Mshale wa Helen Kejo Bisimba kwa Magufuli

..Kwa tabia yake, Magufuli anaweza kuishiwa uvumilivu akajibu mapigo. Tusubiri wakati tuu..
Kwa kuijua tabia yake, DC wa Wilaya alipo huyu mama anaweza kuact faster kabla hata Magufuli hajasema kitu. Mama anaweza kuitwa afafanue kauli yake. Akijichanganya, anakwenda ndani kwa 48 hrs kwa "kutuchochea" na kuincite chuki ya wananchi against mwenyenchi. Ni as if tupo kwenye state of emergency.
 
Basi hapo nmemwelewa kwamba yuko upande gani na sio hapo alipo.
 
JF Kwenu,

Akiwa Kigoma, Mh. Rais Magufuli aliongea maneno mengi ya kufurahisha wananchi wakati akizindua mradi wa barabara na maji.
Maneno ya Mama Bisimba kwa Rais Magufuli yanafikirisha, "Wananchi kwa kutoelewa wanaamini serikali inawapendelea kwa kuwapa maji na barabara, bila kujua huo ndiyo wajibu wa serikali iliyo madarakani na maji hayo yalipaswa kuwepo tangu mwaka 1961 tulipoanza kujitawala. Halafu mtu anatumia hiyo kama ngao ya kuwa ni mtendaji kuliko vyama vya upinzani ambavyo huo si wajibu wake hata kidogo".

Kwa tabia yake, Magufuli anaweza kuishiwa uvumilivu akajibu mapigo. Tusubiri wakati tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapeleke kureeee kigenge chao kinachojinasibisha kutetea haki wakati kimejaa ukaskazini. Mjomba Magu hababaishwi na upuuzi huo. Huyu maze anajifanyaga much know sana. Hivi wanakigoma ametudharau kwa kiwango gani kutuona sisi mazuzu. Ni lazima tushangilie kwa sababu tumesubiri kwa muda mrefu.
 
Kama hasimamii kwa kukataza rushwa hayo maji mtayapata wapi? Umesema mwenyewe ni wajibu wa serikali, hujiulizi mbona miradi haikukamilika mpaka sasa na serikali ikiwepo? Mnachosahau kuwa serikali ni chombo kikubwa kinachojumuisha watu wenue bongo tofauti na kwamba serikali si chama cha siasa pekee. Wezi si wanasiasa tu bali hata watendaji wa serikali na wengine wako vyama pinzani. Yes, kasimamia vyema na watu wameogopa kupiga ni lazima apewe sifa. Nadhani ushanisoma.

Havome
Maji yenyewe si ya msaada lakini au?
 
JF Kwenu,

Akiwa Kigoma, Mh. Rais Magufuli aliongea maneno mengi ya kufurahisha wananchi wakati akizindua mradi wa barabara na maji.
Maneno ya Mama Bisimba kwa Rais Magufuli yanafikirisha, "Wananchi kwa kutoelewa wanaamini serikali inawapendelea kwa kuwapa maji na barabara, bila kujua huo ndiyo wajibu wa serikali iliyo madarakani na maji hayo yalipaswa kuwepo tangu mwaka 1961 tulipoanza kujitawala. Halafu mtu anatumia hiyo kama ngao ya kuwa ni mtendaji kuliko vyama vya upinzani ambavyo huo si wajibu wake hata kidogo".

Kwa tabia yake, Magufuli anaweza kuishiwa uvumilivu akajibu mapigo. Tusubiri wakati tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkulu anatafuta kiki tu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hasimamii kwa kukataza rushwa hayo maji mtayapata wapi? Umesema mwenyewe ni wajibu wa serikali, hujiulizi mbona miradi haikukamilika mpaka sasa na serikali ikiwepo? Mnachosahau kuwa serikali ni chombo kikubwa kinachojumuisha watu wenue bongo tofauti na kwamba serikali si chama cha siasa pekee. Wezi si wanasiasa tu bali hata watendaji wa serikali na wengine wako vyama pinzani. Yes, kasimamia vyema na watu wameogopa kupiga ni lazima apewe sifa. Nadhani ushanisoma.

Havome
Ulichokiandika hapa ni upupu tu sijaona pointi,unajua wajibu wa kiongozi?.
Unajua kupambana na rushwa na hayo maji ni wajibu wake kama kiongozi?.
Hivi kwa baba kuwanunulia watoto wake mavazi ni jambo la lazima au anafanya hivo kama hisani?.
Nyangomboli,fatialia maana halisi ya jina lako na ulibadili.NI USHAURI TU
 
Mkuu lets be honesty, nani asiyejisikia fahari na kujisifia akiwa ametekeleza vema wajibu wake kama kiongozi wa familia? Wajibu kama umewasomesha watoto vizuri, umewapa huduma bora ya mavazi na tiba ktk hospital nzuri n.k.? Tuwe wakweli huku mitaani wengi tunajisifia wengi tu, hasa kama waliokutangilia ktk familia au waliokuzunguka wana/wame shindwa?
ndio nacho kwambia ni mambo ya aibu kujisifia kutimiza wajibu wako
 
Kama hasimamii kwa kukataza rushwa hayo maji mtayapata wapi? Umesema mwenyewe ni wajibu wa serikali, hujiulizi mbona miradi haikukamilika mpaka sasa na serikali ikiwepo? Mnachosahau kuwa serikali ni chombo kikubwa kinachojumuisha watu wenue bongo tofauti na kwamba serikali si chama cha siasa pekee. Wezi si wanasiasa tu bali hata watendaji wa serikali na wengine wako vyama pinzani. Yes, kasimamia vyema na watu wameogopa kupiga ni lazima apewe sifa. Nadhani ushanisoma.

Havome

Sijaelewa unachokitetea au unachokikosoa.
 
JF Kwenu,

Akiwa Kigoma, Mh. Rais Magufuli aliongea maneno mengi ya kufurahisha wananchi wakati akizindua mradi wa barabara na maji.
Maneno ya Mama Bisimba kwa Rais Magufuli yanafikirisha, "Wananchi kwa kutoelewa wanaamini serikali inawapendelea kwa kuwapa maji na barabara, bila kujua huo ndiyo wajibu wa serikali iliyo madarakani na maji hayo yalipaswa kuwepo tangu mwaka 1961 tulipoanza kujitawala. Halafu mtu anatumia hiyo kama ngao ya kuwa ni mtendaji kuliko vyama vya upinzani ambavyo huo si wajibu wake hata kidogo".

Kwa tabia yake, Magufuli anaweza kuishiwa uvumilivu akajibu mapigo. Tusubiri wakati tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kumbe tatizo ni kuwafurahisha wananchi? Sasa kama rais wa nchi hatawafurahisha wananchi wake nani atafanye hivyo? Mbona hata sisi tulioajiriwa ikifika pay day tunafurahi japo ni haki yetu? Au huyu mama Simba naye yuko chama gani cha siasa ambacho ni kinyume na serikali????
 
Kweli kabisa ulaghai wa zama hizi ni sawa na kunywa vidonge vingi ili uwahi kupona kumbe unajichochea sumu itakayo kugharimu kwa muda mrefu sana.
 
MFANO:
Sisi binaadam tunapaswa kusaidiana. Mwenzio akiwa hatarini ni jukumu lako kumsaidia.

Sasa fikiria bi kizee anavuka barabara na mkongojo wake. Alipofika katikati ya barabara kukawa na fuso (lori) linaporomoka kwa kasi sana. Wewe kuona ajali inayomkabili yule bibi ukamkimbilia, ukamnyanyua na kumtoa barabarani. Ile mguu wako wa mwisho tu unatoka barabarani na fuso nalo linapita kwa kasi ile ile. Umejitolea kumuokoa huyu bi kizee.

Bi kizee ana mambo matatu ya kufanya:

1. Kukaa kimya
2. Kukushukuru kwa kumuokoa
3. Kusema kuwa ule ulikuwa ni wajibu wako, kama binaadam, kumuokoa na hustahili pongezi.

Unafikiri bi kizee anapaswa kufanya kipi katika hivi vitu vitatu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa sahihi kama ungetoa mfano unaohusu mwanao, kodi yangu no saws na mwanangu
 
Magu amesema wawekezaji sio lazima wawe wazungu tuu,na wakiendelea kutuibia atafunga migodi yote.
Nanuku...."mimi si ndio amir jeshi ?" Mwisho wa kunukuu.
 
MFANO:
Sisi binaadam tunapaswa kusaidiana. Mwenzio akiwa hatarini ni jukumu lako kumsaidia.

Sasa fikiria bi kizee anavuka barabara na mkongojo wake. Alipofika katikati ya barabara kukawa na fuso (lori) linaporomoka kwa kasi sana. Wewe kuona ajali inayomkabili yule bibi ukamkimbilia, ukamnyanyua na kumtoa barabarani. Ile mguu wako wa mwisho tu unatoka barabarani na fuso nalo linapita kwa kasi ile ile. Umejitolea kumuokoa huyu bi kizee.

Bi kizee ana mambo matatu ya kufanya:

1. Kukaa kimya
2. Kukushukuru kwa kumuokoa
3. Kusema kuwa ule ulikuwa ni wajibu wako, kama binaadam, kumuokoa na hustahili pongezi.

Unafikiri bi kizee anapaswa kufanya kipi katika hivi vitu vitatu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa sahihi kama ungetoa mfano unaohusu mwanao, kodi yangu ni sawa na mwanangu ni wajibu nizitumie sitakiwi kukushukuru kwa kunipa maji kwa pesa yangu, nenda Kenya ukafunzwe, dukani hakuna neno naomba unga, nipe unga full stop.
 
Kama hasimamii kwa kukataza rushwa hayo maji mtayapata wapi? Umesema mwenyewe ni wajibu wa serikali, hujiulizi mbona miradi haikukamilika mpaka sasa na serikali ikiwepo? Mnachosahau kuwa serikali ni chombo kikubwa kinachojumuisha watu wenue bongo tofauti na kwamba serikali si chama cha siasa pekee. Wezi si wanasiasa tu bali hata watendaji wa serikali na wengine wako vyama pinzani. Yes, kasimamia vyema na watu wameogopa kupiga ni lazima apewe sifa. Nadhani ushanisoma.

Havome
Acha kupotosha wewe! Kama anadhani watendaji wanapiga kama alivyokuwa anapiga yeye ni mpumbavu!! Miradi iliyozinduliwa imeanza kujengwa muda mrefu hata kabla yake!! Kukamilika kwa miradi hii kumezingatia upatikanaji wa fedha na ratiba ilivyopangwa!!
 
Back
Top Bottom