Msikiti uliopewa Jina la Yesu

Msikiti uliopewa Jina la Yesu

Kwahyo yule aliyezaliwa na bikira maria ni nani?
Yule aliyekuwa,akisali kwenye masinagogi huku akisujudu na kupiga magoti huku akiwa amevua viatu vyake ni nani?
Yule aliyesulubiwa? aliyekufa na kufufuka?Yule aliyesujudiwa?Yule aliyehubiri ufalme wa mbinguni na kujiita mwana wa Mungu? Yule ni Yesu.


Lakini kusali kwenye masinagogi na kupiga magoti na kusujudu ni sifa ambazo myahudi yeyote kwa kipindi hicho(/hata sasa) angefanya...kwahyo uwepo wa myahudi aliyefanya hayo inawezekana lakini kama tunaamini hekaya za kitabu kilichoandikwa miaka 600 baadaye basi tufikiri tena
 
Wametofautishwa na wanadamu kama wewe kwa faida zao,,

Ili ufate dini zao.
Ila kiuhalisia ni mtu mmoja.
Tofauti hii si kwa mujibu wa wanadamu bali ni kwa mujibu wa vitabu vya dini ( Biblia na Quran). Kwahiyo km unapinga nilichokiongea basi pinga na vitabu vya dini.
 
Adam alikuwa Myahudi? Unaelewa kwanza neno Wayahudi ilianza kutumika lini au unajiandikia tu kama unatapika?
kuanzia Adam hadi Ibrahim huko kote mitume ilikiwa ni wayahudi.

Unaposema kwamba sinagogi ni msikiti,,lakini ni msikiti wa wayahudi,,ni kweli sababu uyahudi ni kabila na sio dini..
Neno msikiti peke linaonyesha uhusiano kati ya yesu na msikiti.

Kipindi chote hicho mitume yote ilikuja kwa kabila la wayahudi.,,,ndy maana hata leo wapo wayahudi waislam kibao hapo Israel na kote duniani.
Hata yesu ni myahudi...

Kama kanisa ndy sinagogi? kwanini basi maana ya sinagogi isisomeke Kama kanisa la wayahudi?
Wanaohusishwa hapo na hilo sinagogi ni waislam

A---Kubatiza ni nn?

--Kubatiza ni kumtoa mtu ktk dini yake ya asili na kumwingiza kwenye dini zingine.

B----Dini ni nini?
Dini ni kufuata mamrisho ya kiimani ya kiroho.


Dini zipo nyingi sana hapa duniani,,na dini zote sio dini za MUNGU,,

Zingine ni dini za watu hapa hapa duniani.
Mfano.
--Muslims.
--Christians.
-- Buddha.
-- baniani.
--kuna dini watu wanaabudu Uume wa binadamu.
-- watu wanaabudu wanyama nk.


1---Uislam na kubatiza.

Kumbuka kwamba mtoto yeyote anayezaliwa na binadamu anakuwa .
-- hana dhambi.
-- automatic anakuwa ni muislam..
Sababu baba yetu Adam na mama yetu hawa walikuwa ni waislam,,
Tunazaliwa tukiwa ni waislam wa asili..

--Anapokuja hapa duniani ndy huvikwa joho la kubatizwa ili kumtoa ktk dini ile ya zamani aliyozaliwa nayo na kumtia ukristo.,,au dini zingine .

Kumbuka hata baniani,,Freemason,, nk dini zote hizo ni lazima ubatizwe ili uweze kutolewa kwenye dini yako ya asili.
Na asipobatizwa haonekani kama mkristo..au huwi baniani,,au Buddha,, nk.

Ndy maana hata mtu akiwa dini ingine akiingia uislam lazima abatizwe( kuslimishwa)
Ili kumtoa ktk dini aliyokuwa nayo huko,,lakini mtoto mchanga hata azaliwe na mkristo au baniani ataendelea kuwa Muslims wala hasilimishwi kama hajabatizwa.

2----Hebu jaribu kufikiri.

Kwanini ?Baba mkristo,,mke mkristo anapozaliwa mtoto lazima abatizwe ili awe mkristo kamili..


Baba muislam,,mke muislam anapozaliwa mtoto automatic ni muislam,,?

sisi binadamu tu nafata dini ya Adam na hawa wazazi wetu wa asili...

Ndy maana tunaitwa" bin Adam'" maana yake mtoto wa Adam.
 
Yule aliyesulubiwa? aliyekufa na kufufuka?Yule aliyesujudiwa?Yule aliyehubiri ufalme wa mbinguni na kujiita mwana wa Mungu? Yule ni Yesu.


Lakini kusali kwenye masinagogi na kupiga magoti na kusujudu ni sifa ambazo myahudi yeyote kwa kipindi hicho(/hata sasa) angefanya...kwahyo uwepo wa myahudi aliyefanya hayo inawezekana lakini kama tunaamini hekaya za kitabu kilichoandikwa miaka 600 baadaye basi tufikiri tena
Uyahudi sio dini bali ni kabla,,

Wote hao ni mmoja,, ila mmefundishwa kuwatofautisha ili mfate dini za watu.

Hivi yesu aliposema sikuja bali kwa makabila 12 ya wana wa Israel ,,yesu anakuhusu na wewe mgogo ,,,mmasai pia ?
 
Usisahau alikuwa anakunywa Mvinyo pia na kwenda hekaluni siku ya Sabato sio Ijumaa.
Yesu yupi mnayemfata nyie?

Yesu alikuwa,,

-- anasujudu,

--Anaosha USO ,,mikono na miguu kabla ya kusali.


--Anavua viatu wakati wa kusali.

Je wewe unafanya?
Au unasali juu ya madawati na viatu?
 
Ebu Soma Aya ya 45.
Alafu niambie kwenye biblia uzao wa yesu .
Ulitokea vipi?.
Maryam mama wa Issa wa kwenye Quran ni dada yake na Imran au Aaron au dada yake mussa.

kwenye Bible hawa ni watu wawili walioishi tofauti ya miaka 2000. mmoja anaitwa miriam mwingine mariam
Screenshot_20201228-090136.jpg
 
Ebu Soma Aya ya 45.alafu niambie uzao wa yesu kwenye biblia ulikuwaje
Yesu na Issa ni watu wawili tofauti. Kwanini?
1.Yesu Kristo alibatizwa wakati Issa hakubatizwa na hatambui ubatizo.
2.Yesu kristo ni mwana wa Mungu, wakati Issa si mwana wa Mungu na hata Waislamu wanapinga hilo kwa nguvu zote.
3.Yesu kristo aliteswa,kufa msalabani na kufufuka, wakati Issa alinyakuliwa mbinguni.
4.Yesu Kristo ana sifa ya Uungu(Mungu) wakati Issa hana.
5.Yesu kristo hakuoa wakati Baadhi ya Waislamu wanaamini nabii Issa alioa.
6. Yesu atarudi siku ya mwisho kuja kuhukumu wanadamu, wakati Issa atarudi kuja kuwaua wapinga kristo na kisha atakufa.

Hizi ni baadhi ya tofauti kati ya Yesu Kristo na nabii Issa. Hivyo wanaosema Yesu Kristo ni nabii Issa huenda hawajui maandiko au wanalazimisha kubalansi mzani. Lakini ukweli utabaki palepale,Yesu Kristo wa kwenye biblia si Nabii Issa wa kwenye Quran. Anayebisha aendelee kubisha.
Screenshot_20201228-090136.jpg
 
Usisahau alikuwa anakunywa Mvinyo pia na kwenda hekaluni siku ya Sabato sio Ijumaa.
Hivi hizi siku kaziweka nani?

Je unajuwa siku ya 7 ni ipi?

Wakati wewe unahesabu Saturday ndy siku ya 7 ,,

Wenzio wanahesabu ijumaa.

Kama hujuwi hizi siku mzungu ndy kageuza kwa utashi wake.

Arabuni kote friday,,Saturday ndy siku za mapumziko.

Sunday mzigo unaendelea kama kawaida..tena ni kama blue Monday..

Sasa hesabu kuanzia j mosi.,..siku ya 7 ni ipi?

Habari ya mvinyo kuna vitu vilikatazwa baadae,,

Si kila kilichohalalishwa zama za mitume mingine ilikiwa ni halali moja kwa moja.

Huo mvinyo ulihalalishwa,,,baadae ukaharamishwa..
 
Biblia haijawahi kuupinga uislam hata siku MOJA.
Hapo unaquote bible kuonesha yesu ni mwislam wakati hiyo hiyo bible inaupinga uislam...ukikuta sehem zinaupinga uislam hamtaki na hamuikubali bible..Basi Chagueni Moja
Hizo point ni za kitoto mno au kuna mkristo anakatazwa kufanya hayo?Yesu pia alisali Jumamosi waislam mnaenda kwenye masinagogi Jumamosi?
Yesu hakuwa mkristo wala muislam alikuwa myahudi na alifanya taratibu za kiyahudi ambazo muhamad kwa kiasi kikubwa alikopi.
Ukristo sio utamaduni kama ambavyo Uyahudi na Uislam ni utamaduni.
Ukristo ni uhusiano wa mtu na Yesu alie hai kama hauna huo uhusiano Basi sio mkristo
 
Niwekee uzao wa yesu katika biblia.
Mimi nimekuwekea wa issa katika Quran
Sio kweli ni wawili tofauti Yesu alizaliwa kwenye hori la ngombe wakati Issa alizaliwa chini ya mtende Yesu alikufa na kufufuka Issa hakufufuka alikufa akazikw akaozea kwenye udongo
Screenshot_20201228-090136.jpg
 
Mvinyo uliharamishwa na nani?
Hivi hizi siku kaziweka nani?

Je unajuwa siku ya 7 ni ipi?

Wakati wewe unahesabu Saturday ndy siku ya 7 ,,

Wenzio wanahesabu ijumaa.

Kama hujuwi hizi siku mzungu ndy kageuza kwa utashi wake.

Arabuni kote friday,,Saturday ndy siku za mapumziko.

Sunday mzigo unaendelea kama kawaida..tena ni kama blue Monday..

Sasa hesabu kuanzia j mosi.,..siku ya 7 ni ipi?

Habari ya mvinyo kuna vitu vilikatazwa baadae,,

Si kila kilichohalalishwa zama za mitume mingine ilikiwa ni halali moja kwa moja.

Huo mvinyo ulihalalishwa,,,baadae ukaharamishwa..
 
Ebu Soma Aya ya 45.
Alafu niambie kwenye biblia uzao wa yesu .
Ulitokea vipi?.View attachment 1661127
Hivi mkuu nipe tofauti ya maneno haya.

Kanisa na church.
---Bible na injili.

---Book na kitabu.

---brahim na Abraham.

---Musa na moses.

--Michael na mikhael.

---Gebril na grabriel.

--Yesu na issa.

---Mirium na mariam..

--Joseph na Yusuph.

--yohana na yunus
 
HAKUNA TOFAUTI KABISA.
Hivi mkuu nipe tofauti ya maneno haya.

Kanisa na church.
---Bible na injili.

---Book na kitabu.

---brahim na Abraham.

---Musa na moses.

--Michael na mikhael.

---Gebril na grabriel.

--Yesu na issa.

---Mirium na mariam..

--Joseph na Yusuph.

--yohana na yunus
 
Back
Top Bottom