Msikiti uliopewa Jina la Yesu

Msikiti uliopewa Jina la Yesu

Alisali kwenye masinagogi (miskiti) ya wayahudi
Masinagogi sio misikiti wewe ndo ambavyo huo mnajazwa upepo..
Synagogue ni neno la kigiriki manake ni Jewish house of worship, Bible study(Hebrew&Torah).
Hapa walikuwa wanakusanyika wayahudi kwa ajili ya kuabudu na kusoma/ kujifunza vitabu vilivyopo kwenye biblia sana sana waebrania na kitabu cha Torah..

Sasa wewe endelea kupotosha kwamba sinagogi ni msikiti
 
Dada yake musa HAKUWA anaitwa Mariam.
Soma hapo
ina maana hujui nabii musa na ndugu zake wa tumbo moja haruun na miriam walipishana muda gani na kizazi cha yesu,yani ilipita miaka mingapi baada ya kuondoka musa hadi kuja kuzaliwa yesu
Screenshot_20201228-095927.jpg
 
Sawa Ila unaamini dada Yake Musa ALIKUWA Miriam na sio Mariam?
kwani Quran ni maneno ya nani Mungu,muhammad au wayahudi?
Hata kama ni wayahudi walisema bado ni uongo maana wayahudi sio wajinga kuchanganya Hivo...Assume mimi niseme "Magufuli alisema Tanzania ipo Bara la Asia"
Hapo mjinga ni mimi au Magufuli?
Screenshot_20201228-095927.jpg
 
Hata yesu alikuwa anavaa kanzu na kofia,,
Kanzu na kofia ni mavazi ya kitamaduni, hata wahaya na waganda wakristu wanayavaa sana tu, na mengine yanauzwa kwa mafungu yametandikiwa chini pale Kariakoo zamani maarufu kama roud-about ya Msimbazi na Uhuru Roads
 
Ebu Soma HIZO Aya.
"WAKASEMA"
WALIOSEMA NI AKINA NANI?.
sasa utasemaje iliyosema Ni Quran wakaati. Quran imenukuu mazungumzo ya Mariam na ndugu zake mayahudi?
Nani kasema hivo? Quran au? Maana imesema dada ake Harun ambaye ni dada ake mussa pia aliitwa Maryam jambo ambalo ni uongo na uzandiki
Screenshot_20201228-125537.jpg
 
Ebu Soma HIZO Aya.
"WAKASEMA"
WALIOSEMA NI AKINA NANI?.
sasa utasemaje iliyosema Ni Quran wakaati. Quran imenukuu mazungumzo ya Mariam na ndugu zake mayahudi?View attachment 1661425



kwani Quran ni maneno ya nani Mungu,muhammad au wayahudi?
Hata kama ni wayahudi walisema bado ni uongo maana wayahudi sio wajinga kuchanganya Hivo...Assume mimi niseme "Magufuli alisema Tanzania ipo Bara la Asia"
Hapo mjinga ni mimi au Magufuli?
 
Jifunze kwanza jinsi ya kuisoma Quran
Waliomuita ewe dada wa harun NI MAYAHUDI SIO QURAN WALA MUNGU.
 
Jifunze kwanza jinsi ya kuisoma Quran
Waliomuita ewe dada wa harun NI MAYAHUDI SIO QURAN WALA MUNGU.

Mbona mnatuchanganya?? Quran ni maneno ya allah tuu? au ni mchanganyiko wa maneno ya allah na watu wengine?
 
Back
Top Bottom