EWE MARYMAM HAKIKA UMELETA KITU CHA AJABU....
waliosema hapo ni AKINA NANI?.
mungu,Quran au wayahudi?
kwani Quran ni maneno ya nani Mungu,muhammad au wayahudi?
Hata kama ni wayahudi walisema bado ni uongo maana wayahudi sio wajinga kuchanganya Hivo...Assume mimi niseme "Magufuli alisema Tanzania ipo Bara la Asia"
Hapo mjinga ni mimi au Magufuli?
 
Back
Top Bottom