Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,686
wakuu hapa nilipo maleria hadi imepanda kichwani baada ya demu wangu niliyekuwa namwamini kumegwa na mshkaji wangu wa karibu sana ambaye nilishamsaidia sana (kifedha) na hadi kupata kazi
sasa hapa nifanyeje?
nakumbuka kaka yangu aliniambia kuwa nisiwe nasaidia kila mtu
kuanzia leo sitasaidia mtu kitu chochote nadhani hii sio dhambi bora lawama kuliko fedheha, na kama nitakuwa nataka kutoa msaada bora nipeleke kwenye vituo vya kulelea watoto kuliko kumsaidia binadamu.
kimwanamke chenyewe kinajifanya kukataa kimeruka hadi mita mia kukataa
sijui nikiache, kudddkkkki
nawashauri msiwe mnasaidia watu kama sio ndugu yako wa tumbo moja.
na kama huamini ipo siku itakuja kupata yaliyonipata leo
.... e bana wee? kumsaidia mtu kunahusiana vipi na 'kumegewa' demu wako?
hii ndio mistake ambayo niliifanya basi...da salaaaala!!Sitoacha kusaidia mtu kwa sababu tu umemegewa na aliyekumegea ni mtu wako wa karibu/rafiki yako wa karibu na hilo pekee halitoshi kuacha kumsaidia mtu.. sasa mzee kama umemegewa na best friend tu marelia inapanda hadi kichwani je ukimegewa na mdogo wako au kaka yako wa tumbo moja? si utakufa kabisa? cha msingi temana na hako ka demu au kama una moyo wa kusamehe poa tu... kwani nini kaka ile kitu si haisomi kilometa mzee..we komaa nayo kama vipi...
cha msingi sana katika maamuzi yako mie nilishashauriwa na mzee wangu kwamba USIMWAMINI MTOTO WA KIKE HATA KWA DAKIKA MOJA... Akili kumkichwa,
wakuu hapa nilipo maleria hadi imepanda kichwani baada ya demu wangu niliyekuwa namwamini kumegwa na mshkaji wangu wa karibu sana ambaye nilishamsaidia sana (kifedha) na hadi kupata kazi
sasa hapa nifanyeje?
nakumbuka kaka yangu aliniambia kuwa nisiwe nasaidia kila mtu
kuanzia leo sitasaidia mtu kitu chochote nadhani hii sio dhambi bora lawama kuliko fedheha, na kama nitakuwa nataka kutoa msaada bora nipeleke kwenye vituo vya kulelea watoto kuliko kumsaidia binadamu.
kimwanamke chenyewe kinajifanya kukataa kimeruka hadi mita mia kukataa
sijui nikiache, kudddkkkki
nawashauri msiwe mnasaidia watu kama sio ndugu yako wa tumbo moja.
na kama huamini ipo siku itakuja kupata yaliyonipata leo
Pole kwa kumegewa Demu wako, Najua Inauma Sana.
Lakini Endelea na Moyo wa kusaidia watu, Hakuna uhusiano wa kusaidia mtu na kumegewa demu wako.
Kwa kupunguza machungu, tafuta Demu wa mshikaji na wewe ummege. Kumbuka Madem ndio urithi pekee tulioachiwa sisi.
Kama demu wako amemegwa na mshikaji, basi ujue wewe una defficiences fulani fulani katika mwenendo wako wa mapenzi!wakuu hapa nilipo maleria hadi imepanda kichwani baada ya demu wangu niliyekuwa namwamini kumegwa na mshkaji wangu wa karibu sana ambaye nilishamsaidia sana (kifedha) na hadi kupata kazi
sasa hapa nifanyeje?
nakumbuka kaka yangu aliniambia kuwa nisiwe nasaidia kila mtu
kuanzia leo sitasaidia mtu kitu chochote nadhani hii sio dhambi bora lawama kuliko fedheha, na kama nitakuwa nataka kutoa msaada bora nipeleke kwenye vituo vya kulelea watoto kuliko kumsaidia binadamu.
kimwanamke chenyewe kinajifanya kukataa kimeruka hadi mita mia kukataa
sijui nikiache, kudddkkkki
nawashauri msiwe mnasaidia watu kama sio ndugu yako wa tumbo moja.
na kama huamini ipo siku itakuja kupata yaliyonipata leo
nope.. sijaoa bado na nikikaribia kuoa lazima nitakuja hapa kuwaalika kwenye arusi ...siwezi kuwanyima ndugu zanguMalizia story yako.
Siku zote nilikuwa najua una mke na watoto kumbe bado??
uliza kwanza msaada gani nilimsaidia/?
jamaa alikuja akawa anaishi kwanggu kwa mda so hapo ndio alivyojuana na demu wangu
hope umenipata
Pole kwa kumegewa Demu wako, Najua Inauma Sana.
Lakini Endelea na Moyo wa kusaidia watu, Hakuna uhusiano wa kusaidia mtu na kumegewa demu wako.
Kwa kupunguza machungu, tafuta Demu wa mshikaji na wewe ummege. Kumbuka Madem ndio urithi pekee tulioachiwa sisi.
Kama demu wako amemegwa na mshikaji, basi ujue wewe una defficiences fulani fulani katika mwenendo wako wa mapenzi!
Ni muda sahihi kwako kujipeleleza na kuibuka na majibu ya nini unashindwa kumridhisha nacho!
Kukata misaada kwa ndugu na jamaa hakutasaidia kitu, zaidi sana utazidi kuumizwa tena kwa sana...
hapa ndio nilipokosea ndugu yanguLooo Pole sana mkuu haya mambo ya USWAHIBA mara nyingine huwa yana madhara km hayo. Ila sio kila swahiba anatabia hiyo chafu ya kumega demu za wenzake. Nadhani hiyo ni tabia ya mtu mmoja mmoja na huwezi kusema eti usisaidie watu tena maishani mwako.
Ukiwa na rafiki jaribu kumsoma kiundani umwelewe na km una mashaka naye basi weka daraja fulani la kuwa karibu naye.
Usifikirie kila mtu yuko na tabia km hiyo ya rafiki yako ukaacha kusaidia watu. Huwezi jua ktk maisha unaweza kutana na watu wenye roho za imani na wakakusaidia wewe pia maana sio kila siku wewe tu ndio utasaidia wengine.
Najua umeumia sanaila mwite swahiba wako na huyo demu mzungumze kirafiki, na km umeamua kumwacha msigombane, haya matukio sio mwanzo leo wala sio mwisho. Mzungumze kiutu uzima bila jazba na mnaweza kuwa marafiki tu. Binadamu wengine wana tamaa za karibu na huwezi kuwalaumu ni hulka walizoumbwa nazo. Mchukuliane kwa upendo na amani na siyo kuwekeana kisasi.
nope.. sijaoa bado na nikikaribia kuoa lazima nitakuja hapa kuwaalika kwenye arusi ...siwezi kuwanyima ndugu zangu