Msikiti uliopewa Jina la Yesu

Msikiti uliopewa Jina la Yesu

Luka 1:26- Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti, kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu, jina lake Yusufu, wa mbari ya Daudi; na jina lake bikira huyo ni Mariamu.
Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe. Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani? Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu. Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu. Huyo atakuwa mkuu, ataitwa Mwana wa Aliye juu, na Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake. Ataimiliki nyumba ya Yakobo hata milele, na ufalme wake utakuwa hauna mwisho.

vizuri.niwekeee uzao wa yesu katika biblia.mimi nimekuwekea uzao wa issa katika Quran.
Soma Aya ya 45View attachment 1661138
 
Luka 1:26- Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti, kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu, jina lake Yusufu, wa mbari ya Daudi; na jina lake bikira huyo ni Mariamu.
Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe. Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani? Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu. Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu. Huyo atakuwa mkuu, ataitwa Mwana wa Aliye juu, na Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake. Ataimiliki nyumba ya Yakobo hata milele, na ufalme wake utakuwa hauna mwisho.
Kumbe hata xmass mnasherehekea siku kuu za watu wengine na sio kuzaliwa kwa yesu..
Kama mimba marium alipata mwezi wa 6 iweje mtoto azaliwe mwakani DEC ?

Kwa hesabu zilivyo yesu alipaswa kuzaliwa April au may.

Inamaana mimba ya yesu ilikuwa ni miezi 18?

Duu!! Aisee!!

wataliano sio watu wazuri...wao ndy wameleta mambo yote haya.
 
Haiingii akili HAWA ISSA NA YESU WAKAWA NI WATU WAWILI TOFAUTI.maana aliyoyafanya issa ndo aliyoyafanya YESU.
Aya ya 110.
I miujiza aliyoifanya issa katika Quran lakini miujiza hyo hyo inaonekana kwenye biblia aliyoifanya YESU
Sasa wao wameaminishwa kwamba yesu sio issa na Mirium sio mariam..
Screenshot_20201228-091723.jpg
 
Wapi ulisoma Yesu alisujudu? Kuna mahali popote unapoweza kuonyesha Yesu aliwahi kusujudu?
Kwanza jibu hoja ya kusujudu na kusali kwa kupiga magoti,,

Je mnafanya hivyo?

Sasa utasema mnamfata yesu?
 
Mnakunywa mvinyo kama Yesu?
Unapoelekea mwishowe utauliza je mbona na sisi hatukusukubiwa?kama yesu!

Nimekuuliza hii kusali kwenye madawati na kuingia na viatu imetoka wapi?

Jibu kwnz
 
Unataka ufosi utamaduni uwe dini.
Uislam na Uyahudi ni Utamaduni + dini
Ukristo ni dini.
Yesu alikuwa,

--Anaosha USO ,,mikono na miguu kabla ya kusali.
Haya nikuulize wapi Yesu aliosha uso,mikono na miguu kabla ya kusali?

--Anavua viatu wakati wa kusali.

Je wewe unafanya?
Au unasali juu ya madawati na viatu?
wapi Yesu alivua viatu wakati wa kusali?

Yesu yupi mnayemfuata nyie?
Yesu Tunayemfuata huyu hapa

Mathayo 15

1.Kisha Mafarisayo na waalimu wa sheria wakafika kutoka Yerusalemu, wakamwendea Yesu, wakamwuliza, 2.“Kwa nini wanafunzi wako hawajali mapokeo tuliyopokea kwa wazee wetu? Hawanawi mikono ipasavyo kabla ya kula!” 3.Yesu akawajibu, “Kwa nini nanyi hamjali sheria ya Mungu ila mnapendelea mapokeo yenu wenyewe? 4.Mungu amesema: ‘Waheshimu baba yako na mama yako,’ 5.Lakini nyinyi mwafundisha ati mtu akiwa na kitu ambacho angeweza kumsaidia nacho baba yake au mama yake, lakini akasema: ‘Kitu hiki nimemtolea Mungu,’ 6.basi, hapaswi tena kumheshimu baba yake! Ndivyo mnavyodharau neno la Mungu kwa kufuata mafundisho yenu wenyewe. 7.Enyi wanafiki! Isaya alitabiri sawa kabisa juu yenu:

8.‘Mungu asema: Watu hawa huniheshimu kwa maneno tu,

lakini mioyoni mwao wako mbali nami.

9.Kuniabudu kwao hakufai,

maana mambo wanayofundisha ni maagizo ya kibinadamu tu.’”

Mambo yanayomtia mtu unajisi

10.Yesu aliuita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni, mkaelewe! 11.Kitu kinachomtia mtu unajisi si kile kiingiacho kinywani, bali kile kitokacho kinywani. Hicho ndicho kimtiacho mtu unajisi.”

12.Kisha wanafunzi wakamwendea, wakamwambia, “Je, unajua kwamba Mafarisayo walichukizwa waliposikia maneno yako?” 13.Lakini yeye akawajibu, “Kila mmea ambao Baba yangu aliye mbinguni hakupanda, utangolewa. 14.Waacheni wenyewe! Wao ni vipofu, viongozi wa vipofu; na kipofu akimwongoza kipofu, wote wawili hutumbukia shimoni.” 15.Petro akasema, “Tufafanulie huo mfano.” 16Yesu akasema, “Hata nyinyi hamwelewi? 17.Je, hamwelewi kwamba kila kinachoingia kinywani huenda tumboni na baadaye hutolewa nje chooni? 18.Lakini mambo yatokayo kinywani hutoka moyoni, na hayo ndiyo yanayomtia mtu unajisi. 19.Maana moyoni hutoka mawazo ya uuaji, uzinzi, uasherati, wizi, ushahidi wa uongo na kashfa. 20.Hayo ndiyo yanayomtia mtu unajisi. Lakini kula chakula bila kunawa mikono hakumtii mtu unajisi.

Sasa wewe nawa mikono,safisha Uso na vua viatu utakavyo lakini sisi tunasafisha mioyo yetu na kuvua matamanio ya kidunia kama uzinzi,uongo,Uasherati,Ugaidi.
 
Tofauti yao ni mmoja aliuwawa na mwingine hakuwahi kufa kabisa inavyosemekana.
Haiingii akili HAWA ISSA NA YESU WAKAWA NI WATU WAWILI TOFAUTI.maana aliyoyafanya issa ndo aliyoyafanya YESU.
Aya ya 110.
I miujiza aliyoifanya issa katika Quran lakini miujiza hyo hyo inaonekana kwenye biblia aliyoifanya YESUView attachment 1661149
 
Ndiyo,kwa nini nyie hamsulubiwi kama Yesu?
Unapoelekea mwishowe utauliza je mbona na sisi hatukusukubiwa?kama yesu!

Nimekuuliza hii kusali kwenye madawati na kuingia na viatu imetoka wapi?

Jibu kwnz
 
Ewaaah.
1.Mama yake issa alikuwa bikra.
Na mama yake yesu alikuwa NI bikra.

2.mimba ya yesu iliingia kwa uwezo wa roho mtakatifu
Na mimba ya issa iliingia wa uwezo wa roho mtakatifu.

3.issa HAKUWA na baba wa kibaiolojia.
Na yesu HAKUWA na baba wa kibaiolojia.

4.yesu mama yake aliitwa Mariam.
Na issa mama Yake aliitwa Mariam.

5.issa alifanya miujiza ya kufufua watu,kuponesha maradhi n.k
Na yesu pia alifanya hivyo.
JE UTOFAUTI WA ISSA NA YESU UPO WAPI?
Luka 1:26- Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti, kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu, jina lake Yusufu, wa mbari ya Daudi; na jina lake bikira huyo ni Mariamu.
Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe. Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani? Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu. Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu. Huyo atakuwa mkuu, ataitwa Mwana wa Aliye juu, na Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake. Ataimiliki nyumba ya Yakobo hata milele, na ufalme wake utakuwa hauna mwisho.
 
Haiingii akili HAWA ISSA NA YESU WAKAWA NI WATU WAWILI TOFAUTI.maana aliyoyafanya issa ndo aliyoyafanya YESU.
Aya ya 110.
I miujiza aliyoifanya issa katika Quran lakini miujiza hyo hyo inaonekana kwenye biblia aliyoifanya YESUView attachment 1661149
Halafu pia?
Yesu ni jina la kiyahudi.
Wakati issa ni jina la kiarabu,,ila ni mtu mmoja.

God,, yehova,, Allah maana yake ni MUNGU kiarabu.

Sawa na Abraham kiyahudi.
Ibrahim kiarabu.

Yona kiyahudi ndy yunus kiarabu.

Joseph ndy Yusuph kiarabu

Jacob ndy yacobo kiarabu.

Mirium ndy mariam..kiarabu

Hawa wataliano sio watu wazuri kwa kweli.
 
Kuhusu KIFO haiwez kuwa sababu ya kusema yesu na issa Ni watu wawili tofauti.
Maanà yesu kabla HAJAFA alimuomba MUNGU amuepushe na KIKOMBE CHA UMAUTI.
Ina maana MUNGU HAKUJIBU MAOMBI YA YESU?
Tofauti yao ni mmoja aliuwawa na mwingine hakuwahi kufa kabisa inavyosemekana.
 
Utofauti wa Yesu na Issa ni kwamba mmoja alikufa na mwingine hakuwahi kufa.
Utofauti mwingine ni mama zao waliishi vipindi viwili tofauti kabisa,wakitofautiana takribani miaka 2000.
Ewaaah.
1.Mama yake issa alikuwa bikra.
Na mama yake yesu alikuwa NI bikra.

2.mimba ya yesu iliingia kwa uwezo wa roho mtakatifu
Na mimba ya issa iliingia wa uwezo wa roho mtakatifu.

3.issa HAKUWA na baba wa kibaiolojia.
Na yesu HAKUWA na baba wa kibaiolojia.

4.yesu mama yake aliitwa Mariam.
Na issa mama Yake aliitwa Mariam.

5.issa alifanya miujiza ya kufufua watu,kuponesha maradhi n.k
Na yesu pia alifanya hivyo.
JE UTOFAUTI WA ISSA NA YESU UPO WAPI?
 
Uyahudi sio dini bali ni kabla,,

Wote hao ni mmoja,, ila mmefundishwa kuwatofautisha ili mfate dini za watu.

Hivi yesu aliposema sikuja bali kwa makabila 12 ya wana wa Israel ,,yesu anakuhusu na wewe mgogo ,,,mmasai pia ?

Kuna kabila la uyahudi lakini pia kuna dini ya uyahudi (Judaism) Sasa kama vitu basic hivi hujui sidhani kama ntakutendea haki kuongelea vitu deep zaidi.

Huyo Yesu akawatuma wanafunzi wake "Enendeni ulimwenguni kote mkihubiri injili na kubatiza kwa jina la Baba na la mwana na la Roho mtakatifu"
 
Ebu niwekee Aya ya huo utofauti wa miaka 2,000.walioishi hao Mariam

Back
Top Bottom