Msikiti uliopewa Jina la Yesu

Msikiti uliopewa Jina la Yesu

Wapi Muhammad kasema Mariam Ni DADA YAKE MUSA?.
WEKA AYA LEO LEO NAKUWA MKRISTO.
Duh walimu wana kazi sana.
biblia iko wazi kuna Miriam na Mariam.
Miriam ni dada yake Mussa na baba yake aliitwa Amram(Imran):
Mariam ni mama yake Yesu( baba ake aliitwa Joachim)

Sasa Muhamad kupitia kulwani aliwachanganya hawa watu wawili akasema Maryam mama wa Yesu alikuwa dada wa Harun na Baba ake aliitwa Imran.
 
Umemuona MARIAM DADA AKE MUSA NA HARUNI?.
huyoo hapo sio mama yake YESU.
Ila wayahidi walimuita mama yake YESU dada wa Musa sababu ya kufanana majina.
Ila Ni kweli baba yake Musa ALIKUWA Ni Imran na baba yake mariam mama yake YESU ALIKUWA anaitwa IMRAN.View attachment 1661206

Taqqiya at its Best.
 
Aya ya 45
Waislamu mnaamini kwamba kuna Roho Mtakatifu? Ametajwa kwenye quran?
Screenshot_20201228-090136.jpg
 
Pamoja na yooote mengine naona misimamo mikali ya wale wenye imani kali ina erode gently, zamani hii kitu ingeleta hadi maafa.
 
Kwani yesu alikuwa HASAMEHI DHAMBI?
Laaanatullah.....kwa uislamu si allah pekee ndo anaweza kusamehe dhambi?? Ila sishangai kuna hadithi imesema hata lile Jiwe la mecca linauwezo wa kusamehe dhambi.
 
Wapi Muhammad kasema Mariam Ni DADA YAKE MUSA?.
WEKA AYA LEO LEO NAKUWA MKRISTO.
Duh!Quran inasema Maryam baba yake alikuwa Imran
Kaka yake alikuwa Harun

Musa Baba yake Imran na kaka yake Ni Harun

Sasa kama wameshare baba na kaka
Hawa ni siblings.

Hakuna sehem kwenye Quran imemzungumzia Miriam as a separate person ila inamzungumzia maryam kwa sifa za miriam...It means mwandishi aliwachanganya Hawa watu
 
NIPE AYA TUMALIZE UTATA.
acha ngonjera.
Biblia inasema dada yake Musa ALIKUWA Miriam" NABII MKE".
Aya ya 20 na 21.
kati ya biblia na Quran unaamini KIPI?
Duh!Quran inasema Maryam baba yake alikuwa Imran
Kaka yake alikuwa Harun

Musa Baba yake Imran na kaka yake Ni Harun

Sasa kama wameshare baba na kaka
Hawa ni siblings.

Hakuna sehem kwenye Quran imemzungumzia Miriam as a separate person ila inamzungumzia maryam kwa sifa za miriam...It means mwandishi aliwachanganya Hawa watu
Screenshot_20201228-095927.jpg
 
Pamoja na yooote mengine naona misimamo mikali ya wale wenye imani kali ina erode gently, zamani hii kitu ingeleta hadi maafa.

Utandawazi na Teknolohia vimesaidia sana kuwarekebisha hawa Waislamu, ingawaje bado kazi kubwa inahitajika.....Pia sikuhizi kuna wasio waislamu wanajitahidi sana Kusoma Quran na Hadithi na kuukosoa tofauti na zamani.
 
Back
Top Bottom