Msikiti uliopewa Jina la Yesu

Msikiti uliopewa Jina la Yesu

Sasa huyo Mariam ametoka wapi?.
Unayelazimisha awe dada Yake Musa?.
Wakati biblia inasema dada Yake Musa Ni Miriam.
Sasa weka Aya kwenye Quran inayosema Mariam alikuwa dada Yake Musa
Eeh dada yake Mussa aliitwa Miriam ndiyo ila hakumzaa Yesu
 
kuanzia Adam hadi Ibrahim huko kote mitume ilikiwa ni wayahudi.

Unaposema kwamba sinagogi ni msikiti,,lakini ni msikiti wa wayahudi,,ni kweli sababu uyahudi ni kabila na sio dini..
Neno msikiti peke linaonyesha uhusiano kati ya yesu na msikiti.

Kipindi chote hicho mitume yote ilikuja kwa kabila la wayahudi.,,,ndy maana hata leo wapo wayahudi waislam kibao hapo Israel na kote duniani.
Hata yesu ni myahudi...

Kama kanisa ndy sinagogi? kwanini basi maana ya sinagogi isisomeke Kama kanisa la wayahudi?
Wanaohusishwa hapo na hilo sinagogi ni waislam

A---Kubatiza ni nn?

--Kubatiza ni kumtoa mtu ktk dini yake ya asili na kumwingiza kwenye dini zingine.

B----Dini ni nini?
Dini ni kufuata mamrisho ya kiimani ya kiroho.

Dini zipo nyingi sana hapa duniani,,na dini zote sio dini za MUNGU,,

Zingine ni dini za watu hapa hapa duniani.
Mfano.
--Muslims.
--Christians.
-- Buddha.
-- baniani.
--kuna dini watu wanaabudu Uume wa binadamu.
-- watu wanaabudu wanyama nk.

1---Uislam na kubatiza.

Kumbuka kwamba mtoto yeyote anayezaliwa na binadamu anakuwa .
-- hana dhambi.
-- automatic anakuwa ni muislam..
Sababu baba yetu Adam na mama yetu hawa walikuwa ni waislam,,
Tunazaliwa tukiwa ni waislam wa asili..

--Anapokuja hapa duniani ndy huvikwa joho la kubatizwa ili kumtoa ktk dini ile ya zamani aliyozaliwa nayo na kumtia ukristo.,,au dini zingine .

Kumbuka hata baniani,,Freemason,, nk dini zote hizo ni lazima ubatizwe ili uweze kutolewa kwenye dini yako ya asili.
Na asipobatizwa haonekani kama mkristo..au huwi baniani,,au Buddha,, nk.

Ndy maana hata mtu akiwa dini ingine akiingia uislam lazima abatizwe( kuslimishwa)
Ili kumtoa ktk dini aliyokuwa nayo huko,,lakini mtoto mchanga hata azaliwe na mkristo au baniani ataendelea kuwa Muslims wala hasilimishwi kama hajabatizwa.

2----Hebu jaribu kufikiri.

Kwanini ?Baba mkristo,,mke mkristo anapozaliwa mtoto lazima abatizwe ili awe mkristo kamili..

Baba muislam,,mke muislam anapozaliwa mtoto automatic ni muislam,,?

sisi binadamu tu nafata dini ya Adam na hawa wazazi wetu wa asili...

Ndy maana tunaitwa" bin Adam'" maana yake mtoto wa Adam.
Mbona Yesu alibatizwa?
 
Sasa huyo Mariam ametoka wapi?.
Unayelazimisha awe dada Yake Musa?.
Wakati biblia inasema dada Yake Musa Ni Miriam.
Sasa weka Aya kwenye Quran inayosema Mariam alikuwa dada Yake Musa

Tunarudi kule kule...itakuwa huna uwezo wa comprehension. na unanipotezea muda

Maryam wa kwenye Qulwan amepewa sifa za Miriam wa kwenye Biblia kama vile Baba yake kuwa Imran na kaka yake kuwa Harun
 
1 Mambo ya Nyakati 17:16

Kisha mfalme Daudi akaingia ndani ya hema na kuketi mbele ya Mwenyezi-Mungu, halafu akaomba, “Mimi ni nani, ee Mwenyezi-Mungu, na nyumba yangu ni nini hata unitukuze hivi?

Nehemia 8:6

Ezra akamshukuru Mwenyezi-Mungu, Mungu Mkuu na watu wote wakaitikia “Amina! Amina!” Huku wakiwa wameinua mikono yao juu. Kisha wakamsujudia Mungu huku nyuso zao zikigusa ardhi.

Danieli 6:10

Danieli alipojua kuwa ile hati imetiwa sahihi, alirudi nyumbani kwake ghorofani katika chumba chake kilichokuwa na madirisha yaliyofunguka kuelekea Yerusalemu. Humo, Danieli, kama ilivyokuwa kawaida yake, alipiga magoti mara tatu kila siku akamwomba na kumshukuru Mungu wake.

Marko 11:25

Mnaposimama kusali, msameheni kila mtu aliyewakosea chochote, ili Baba yenu aliye mbinguni awasamehe nyinyi makosa yenu.
 
Mbona unazunguka
WEKA AYA.
WEKA AYA
WEKA AYA
Tunarudi kule kule...itakuwa huna uwezo wa comprehension. na unanipotezea muda

Maryam wa kwenye Qulwan amepewa sifa za Miriam wa kwenye Biblia kama vile Baba yake kuwa Imran na kaka yake kuwa Harun
 
Kwa sababu Jesus na issa Ni mtu mmoja.
Ni sawa mungu kumuita God,yehova au ALLAH.
Jesus na Issa sio mtu mmoja Yesu alizaliwa Bethlehem pangon akasulubiwa akafa akazikwa siku ya Tatu akafufuka lakin issa hakuzaliwa bethlehem n hakufufuka kwa mujib wa Qur'an
 
Duh walimu wana kazi sana.
biblia iko wazi kuna Miriam na Mariam.
Miriam ni dada yake Mussa na baba yake aliitwa Amram(Imran):
Mariam ni mama yake Yesu( baba ake aliitwa Joachim)

Sasa Muhamad kupitia kulwani aliwachanganya hawa watu wawili akasema Maryam mama wa Yesu alikuwa dada wa Harun na Baba ake aliitwa Imran.
Mama yake Issa wa kuruani alikuwa Dada yake Haruni ambaye aliishi maelfu ya miaka kabla Yesu kuzaliwa!!!

Issa na Yesu walizaliwa maelfu ya miaka tofauti hawakuzaliwa mwaka moja!!! Waislamu hutaka kulazimisha tu kuwa Yesu ndio Issa wao wa kwenye kurani lakini hawana hoja

Huyo Issa wao ni wao tu Issa wao sio Yesu wa wakristo hata wangemwita Yesu bado hafanani na Yesu wa wakristo
 
Mbona unazunguka
WEKA AYA.
WEKA AYA
WEKA AYA
Quran 19
27. Akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba. Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta kitu cha ajabu!
28. Ewe dada yake Harun! Baba yako hakuwa mtu muovu, wala mama yako hakuwa kahaba.

..

.

.
.

Quran 3:5. Alipo sema mke wa Imran: Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu; basi nikubalie. Hakika Wewe ndiye Mwenye kusikia na Mwenye kujua
36. Basi alipo mzaa alisema: Mola Mlezi! Nimemzaa mwanamke - na Mwenyezi Mungu anajua sana aliye mzaa - Na mwanamume si sawa na mwanamke. Na mimi nimemwita Maryamu. Nami namkinga kwako, yeye na uzao wake, uwalinde na Shet'ani aliye laaniwa.
 
Nimekuwekea hapo uzaonwa yesu kwenye Quran na wewe niwekee uzao wake katika biblia
Jesus na Issa sio mtu mmoja Yesu alizaliwa Bethlehem pangon akasulubiwa akafa akazikwa siku ya Tatu akafufuka lakin issa hakuzaliwa bethlehem n hakufufuka kwa mujib wa Qur'an
Screenshot_20201228-090136.jpg
 
19:27.
Wakasema "EWE MARYMAM HAKIKA UMELETA KITU CHA AJABU....
waliosema hapo ni AKINA NANI?.
mungu,Quran au wayahudi?

Back
Top Bottom