Achana na huyo ni mzee wa masihala hakuna kituSerious??
Achana na huyo ni mzee wa masihala hakuna kituSerious??
Wale wa NMB wahiii ATM.
Uongo mtupu,Hakuna upendeleo wowote..Kabisa wale uhakika.
Mungu akubariki sana Mkuu,ulichokiongea ni kama unabii kabisa.Nyie wafanyakazi wa Umma ,poleni na hongera kwa kuendelea tupa huduma sie wananchi .
Poleni kwa sababu ni ukweli sikuu hii haijawa vizuri kwenu, wale wawabezao watumishi wa umma ,ni vile hawajui tu kwamba Mshaara kwa mtumishi ndo chanzo kikuu cha mapato yake ,mengine badae , that's yuko pale .
Ila pia anaewabeza hajui kwamba Mshahara wa mtuishi kwa nchi hii unasikitisha ,ila upande mwingine wanakula na kutupa minofu.
Msivunjike moyo.
Hii kiroho ipo na maana sana , kwamba wakati wapigania haki za watanzania wapo lupango nanyi hamjalipwa , maana nyingine mmekula sikuku hii kwa mateso kama wale wenzetu na wapigania haki za nchii walivyo lupango,
Jipeni moyo ipo siku watumishi wetu mtalifurahia Taifa lenu ,msife moyo kutupa huduma watz wenzenu
Naam mkuu barikiwa piaMungu akubariki sana Mkuu,ulichokiongea ni kama unabii kabisa.
Watu wamekula wasaka Kwa uchungu sana
Kuna mwalimu nilikuwa naongea nae Jana Alikuwa na uchungu mnoNaam mkuu barikiwa pia
Sikukuu watoto wamekula ugali maharage.Kuna mwalimu nilikuwa naongea nae Jana Alikuwa na uchungu mno
Mungu wangu Tanzania yanguSikukuu watoto wamekula ugali maharage.
Kitengo mapemaa tuu..😃sio kweli
Lazima mkuu , alafu unawakuta machawa yanayokula pesa za bure kama sio wizi wanakuja wabeza watumishi wa umma,Kuna mwalimu nilikuwa naongea nae Jana Alikuwa na uchungu mno
upo sahihiLazima mkuu , alafu unawakuta machawa yanayokula pesa za bure kama sio wizi wanakuja wabeza watumishi wa umma,
Watumishi wa nchi hii wasivunjike moyo, ni swala mda tu asema Bwana , kuna watu nchi hii wapo tiyari walipa wajumbe wa mkutano mkuu m3 kwa mkupuo kwenye vyama vyao vya siasa huku mtumishi wa wa tz yupo hoi , mpaka wanafika mwekea kikomo cha kukopa benk pitia mfumo uchwara,
Sina kumbukumbu kama yupo mtumishi wa umma aliweza kwenda kwa Mbunge , waziri akitaka pesa ya kujikim , upumbavu wa ccm leo wanawapangia watumishi namna ya kukopa pitia taasis rasmi za kibenki kisa tu ,mjinga moja kafika na kuamua, ujinga huu.
Matokeo yake unakuta mtumishi ameangukia mikopo ya kausha Dam ambayo kwa njia moja au nyingine utawakuta walewale pitia mlango wa nyuma.
Ni kwa kuwa sipo na uwezo , ila ningekua nao kila mtumishi alitakiwa pata bonus ndani ya siku 14 kwa kuanzia nje ya mshahara , by the way zipo idara nchi hii hufanyiwa vile ila wenge huchukuliwa kama sijui nini.
Iili ndugu zangu watumishi wetu tutoke tulipo , kwanza jueni msingi wa Taifa hili.
Kwamba nchi hii imejengwa chini ya mfanyakazi na mkulima , mafisadi ni jambo jipya .
Msikate tamaa au katishwa tamaa , mnafanya kazi anafanya kazi iliyo kuu na ya kitume katika Taifa hili , Mungu akawape faraja
Mimi nimeajiriwa serikalini mwaka jana Kwa Hali ya maisha ninayoiona sitakuja kufika miaka 60 na kustaafu Bali nitaachia kazi.Nyie wafanyakazi wa Umma ,poleni na hongera kwa kuendelea tupa huduma sie wananchi .
Poleni kwa sababu ni ukweli sikuu hii haijawa vizuri kwenu, wale wawabezao watumishi wa umma ,ni vile hawajui tu kwamba Mshaara kwa mtumishi ndo chanzo kikuu cha mapato yake ,mengine badae , that's yuko pale .
Ila pia anaewabeza hajui kwamba Mshahara wa mtuishi kwa nchi hii unasikitisha ,ila upande mwingine wanakula na kutupa minofu.
Msivunjike moyo.
Hii kiroho ipo na maana sana , kwamba wakati wapigania haki za watanzania wapo lupango nanyi hamjalipwa , maana nyingine mmekula sikuku hii kwa mateso kama wale wenzetu na wapigania haki za nchii walivyo lupango,
Jipeni moyo ipo siku watumishi wetu mtalifurahia Taifa lenu ,msife moyo kutupa huduma watz wenzenu
Mama kanuna spana za pasaka alishapata za chini chiniMimi nimeajiriwa serikalini mwaka jana Kwa Hali ya maisha ninayoiona sitakuja kufika miaka 60 na kustaafu Bali nitaachia kazi.
Unajua raia wanaona watumishi kama tunafaidi hizo Hela tunazolipwa kila mwezi na wakijua tuna mishahara hata million 1 haifiki.
Hakuna posho Wala overtime na unapiga mzigo kama punda.
Hela hiyo ulipe Kodi.
Ununue chakula.
Uvae wewe mke na watoto.
Bado ndugu wanaangalia hiyohiyo laki yako.
Bado michango ya harusi.
Bado misiba.
Bado nauli.
Bado wazazi.
Kiukweli utumishi wa umma ni UTUMWA.
Tena Mimi Niko hospitalini na wagonjwa wanavyotaka special care kama aga Khan ilhali sisi tunasubiri kesho mama acheke na tushajiunga na salary advance.
Tukithibitishwa tutakopa.
Bado watoto wakijua wanatakiwa waende shule za magari ya njano
Na kesho sionI naona tar 24 halfu kuna wapuuzi wanakuja Uzi wetu kututukana kisa Wao wafanya biashara wakati tunawaungishaMama kanuna spana za pasaka alishapata za chini chini
Fresh tu japo pasaka ilikua kinyongeNa kesho sionI naona tar 24 halfu kuna wapuuzi wanakuja Uzi wetu kututukana kisa Wao wafanya biashara wakati tunawaungisha
Oya sio powa ila nyie wa afya nko vizuri.Mimi nimeajiriwa serikalini mwaka jana Kwa Hali ya maisha ninayoiona sitakuja kufika miaka 60 na kustaafu Bali nitaachia kazi.
Unajua raia wanaona watumishi kama tunafaidi hizo Hela tunazolipwa kila mwezi na wakijua tuna mishahara hata million 1 haifiki.
Hakuna posho Wala overtime na unapiga mzigo kama punda.
Hela hiyo ulipe Kodi.
Ununue chakula.
Uvae wewe mke na watoto.
Bado ndugu wanaangalia hiyohiyo laki yako.
Bado michango ya harusi.
Bado misiba.
Bado nauli.
Bado wazazi.
Kiukweli utumishi wa umma ni UTUMWA.
Tena Mimi Niko hospitalini na wagonjwa wanavyotaka special care kama aga Khan ilhali sisi tunasubiri kesho mama acheke na tushajiunga na salary advance.
Tukithibitishwa tutakopa.
Bado watoto wakijua wanatakiwa waende shule za magari ya njano
Kuliko walimu auOya sio powa ila nyie wa afya nko vizuri.