Msikiti uliopewa Jina la Yesu

Msikiti uliopewa Jina la Yesu

Kawaida tu,,,hizi dini zilizokuja na mitumbwi naona zinachanganya watu sana
 
Ni Haram kujifananisha na manaswara Wafute waandike Issa bin Maryam
 
Watajifanya HAWAONI.
Hapo unaquote bible kuonesha yesu ni mwislam wakati hiyo hiyo bible inaupinga uislam...ukikuta sehem zinaupinga uislam hamtaki na hamuikubali bible..Basi Chagueni Moja
Hizo point ni za kitoto mno au kuna mkristo anakatazwa kufanya hayo?Yesu pia alisali Jumamosi waislam mnaenda kwenye masinagogi Jumamosi?
Yesu hakuwa mkristo wala muislam alikuwa myahudi na alifanya taratibu za kiyahudi ambazo muhamad kwa kiasi kikubwa alikopi.
Ukristo sio utamaduni kama ambavyo Uyahudi na Uislam ni utamaduni.
Ukristo ni uhusiano wa mtu na Yesu alie hai kama hauna huo uhusiano Basi sio mkristo
 
Kwani Yesu alisali wapi, msikitini au Kanisani, alipiga magoti, au alisujudu, au alifanya ishara ya msalaba.Ukipata jibu niambie
Kuna kitu Waislamu wanachanganya au hawaelewi. Yesu hakuingia kwenye Sinagogi kusali bali aliingia kufundisha. Ni km vile Shekhe aingie kanisani kufundisha kuhusu uzuri wa Allah,Quran na Uislamu. Je hapo atakuwa ameenda kusali au kufundisha imani yake? Hivyo alivyokuwa kwa Yesu Kristo. Kumbuka huyu ni mwana wa Mungu( kulingana na Ukristo),hivi yeye ndo ahubiliwe na mwanadamu?

Wazee wa dini za wakati huo pamoja na kupishana kiimani na Yesu Kristo, bado walimpa fursa ya kumsikiliza na kuhojiana kuhusu imani yake. Waliokubali waliungana nae waliompinga aliwaacha.
 
Kwa sababu Jesus na issa Ni mtu mmoja.
Ni sawa mungu kumuita God,yehova au ALLAH.
Sio kweli ni wawili tofauti Yesu alizaliwa kwenye hori la ngombe wakati Issa alizaliwa chini ya mtende Yesu alikufa na kufufuka Issa hakufufuka alikufa akazikw akaozea kwenye udongo
 
Naomba nikusaidie ndugu, inaonekana Kuna upunguf kdgo kumjua KRISTO.kwanza hakuna popote yesu kasema toeni kelele za vinanda.dini ya kiyahud ni kongww kuliko ukristo na uislam.dini hz mbili zilivyokuja zilijaribu ku-odopt baadh ya vitu toka kwa wayahudi.sinagog asili yake ni uyahudi, tafsir yake ni msikit(lkn wa din ya kiyahud)sio islam.hvyo hvyo walikua na hekalu(ambao wakristo pia waliadopt that's why kanisa mahala pengine kinaitwa hekalu)ni km vile kiswahili kilipokua kinatungwa Kuna MANENO yalitoholewa kutoka kwenye lugha nyingine.nadhani umenielewa.kuhusu kumfuata yesu jibu liko wazi sana.ili uwe mfuasi kamili wa yesu,shart ubatizwe.je mnafanya hivyo!??alamsik
kuanzia Adam hadi Ibrahim huko kote mitume ilikiwa ni wayahudi.

Unaposema kwamba sinagogi ni msikiti,,lakini ni msikiti wa wayahudi,,ni kweli sababu uyahudi ni kabila na sio dini..
Neno msikiti peke linaonyesha uhusiano kati ya yesu na msikiti.

Kipindi chote hicho mitume yote ilikuja kwa kabila la wayahudi.,,,ndy maana hata leo wapo wayahudi waislam kibao hapo Israel na kote duniani.
Hata yesu ni myahudi...

Kama kanisa ndy sinagogi? kwanini basi maana ya sinagogi isisomeke Kama kanisa la wayahudi?
Wanaohusishwa hapo na hilo sinagogi ni waislam

A---Kubatiza ni nn?

--Kubatiza ni kumtoa mtu ktk dini yake ya asili na kumwingiza kwenye dini zingine.

B----Dini ni nini?
Dini ni kufuata mamrisho ya kiimani ya kiroho.


Dini zipo nyingi sana hapa duniani,,na dini zote sio dini za MUNGU,,

Zingine ni dini za watu hapa hapa duniani.
Mfano.
--Muslims.
--Christians.
-- Buddha.
-- baniani.
--kuna dini watu wanaabudu Uume wa binadamu.
-- watu wanaabudu wanyama nk.


1---Uislam na kubatiza.

Kumbuka kwamba mtoto yeyote anayezaliwa na binadamu anakuwa .
-- hana dhambi.
-- automatic anakuwa ni muislam..
Sababu baba yetu Adam na mama yetu hawa walikuwa ni waislam,,
Tunazaliwa tukiwa ni waislam wa asili..

--Anapokuja hapa duniani ndy huvikwa joho la kubatizwa ili kumtoa ktk dini ile ya zamani aliyozaliwa nayo na kumtia ukristo.,,au dini zingine .

Kumbuka hata baniani,,Freemason,, nk dini zote hizo ni lazima ubatizwe ili uweze kutolewa kwenye dini yako ya asili.
Na asipobatizwa haonekani kama mkristo..au huwi baniani,,au Buddha,, nk.

Ndy maana hata mtu akiwa dini ingine akiingia uislam lazima abatizwe( kuslimishwa)
Ili kumtoa ktk dini aliyokuwa nayo huko,,lakini mtoto mchanga hata azaliwe na mkristo au baniani ataendelea kuwa Muslims wala hasilimishwi kama hajabatizwa.

2----Hebu jaribu kufikiri.

Kwanini ?Baba mkristo,,mke mkristo anapozaliwa mtoto lazima abatizwe ili awe mkristo kamili..


Baba muislam,,mke muislam anapozaliwa mtoto automatic ni muislam,,?

sisi binadamu tu nafata dini ya Adam na hawa wazazi wetu wa asili...

Ndy maana tunaitwa" bin Adam'" maana yake mtoto wa Adam.
 
Maryam mama wa Issa wa kwenye Quran ni dada yake na Imran au Aaron au dada yake mussa.

kwenye Bible hawa ni watu wawili walioishi tofauti ya miaka 2000. mmoja anaitwa miriam mwingine mariam
kukopi kopi kubaya sana mtume akaingia chaka aliyekuwa anamsimulia alipitiwa na yeye akalibeba hivyohivyo maskini..
 
Unachanganya mafile.ni kweli kuimba ni sehemu ya ibada za kikristo.ss nmekuuliza wp yesu kasema toeni kelele za vinanda!?
Rudi kwenye injili yako mkuu, tatizo lenu mnasoma injili siku ya sabato tu,,
Tena vipande vipande.

Siku zingine zote mnapiga vinanda badala ya kuisoma bible.
 
Umechanganya mafaili ile mbaya...Allah ni sawa na God ila sio sawa na Jehova pia Issa sio Yesu
Kwahyo yule aliyezaliwa na bikira maria ni nani?
Yule aliyekuwa,akisali kwenye masinagogi huku akisujudu na kupiga magoti huku akiwa amevua viatu vyake ni nani?
 
Yesu na Issa ni watu wawili tofauti. Kwanini?
1.Yesu Kristo alibatizwa wakati Issa hakubatizwa na hatambui ubatizo.
2.Yesu kristo ni mwana wa Mungu, wakati Issa si mwana wa Mungu na hata Waislamu wanapinga hilo kwa nguvu zote.
3.Yesu kristo aliteswa,kufa msalabani na kufufuka, wakati Issa alinyakuliwa mbinguni.
4.Yesu Kristo ana sifa ya Uungu(Mungu) wakati Issa hana.
5.Yesu kristo hakuoa wakati Baadhi ya Waislamu wanaamini nabii Issa alioa.
6. Yesu atarudi siku ya mwisho kuja kuhukumu wanadamu, wakati Issa atarudi kuja kuwaua wapinga kristo na kisha atakufa.

Hizi ni baadhi ya tofauti kati ya Yesu Kristo na nabii Issa. Hivyo wanaosema Yesu Kristo ni nabii Issa huenda hawajui maandiko au wanalazimisha kubalansi mzani. Lakini ukweli utabaki palepale,Yesu Kristo wa kwenye biblia si Nabii Issa wa kwenye Quran. Anayebisha aendelee kubisha.
Wametofautishwa na wanadamu kama wewe kwa faida zao,,

Ili ufate dini zao.
Ila kiuhalisia ni mtu mmoja.
 
kukopi kopi kubaya sana mtume akaingia chaka aliyekuwa anamsimulia alipitiwa na yeye akalibeba hivyohivyo maskini..
ndomaan wayahudi walimwita sikio...maana kila alichosikia alipeleka kwenye quran kuna story nyingi za uongo walizokuwa wanampa alizipeleka kwenye Quran...Zile story za kwenye Talmud za kirabbi(kama bible lakini iliyotiwa Chumvi)
mfano watu kugeuzwa nyani nk. Alikopi sana.

Wakristo wa kipindi hicho pia walikuwa na story zao za Chumvi kama Yesu kuongea akiwa mtoto au kubadilisha udongo kuwa ndege...wao walijua ni Chumvi na walisimulia watoto wadogo lakini Muhammad alipozisikia zikaishia kwenye Quran
 
Wakristo wanamfuata Yesu,waislamu wanamfuata Mohamed.
Yesu yupi mnayemfata nyie?

Yesu alikuwa,,

-- anasujudu,

--Anaosha USO ,,mikono na miguu kabla ya kusali.


--Anavua viatu wakati wa kusali.

Je wewe unafanya?
Au unasali juu ya madawati na viatu?
 
Back
Top Bottom