Mshale wa Helen Kejo Bisimba kwa Magufuli

Mkuu Nyangomboli heshima yako. Naona unadadavua vilivyo. Kama yalitakiwa kuwepo 1961 mbona hayakuja hadi leo ndio yanakuja. Kuna wengine wameisimamia serikali miaka 10 mfululizo na hawakufanya hayo matokeo yake wamekimbilia kujificha upinzani wakiwaongopea wananchi.
Ni yapi ambayo yamefanyika awamu hii ambayo awamu nyingine hayakufanyika? Awamu hii ndiyo kumekuwa na miradi michache ya maendeleo kuliko awamu 2 zilizopita. Uzinduzi unaofanywa ni wa miradi ya awamu ya 4.
 
Basi kama ndio hivyo magu alikuwa sahihi kuvizuia vyama vya siasa kufanya siasa..maana hakuna vitakachowaletea wananchi zaidi ya blabla..kwa sasa wawaachie ccm uwanja..kwa mujibu wa statement ya huyo mwanamke
 
Kawazuia vipi "kufanya siasa" wakati tayari huyo mama kashatoa kauli ya kisiasa na wewe unaijadili hapa?

Sasa Magufuli huyo mama na ungangali wake atamzuiaje kusema anachotaka?
 
Ni yapi ambayo yamefanyika awamu hii ambayo awamu nyingine hayakufanyika? Awamu hii ndiyo kumekuwa na miradi michache ya maendeleo kuliko awamu 2 zilizopita. Uzinduzi unaofanywa ni wa miradi ya awamu ya 4.
Mkuu hujaona kitu hata kimoja? Kama hujaona basi hata masikio hujayatumia kusikia?
 
JF Kwenu,

Akiwa Kigoma, Mh. Rais Magufuli aliongea maneno mengi ya kufurahisha wananchi wakati akizindua mradi wa barabara na maji.
Maneno ya Mama Bisimba kwa Rais Magufuli yanafikirisha, "Wananchi kwa kutoelewa wanaamini serikali inawapendelea kwa kuwapa maji na barabara, bila kujua huo ndiyo wajibu wa serikali iliyo madarakani na maji hayo yalipaswa kuwepo tangu mwaka 1961 tulipoanza kujitawala. Halafu mtu anatumia hiyo kama ngao ya kuwa ni mtendaji kuliko vyama vya upinzani ambavyo huo si wajibu wake hata kidogo".

Kwa tabia yake, Magufuli anaweza kuishiwa uvumilivu akajibu mapigo. Tusubiri wakati tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mwenye uelewa duni tu anaye weza kufikiri mpinzani ana wajibu wa kuleta maendeleo akiwa hakusanyi kodi.Ni positive thinking kujua kuwa kazi ya kuhoji anaye kusanya kodi anazitumiaje ni ya wa pinzani.ccm haiwezi kujihoji yenyewe.Wapinzani hawa wezi kujenga hata Zahanati labda wawe wanaongoza halimashauri au Manispaa
 
Shida hatuthubutu kuwapima viongozi wetu. Ndio maana wakitimiza wajibu wao tunaona ni favour. Acheni wapinzani wakosoe ili wawe wanajirekrbisha mapema, la sivyo kila atakayekuja atakana utendaji wa mwanachama mwenzake.
Kama hasimamii kwa kukataza rushwa hayo maji mtayapata wapi? Umesema mwenyewe ni wajibu wa serikali, hujiulizi mbona miradi haikukamilika mpaka sasa na serikali ikiwepo? Mnachosahau kuwa serikali ni chombo kikubwa kinachojumuisha watu wenue bongo tofauti na kwamba serikali si chama cha siasa pekee. Wezi si wanasiasa tu bali hata watendaji wa serikali na wengine wako vyama pinzani. Yes, kasimamia vyema na watu wameogopa kupiga ni lazima apewe sifa. Nadhani ushanisoma.

Havome
 
Wala rushwa si wanachama chake na yeye mwenyewe?

Acha kupindisha Mkuu, zaidi ya miaka 50 serikali inajipanga kupeleka maji na kujenga barabara?
 
Huyo mama atakua hajielewi, serikali gani duniani haijawai kutoa ahadi ata kama ilo swala ni la kikatiba
 
Kama hasimamii kwa kukataza rushwa hayo maji mtayapata wapi? Umesema mwenyewe ni wajibu wa serikali, hujiulizi mbona miradi haikukamilika mpaka sasa na serikali ikiwepo? Mnachosahau kuwa serikali ni chombo kikubwa kinachojumuisha watu wenue bongo tofauti na kwamba serikali si chama cha siasa pekee. Wezi si wanasiasa tu bali hata watendaji wa serikali na wengine wako vyama pinzani. Yes, kasimamia vyema na watu wameogopa kupiga ni lazima apewe sifa. Nadhani ushanisoma.

Havome

....Hapana mimi sijakusoma coz chama kinachoshinda uchaguzi ndicho kinachounda serikali. Sasa ikiwa maji yalitakiwa yaletwe since 1961 kama alivyosema Mama Kijo Bisimba, lakini mpaka leo waliopewa dhamana wameshindwa, na wanatumia kupata hayo maji kama fimbo maana yake ni kwamba hicho chama kimeshindwa kutekeleza ahadi zake na kingetakiwa kiwe mapumzikoni kikajipange upya, na kiwapishe wengine.
 
Kama hasimamii kwa kukataza rushwa hayo maji mtayapata wapi? Umesema mwenyewe ni wajibu wa serikali, hujiulizi mbona miradi haikukamilika mpaka sasa na serikali ikiwepo? Mnachosahau kuwa serikali ni chombo kikubwa kinachojumuisha watu wenue bongo tofauti na kwamba serikali si chama cha siasa pekee. Wezi si wanasiasa tu bali hata watendaji wa serikali na wengine wako vyama pinzani. Yes, kasimamia vyema na watu wameogopa kupiga ni lazima apewe sifa. Nadhani ushanisoma.

Havome
msome vizuri mtoa post pamoja na mawazo ya mama bisimba kupambana na rushwa nijambo mtambuka sio lakumka leo nakuanza kupita barabarni unaimba lazima ujenge strong institution itayodumu kizazi na kizazi..!!issue kuu hapa ni kwanini ujipongeze kwa mambo ambayo niwajibu wako eti leo ujisifu unalisha familia yako kama baba wakati unajua ni wajibu wako
 
Back
Top Bottom