Mshale wa Helen Kejo Bisimba kwa Magufuli

Kweli.

ila wengi hatujui haya na serikali inatumia kutokujua kwetu kama mtaji.

Upo sahihi ila ukweli unabaki palepale kwamba anatakiwa asimamie maendeleo kwa niaba ya wananchi na hiyo ndo kazi tuliyompa na sio favour ....ni wajibu wa serikali kutufanyia yote hayo hata kama nyuma kulikuwa na mapungufu
 
"If you vote for someone because of schools, hospitals, roads and interchanges you have a WEAK MIND, because it is governments responsibility"

VICE PRESIDENT MAHAMA (2008)
lipi ambalo si wajibu wa serikali katika taifa!?..baba akitimiza wajibu wake asisifiwe!?
 
msome vizuri mtoa post pamoja na mawazo ya mama bisimba kupambana na rushwa nijambo mtambuka sio lakumka leo nakuanza kupita barabarni unaimba lazima ujenge strong institution itayodumu kizazi na kizazi..!!issue kuu hapa ni kwanini ujipongeze kwa mambo ambayo niwajibu wako eti leo ujisifu unalisha familia yako kama baba wakati unajua ni wajibu wako
Mkuu lets be honesty, nani asiyejisikia fahari na kujisifia akiwa ametekeleza vema wajibu wake kama kiongozi wa familia? Wajibu kama umewasomesha watoto vizuri, umewapa huduma bora ya mavazi na tiba ktk hospital nzuri n.k.? Tuwe wakweli huku mitaani wengi tunajisifia wengi tu, hasa kama waliokutangilia ktk familia au waliokuzunguka wana/wame shindwa?
 
Alianza kubenea akaja gwajima sasa haishangazi na yeye tunamkaribisha kwenye ulingo wa kisiasa nafasi yake viti maalumu ipo!
 
JF Kwenu,

Akiwa Kigoma, Mh. Rais Magufuli aliongea maneno mengi ya kufurahisha wananchi wakati akizindua mradi wa barabara na maji.
Maneno ya Mama Bisimba kwa Rais Magufuli yanafikirisha, "Wananchi kwa kutoelewa wanaamini serikali inawapendelea kwa kuwapa maji na barabara, bila kujua huo ndiyo wajibu wa serikali iliyo madarakani na maji hayo yalipaswa kuwepo tangu mwaka 1961 tulipoanza kujitawala. Halafu mtu anatumia hiyo kama ngao ya kuwa ni mtendaji kuliko vyama vya upinzani ambavyo huo si wajibu wake hata kidogo".

Kwa tabia yake, Magufuli anaweza kuishiwa uvumilivu akajibu mapigo. Tusubiri wakati tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uyu Mama anastress za kuachika,
Ivi yeye matamko yake ni kwa seikali tu na viongozi mtetezi wa Haki za binadamu Mauaji ya Kibiti hayaoni atoe tamko la kukemea??

Serikali ni pamoja na watu kama halijui hlo shaur lake
 
MFANO:
Sisi binaadam tunapaswa kusaidiana. Mwenzio akiwa hatarini ni jukumu lako kumsaidia.

Sasa fikiria bi kizee anavuka barabara na mkongojo wake. Alipofika katikati ya barabara kukawa na fuso (lori) linaporomoka kwa kasi sana. Wewe kuona ajali inayomkabili yule bibi ukamkimbilia, ukamnyanyua na kumtoa barabarani. Ile mguu wako wa mwisho tu unatoka barabarani na fuso nalo linapita kwa kasi ile ile. Umejitolea kumuokoa huyu bi kizee.

Bi kizee ana mambo matatu ya kufanya:

1. Kukaa kimya
2. Kukushukuru kwa kumuokoa
3. Kusema kuwa ule ulikuwa ni wajibu wako, kama binaadam, kumuokoa na hustahili pongezi.

Unafikiri bi kizee anapaswa kufanya kipi katika hivi vitu vitatu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kula tano na wewe kwenye hili. Wanatumia UZUZU wa walio wengi wanaodhani wanafanyiwa hisani kumbe ni haki yao na hawaelewi pia kwamba huo si wajibu wa vyama vya upinzani bali wa chama tawala.

Mama Keko Bisimba nipe tano
 
....Hapana mimi sijakusoma coz chama kinachoshinda uchaguzi ndicho kinachounda serikali. Sasa ikiwa maji yalitakiwa yaletwe since 1961 kama alivyosema Mama Kijo Bisimba, lakini mpaka leo waliopewa dhamana wameshindwa, na wanatumia kupata hayo maji kama fimbo maana yake ni kwamba hicho chama kimeshindwa kutekeleza ahadi zake na kingetakiwa kiwe mapumzikoni kikajipange upya, na kiwapishe wengine.
Chama hakileti maendeleo bali kinatunga ilani na sera za maendeleo.

Rais alieko madarakani ndie anaeamua ni miradi gani ya maendeleo ipewe kipaumbele. Kwa hiyo chochote kinachofanywa na serikali ni juhudi za kiongozi wake (Rais). Miradi ikifanikiwa sifa zinakwenda kwa Rais. Miradi ikikwama lawama zinakwenda kwa Rais.

Watu wasikomalie kumshutumu Rais na chama chake kwa mabaya tu, bali wawe tayari kumshukuru kwa yale mazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu serikali hii ya maneno mengi kuliko vitendo iingie madarakani ni miradi gani imetekeleza zaidi ya kuzindua miradi ilifanywa na serikali ya awamu iliyopita, inayotuhumiwa kwa rushwa? Serikali hii ni ya maneno na mbwembwe nyingi, matendo ni sifuri. Wajinga wanaaminishwa kuwa inafanya na imetenda mengi. Yaorodhesheni tuyaone. Hakuna kikubwa kilichofanywa zaidi ya kutumbua kusiko na tija.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu una akili sana kumbe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ataagiza huyo mama apimwe mkojo kwakua mkojo umechochea kauli yake kwa wanakigoma ! Watalii njooni huku kunakivutio chenye vituko! Tuingize pato la taifa angalu watoto wetu wapate mikopo ya elimu ya juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JF Kwenu,

Akiwa Kigoma, Mh. Rais Magufuli aliongea maneno mengi ya kufurahisha wananchi wakati akizindua mradi wa barabara na maji.
Maneno ya Mama Bisimba kwa Rais Magufuli yanafikirisha, "Wananchi kwa kutoelewa wanaamini serikali inawapendelea kwa kuwapa maji na barabara, bila kujua huo ndiyo wajibu wa serikali iliyo madarakani na maji hayo yalipaswa kuwepo tangu mwaka 1961 tulipoanza kujitawala. Halafu mtu anatumia hiyo kama ngao ya kuwa ni mtendaji kuliko vyama vya upinzani ambavyo huo si wajibu wake hata kidogo".

Kwa tabia yake, Magufuli anaweza kuishiwa uvumilivu akajibu mapigo. Tusubiri wakati tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeyote yule mwenye kudhani kwamba maji yalitakiwa kuwa yametolewa na serikali toka 1961 tulivyo pata uhuru , yafaa akapimwe mkojo labda anatumia ngada au ni mtu mwenye unsound mind at times
 
JF Kwenu,

Akiwa Kigoma, Mh. Rais Magufuli aliongea maneno mengi ya kufurahisha wananchi wakati akizindua mradi wa barabara na maji.
Maneno ya Mama Bisimba kwa Rais Magufuli yanafikirisha, "Wananchi kwa kutoelewa wanaamini serikali inawapendelea kwa kuwapa maji na barabara, bila kujua huo ndiyo wajibu wa serikali iliyo madarakani na maji hayo yalipaswa kuwepo tangu mwaka 1961 tulipoanza kujitawala. Halafu mtu anatumia hiyo kama ngao ya kuwa ni mtendaji kuliko vyama vya upinzani ambavyo huo si wajibu wake hata kidogo".

Kwa tabia yake, Magufuli anaweza kuishiwa uvumilivu akajibu mapigo. Tusubiri wakati tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni sahihi kabisa, kwani vyama vyote vilikuwa na ilani zenye lengo la kufanya hayo wanayofanya serikali ya CCM, na serikali siku zote ni 'kitendea kazi' cha wananchi ambacho ukikabidhi kwa chama cha siasa ambacho kinaonesha kukitumia vizuri au hata raia yeyote kwa utaratibu ugombea binafsi. Sasa kama wapinzani hawakuwa na lengo la maendeleo, ilani zao zinanena kuhusu nini? Ile aliyokabidhiwa na mama Mghwira ilikuwa inaongelea mambo gani?

Halafu kusema watu wanataka maendeleo na sio vyam vya siasa sio sahihi kwa sababu bila vyama vya siasa nani ataongoza serikali? Na atapatikanaje huyo wa kuongoza serikali husika ata kama ni mgombea bila chama cha siasa?

Halafu, ilikuwaje wapiga kura asilimia 42 hawakutaka CCM ikamate dola kama walikuwa hawataki maendeleo? Kwa hotuba za Rais Dr Magufuli, inaonekana anahitaji darasa la demokrasia ili aweze kuelewa nini hasa maana ya huo mfumo wa serikali. Kwa sababu vyama vya siasa vipo kwa ajili ya kushindanisha strategies za kufikia maendeleo hivyo wananchi wanachagua strategy iliyo bora, pia vile vile vinasaidia anayepewa ridhaa ya kushika dola anakuwa na adabu kwani akileta utani basi anashikishwa adabu kwenye sanduku la kura. Hata matokeo ya kura yakigeuzwa, lazima ashike adabu tu kwa sababu watu wenye akili timamu watajua wanaongoza bila ridhaa na hawana uhalali na wananchi hivyo hivyo wanajua hawa jamaa wamelazimisha game, hivyo ni adhabu tosha. Ila kwa sababu kura ni za siri, wananchi hawatagundua kwa urahisi lakini ukiwapa uhuru mpana kwa kuongea na kuwasiliana, hasa katika kipindi hiki cha TEHAMA, lazima watagundua suala hilo kwa urahisi sana.
 
Kama hasimamii kwa kukataza rushwa hayo maji mtayapata wapi? Umesema mwenyewe ni wajibu wa serikali, hujiulizi mbona miradi haikukamilika mpaka sasa na serikali ikiwepo? Mnachosahau kuwa serikali ni chombo kikubwa kinachojumuisha watu wenue bongo tofauti na kwamba serikali si chama cha siasa pekee. Wezi si wanasiasa tu bali hata watendaji wa serikali na wengine wako vyama pinzani. Yes, kasimamia vyema na watu wameogopa kupiga ni lazima apewe sifa. Nadhani ushanisoma.

Havome
Failures, zote ni serikali za CCM, hivi unajuwa hata ukelewe kuna shida ya maji!!!!!!......( Bisimba naye atapimwa mkojo???)
 
Lipi lililo bora kujisifia kwenye kutekeleza wajibu wako au kusifiwa unapo tekeleza wajibu.
 
Back
Top Bottom