Msichana mzuri mwenye shosti mbaya............

Msichana mzuri mwenye shosti mbaya............

The Boss hapo siwezi kubisha sababu visa kama hivyo nimeishakutana navyo na kuviona zaidi ya mara kumi

...the finest, hii mada inanikumbusha wanawake wa kizungu, ...wale Natural Blondes with blue eyes...wanaofanana kama Barbie Dolls. Wengi wao ni wazuri mno, ila huchukuliwa kama 'Natural dumbs!'
:focus:
Tabia ya kauzibe ni mambo ya shule na vyuoni. Ukubwani unapokumbana na binti (mzuri) asiyejiamini kihivyo,
ni hatari kuwa naye kwenye mahusiano, mapenzi na hata ndoa. 'Atakuwa' anashawishika kirahisi sana.
 
Ahaaa ahaaa mkuu natural blondes hao sina hata la kusema
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
unachosema ni kwal ila umesahau kusema asilimia kubwa ya wasichana wazur huwa wanaambatana na wasichana wakubwa kiumri yan ninamaanisha hao wabaya ndo wanakuwa wakubwa hvyo huwa hanabud yeye kumsikiliza mkubwa wake japo co wote wakubwa wanakuwa na mafunzo mema ila asilimia huwa wanamuonea wivu na yeye pasipo kujua kuwa mkubwa wake anaona donge kwake humsikiliza na kumuheshmu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom