Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,472
- 3,538
crdb 0 - 0
The samecrdb 0 - 0
Hivi kuna mtu wa benki nyingine ka confirm kwa 100% kuwa kapata?The same
NMB ndiyo Bakabaka?Hivi kuna mtu wa benki nyingine ka confirm kwa 100% kuwa kapata?
ukitoa bakabaka
Nimeona wa NMB, CRDB , BAYPORT Wanatoa ushuhuda ..labda wanaweza kuwa ni waoHivi kuna mtu wa benki nyingine ka confirm kwa 100% kuwa kapata?
ukitoa bakabaka
Wajeda ndio bakabaka.NMB
NMB ndiyo Bakabaka?
kumbe BayPort ni chama kubwa siku hizi. Mpaka watumishi wa umma wapo wanaokinga kwa BayPortNimeona wa NMB, CRDB , BAYPORT Wanatoa ushuhuda ..labda wanaweza kuwa ni wao
yes, imeisha.Imeisha iyo machi 24 loading
benki gani mkuuImeisha iyo machi 24 loading
hapana sio mwalimMwalimu eti eeh
Ukifungua account ndio unalipia elfu 10 au inakaa kwenye account yako kama akiba, na ukinunua ina-reflect baada ya muda gani?Siku tatu za kazi hela unapata hela yako mkuu.
Yes salary tarehe 19!dah we bhana njaa unaziendekeza yaan hata nusu mwez huafika hy hatari
Ila tarehe 19 mwezi utakua mrefu sanaZanzibar naona washaahidiwa kuwa Mapema mabank yanacheka
Ngoja tusikilizie na sisi huku bara kama tar 18/19 kitu kitaeleweka