Msikiti uliopewa Jina la Yesu

Msikiti uliopewa Jina la Yesu

Kwani Yesu alisali wapi, msikitini au Kanisani, alipiga magoti, au alisujudu, au alifanya ishara ya msalaba.Ukipata jibu niambie
Majibu ni rahisi...Yes alisali sinagogi...hakupiga ishara ya msalaba kwa kuwa dini ya kikristo haikuwepo wakati yeye akiwa hai...Dini ya Kikristo imeanzishwa baada ya yeye kufa..na kupiga msalaba kumekuja kufuatia yeye kufa msalabani...ikumbukwe ukristo umekuja kutokana na wafuasi wake kueneza Dini inayoitwa christians kwa kumbukumbu ya Jesus Christ...wakati wa utawala wa warumi Dini ya kristo wafuasi wake walitafutwa na kuuawa..
 
Alisali Kwenye Sinagogi.Alipiga magoti pia alisujudu katika kusali.Hakufanya ishara ya msalaba kwa kuwa bado kazi ya msalaba haikuwa imekamilika.
Nimetafuta Sana aya inayosema Yesu " alisali" kwenye sinagogi sijaipata, ebu lete hiyo aya nisome mwenyewe.
 
Nimetafuta Sana aya inayosema Yesu " alisali" kwenye sinagogi sijaipata, ebu lete hiyo aya nisome mwenyewe.
Ukimaliza tafuta na aya inayosema Yesu "alienda bafuni kuoga akatoka kuvaa nguo". Usiwe akili ndogo sio kila kitu alichofanya Yesu kitaandikwa kwenye Biblia lakini haimaanishi kuwa hakufanya. Kwa hiyo hiyo unataka kusema Yesu alifanya shopping kwenye sinagogi?
 
Nimetafuta Sana aya inayosema Yesu " alisali" kwenye sinagogi sijaipata, ebu lete hiyo aya nisome mwenyewe.
Mkuu kuna baadhi ya biblia inatoa tafsiri ya baadhi ya maneno kwa chini , ktk hiyo biblia kwa chini imeandikwa sinagogi ni msikiti wa wayahudi
 
Tatizo wafuasi wa muddy wanatumia nguvu kubwa sana kujipendekeza wasipokubalika...Sio kosa lao hata Baba yao muddy alianza akajipendekeza kwa wayahudi hadi kibla ilikuwa Jerusalem,walipomkataa akamaindi akaanza kujipendekeza kwa wapagani na kibla ikapelekwa mecca kwenye kaaba la mapagani na kuanza kuiga tamaduni zao kama hajj tawaf ramadan swala tano nk. nk.

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Nan
Majibu ni rahisi...Yes alisali sinagogi...hakupiga ishara ya msalaba kwa kuwa dini ya kikristo haikuwepo wakati yeye akiwa hai...Dini ya Kikristo imeanzishwa baada ya yeye kufa..na kupiga msalaba kumekuja kufuatia yeye kufa msalabani...ikumbukwe ukristo umekuja kutokana na wafuasi wake kueneza Dini inayoitwa christians kwa kumbukumbu ya Jesus Christ...wakati wa utawala wa warumi Dini ya kristo wafuasi wake walitafutwa na kuuawa..
Nani aliyeanzisha dini ya kikristo
 
Kwani Yesu alisali wapi, msikitini au Kanisani, alipiga magoti, au alisujudu, au alifanya ishara ya msalaba.Ukipata jibu niambie
Ukristo ulianza mwaka 33 A.D. na uislam ulianza mwaka 500 A.D kwahyo nyumba za ibada kabla ya mwaka 500.A.D ..hayakuwa msikiti.Na wayahudi kusujudu n asili yao.

You must know history first.
 
Back
Top Bottom