Malkia bora
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 765
- 524
Asili mia 30 ya bajeti ya maendeleo utafanya nini? Hivyo iliyobaki ni kuzindua vile vidogo vidogo.
Na yeye si atangaze tu kama ni mfuasi wa upinzani was hovyo? Mbona hatukuiona hiyo miradi kwa miaka hiyo kama kweli viongozi walikuwa ni wawajibikaji? Atuondilee ujinga wake. Au kashau alivyokoswaga virungu mitaa ya serender walipojifanya watavua nguo kudai haki!. JPM kiboko yenu wanafiki wote.JF Kwenu,
Akiwa Kigoma, Mh. Rais Magufuli aliongea maneno mengi ya kufurahisha wananchi wakati akizindua mradi wa barabara na maji.
Maneno ya Mama Bisimba kwa Rais Magufuli yanafikirisha, "Wananchi kwa kutoelewa wanaamini serikali inawapendelea kwa kuwapa maji na barabara, bila kujua huo ndiyo wajibu wa serikali iliyo madarakani na maji hayo yalipaswa kuwepo tangu mwaka 1961 tulipoanza kujitawala. Halafu mtu anatumia hiyo kama ngao ya kuwa ni mtendaji kuliko vyama vya upinzani ambavyo huo si wajibu wake hata kidogo".
Kwa tabia yake, Magufuli anaweza kuishiwa uvumilivu akajibu mapigo. Tusubiri wakati tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hanna hoja za msingi, na mtaendelea kutapatapa hivyohivyo.Hahahaha sasa mtu mwenyewe anashindwa kutofautisha wajibu wake anaotakiwa kufanya na kuhisi kuwafanyia watu kama hisani unategemea nini? jamaa alivyotoa kauli ya shein azuie pension ya maalim zanzibar alionekana hajui anachokiongea
Usizue uwezo wa watu kufikiri kwa uhuru ikiwa tu unatofautiana nap kimawazo.Bisimba apewe tu uongozi huko Chadema tujue moja badala kujificha LHRC kufanya siasa
hahahahahahahah jibuni hoja acheni kupiga mikwara ya kijinga jinga
Kama hasimamii kwa kukataza rushwa hayo maji mtayapata wapi? Umesema mwenyewe ni wajibu wa serikali, hujiulizi mbona miradi haikukamilika mpaka sasa na serikali ikiwepo? Mnachosahau kuwa serikali ni chombo kikubwa kinachojumuisha watu wenue bongo tofauti na kwamba serikali si chama cha siasa pekee. Wezi si wanasiasa tu bali hata watendaji wa serikali na wengine wako vyama pinzani. Yes, kasimamia vyema na watu wameogopa kupiga ni lazima apewe sifa. Nadhani ushanisoma.
Havome
Ni kweli, lakini kama amesema hivyo atakuwa amekosea kidogo tu _ Dr. Kijo ; rais Magufuli angesema nini? Na kwa kuwa watangulizi wake walishindwa na yeye amefanikiwa kuyatenda yaliyowashinda watangulizi wake, sioni kama kuna shida. Na kwa kuwa hatayamaliza yote ( matatizo ya jamii yetu) hata watakao kuja watajisifu hivyo hivyo.JF Kwenu,
Akiwa Kigoma, Mh. Rais Magufuli aliongea maneno mengi ya kufurahisha wananchi wakati akizindua mradi wa barabara na maji.
Maneno ya Mama Bisimba kwa Rais Magufuli yanafikirisha, "Wananchi kwa kutoelewa wanaamini serikali inawapendelea kwa kuwapa maji na barabara, bila kujua huo ndiyo wajibu wa serikali iliyo madarakani na maji hayo yalipaswa kuwepo tangu mwaka 1961 tulipoanza kujitawala. Halafu mtu anatumia hiyo kama ngao ya kuwa ni mtendaji kuliko vyama vya upinzani ambavyo huo si wajibu wake hata kidogo".
Kwa tabia yake, Magufuli anaweza kuishiwa uvumilivu akajibu mapigo. Tusubiri wakati tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mama ni punguani tu.
Hapendi anayoyafanya rais?
Yeye anawatumikia vipi Watanzania zaidi ya huo ufataani alo nao?
Kama hasimamii kwa kukataza rushwa hayo maji mtayapata wapi? Umesema mwenyewe ni wajibu wa serikali, hujiulizi mbona miradi haikukamilika mpaka sasa na serikali ikiwepo? Mnachosahau kuwa serikali ni chombo kikubwa kinachojumuisha watu wenue bongo tofauti na kwamba serikali si chama cha siasa pekee. Wezi si wanasiasa tu bali hata watendaji wa serikali na wengine wako vyama pinzani. Yes, kasimamia vyema na watu wameogopa kupiga ni lazima apewe sifa. Nadhani ushanisoma.
Havome
Kama hasimamii kwa kukataza rushwa hayo maji mtayapata wapi? Umesema mwenyewe ni wajibu wa serikali, hujiulizi mbona miradi haikukamilika mpaka sasa na serikali ikiwepo? Mnachosahau kuwa serikali ni chombo kikubwa kinachojumuisha watu wenue bongo tofauti na kwamba serikali si chama cha siasa pekee. Wezi si wanasiasa tu bali hata watendaji wa serikali na wengine wako vyama pinzani. Yes, kasimamia vyema na watu wameogopa kupiga ni lazima apewe sifa. Nadhani ushanisoma.
Havome
Ilikuwepo serikali ya chama gani????????????????????????????????Kama hasimamii kwa kukataza rushwa hayo maji mtayapata wapi? Umesema mwenyewe ni wajibu wa serikali, hujiulizi mbona miradi haikukamilika mpaka sasa na serikali ikiwepo? Mnachosahau kuwa serikali ni chombo kikubwa kinachojumuisha watu wenue bongo tofauti na kwamba serikali si chama cha siasa pekee. Wezi si wanasiasa tu bali hata watendaji wa serikali na wengine wako vyama pinzani. Yes, kasimamia vyema na watu wameogopa kupiga ni lazima apewe sifa. Nadhani ushanisoma.
Havome
Salude to you Mzalendo.Nyangomboli,
Kuna watu huwa hatukubali ujinga na blabla za kutaka kuwazuga watu kiakili. K wataarifa yako CCM before TANU iko madarakani since 1961. Kutoka mwaka 1961 to 1992(Before multipartsim)ni more than 30 years. Upinzani umeanza 1992 na hasa 1995 baada ya Uchaguzi Mkuu wa kwana wa Vyama vingi. Sasa wewe unazungumzia Upinzani upi ambao umeshindwa kuleta maji kwa Watz?
Kuna maeneo nji hii mpaka leo hakuna Maji,hakuna barabara za lami,hakuna Shule(Msingi na Sekondari), hakuna Hospitali/Zahanati, hakuna umeme n.k. Mengi ya maeneo hayo yanameongozwa na bado yanaongozwa na CCM! Ukweli unabaki palepale kuwa CCM ndo wameshindwa kuwaletea Watanzania maendeleao na huduma muhimu hivo is not an issue of UPINZANI!!!!
Ukweli lazima tuuseme. Kwamba Rais Magufuli hajitambui kuwa ni Rais wa nani na anawajibika kwa nani! Ni Rais kichaa, dikteta, chizi au mwendawazimu ndo anaweza kutoa matamko kama hayo yenye ukakasi ati kwamba kama Watz wamechagua Mbunge wa Upinzani basi wasitegmee kupata Maji au maendeleo mengine muhimu!!! Hizi ni kauli za ajabu sana kuwahi kutolewa na Rais aliyepigiwa kura na haohao anaowabeza. Magufuli anashindwa kutambua kuwa Mabosi wake ni Watanzania waliompigia kura au kwa lugha rahisi ndo waliomwajiri kama Rais!!
Kulingana na Katiba na kama alivyoapa 5/11/2015 yeye ni Rais wa Watz wote bila kuwabagua kwa namna yoyote ile iwe ni kwwa misingi ya UKABILA, UKANDA, UDINI au ELIMU! Lakini kinachoonekana ndani ya Magufuli ni udikteta na ubaguzi wa ITIKADI ZA VYAMA tena wa wazi kabisa bila hata ya kificho!!! Rais unapokwenda kwenye jimbo,eneo, Jiji au Halmashauri iliyoko chini ya Mbunge, Meya au Diwani wa Upinzani na kuanza kuwaponda WAPIGA KURA YA KWAMBA WAPINZANI HAWANA UWEZO WA KULETA MAENDELEO ni kichekesho cha karne.
Tumesikia huyuhuyu Magufuli akisema ati MAENDELEO HAYANA CHAMA. Lakini hapohapo anawaambia Mawaziri wake kuwa Mbunge wa Upinzani anayepinga Bajeti basi Serikali haitapelekea fedha ya maendeleo jimboni kwake! Kwa lugha ya Kipolisi haya tunaweza sema ni maneno ya UCHOCHEZI kutoka mdomoni mwa Rais wa nchi!!
Rais mwenye hekima, busara,maarifa na juhudi ya kwatumikia Wananchi waliomchagua katu hawezi kuongea lugha za kifedhuli kama hizo.Kazi ya Rais ni kuwatumikia Watz wote bila kujali itikadi za KISIASA, UKABILA, UKANDA,UDINI au ELIMU. Magufuli amekuwa ni Rais wa kwanza Tanzania kuanza kuwabagua Watz kwa itikadi zao za kisiasa( Angalia upinzani wanavyonyanyaswa leo) kuna zaidi wa Viongozi na Wanachama/Wafuasi wao 200 wako aidha mahabusu au gerezani kwa amri za Ikulu, Polisi, RC au DC kwa masaa 48 kwasababu tu wako upinzani!!. Leo kuna watu wamepotezwa na hawajulikani wako wapi kwa kuhoji tu uhalali wa PhD. ya Rais wa nchi. Lakini hapohapo Rais huyuhuyu anafukuza watu maofisini kwa vile hawana vyeti vya F4, F6 au vyuo. Kwa sasa nasikia ameanza uhakiki kwa arawatu waliajiriwa kama Darasa la 7 na hawakuwahi kujiendeleza nao waondolewe kwenye ajira. Kwa Rais Magufuli Class 7 hawana sifa ya kuajiriwa. Hilo ni la Ubaguzi ki-Elimu. Yako ya Ukanda na Ukabila. Kwa sasa karibu kila Wizara na Idara nyeti wamejazwa kabila ya Magufuli na hili liko wazi kwa kila Mtanzania kwasababu watu hao wanajulikana na Watanzania walikuwa wapi na wametokea wapi na sasa wako wapi baada ya Magufuli kuingia Ikulu. Watu wakihoji haya mambo wanaitwa ni wachochez!!!!
Loading.............