simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,409
- 9,183
Aisee Zanzibar has brand new Wole Soyinka.
Ingekuwa huyu mwamba anatuhumiwa kwa ugaidi wangemkana kweupe kama walivyomkana HamzaPengine wameruhusu dual citizenship!
View attachment 1967578
Wanaogopa challenge toka kwa diaspora.Waruhusu tu uraia pacha tu
Mbona wapo watanzania wengi
Nje huko wanafanya mambo makubwa
Ova
... msemaji wa serikali ya Tanzania hakupaswa kujiridhisha uraia wa "mtanzania"? It was supposed to be the other way, msemaji wa serikali ndiye aliyetakiwa kuwasadia Kamati ya Nobel kuujua kwa usahihi uraia wa mhusika! Lakini kwa kupenda sifa wala hakujishughulisha kuutafuta ukweli! Angetangazwa kuwa gaidi (kwa mfano) huyo msemaji wa serikali angeshoboka alivyoshoboka? Tunapenda sifa za kipumbavu; tunapenda kuvuna tusipopanda!Kabla haujamlaumu msemaji wa serikali. Walaumu watoaji wa hiyo Nobel. Maana ndio wametangaza kwa vyombo vya habari , kama BBC, Aljazeera na vingine vya kimataifa. Na pia mlaumu ,huyo mshindi mwenyewe kwa kuwa ndiye aliwapelekea taarifa zake. Sio uanze kuwalau watu wasiohusika ,ambao pia wamesikia. Ndugu ,unaonekana una tatizo kubwa la uelewa. Lowasa(2015).
Elimu!Elimu!
Mbona Tundu Lisu ni mbelgiji lakini nyie makamanda uchwara mnadai eti ni mtanzania?
Prof. Gurna aliyeshinda tuzo ya Nobel siyo raia wa Tanzania Kama serikali na viongozi wengi pamoja vyombo vya habari vilivyoripoti. Huyo Ni raia wa Uingereza Mwenye asili ya Tanzania.
Msemaji wa Serikali hapaswi kuandika kwa kuangalia mitandao Bali anapaswa kufanya utafiti. Haina haja kuwa na msemaji wa serikali na viongozi wa serikali wanaodanganya umma au kuripoti habari bila kujirizosha. Nadhani tuwe watu wakufanya utafiti.
Nilimsikia mwenyewe jana akihojiwa na Utv alijitanabaisha km mtanzania au labda na yy katuongopeaProf. Gurna aliyeshinda tuzo ya Nobel siyo raia wa Tanzania Kama serikali na viongozi wengi pamoja vyombo vya habari vilivyoripoti. Huyo Ni raia wa Uingereza Mwenye asili ya Tanzania.
Msemaji wa Serikali hapaswi kuandika kwa kuangalia mitandao Bali anapaswa kufanya utafiti. Haina haja kuwa na msemaji wa serikali na viongozi wa serikali wanaodanganya umma au kuripoti habari bila kujirizosha. Nadhani tuwe watu wakufanya utafiti.
Wengi tumeshangaa. Mtanzania msomi aishi miaka yote hiyo uingereza bila kuomba uraia wa huko? Si unajua binadamu wengi unaangalia kipi kina cha kukufaa. 😂. Hata hivyo sio vibaya kujidai na mafanikio ya mtu mwenye asili ya kwenu.Prof. Gurna aliyeshinda tuzo ya Nobel siyo raia wa Tanzania Kama serikali na viongozi wengi pamoja vyombo vya habari vilivyoripoti. Huyo Ni raia wa Uingereza Mwenye asili ya Tanzania.
Msemaji wa Serikali hapaswi kuandika kwa kuangalia mitandao Bali anapaswa kufanya utafiti. Haina haja kuwa na msemaji wa serikali na viongozi wa serikali wanaodanganya umma au kuripoti habari bila kujirizosha. Nadhani tuwe watu wakufanya utafiti.
Kule kuitetea CCM mitandaono ni Ukichaa kuzidi muokota makopo jararani. Maana huko jararani muokota makopo jararani aliwahigi kumuokota Paramagamba wa Kabudi
Tumheshimu Gurnah mwenyewe. Pamoja na kuikimbia Zanzibar, bado anajihisi kuwa ni Mtanzania, na sisi tufurahie hisia zake kuwa ni mwenzetu. Tusiwahukumu watu binafsi waliojikuta kuwa wakimbizi kutokana na mapinduzi ya 1964. Mapinduzi yo yote yana uzuri na ubaya, na yanaathiri watu kwa utofauti. Hatujatajiwa kama alichukuwa uraia wa nchi nyingine. Lakini hata akiwa na uraia tofauti, hayo ni matakwa ya kuishi na kusafiri bila bugudha; ni wazi kwamba si chaguo la roho yake.Nilimsikia mwenyewe jana akihojiwa na Utv alijitanabaisha km mtanzania au labda na yy katuongopea
Msigwa bado ana dhani yuko na Jpm mzee wa fix. Maana ule utawala uliwaona Watanzania wote ni wajinga na wao pekee ndio wenye akili.Prof. Gurnah aliyeshinda tuzo ya Nobel siyo raia wa Tanzania Kama serikali na viongozi wengi pamoja vyombo vya habari vilivyoripoti. Huyo ni raia wa Uingereza Mwenye asili ya Tanzania.
Msemaji wa Serikali hapaswi kuandika kwa kuangalia mitandao bali anapaswa kufanya utafiti. Haina haja kuwa na msemaji wa serikali na viongozi wa serikali wanaodanganya umma au kuripoti habari bila kujirizosha. Nadhani tuwe watu wakufanya utafiti.