mmmmmmm imekaa kiudakuudaku sana hiiMhhhhhhh.. Haijakaa vizuri hiyo..
Hivi unakumbuka ulipozaliwa Shangazi zako walivyosema wewe si wa kaka yao lakini mbona unadunda au umekuwa Liability kaka.?Sasa ata akienda chadema...sidhani kama ama mchango wowote huyo...huyo ni liability kama alivo lowasa, sumaye na mgana msindai
Nadhani wangemshauri ajitafakari kwanza asijiingize kwenye siasa kwa sababu ya hasiraHuyu wema tumpokee ila tuwe naye makini sana.Maana huwa njaa zinawasumbua mno.Akivutiwa za mbonga anahama na kuongea shit.so aweke kwenye uangalizi maalumu kwanza.
Eti Leo mnamwitaje vile!!? "Madam" ha ha ha ha nyie ndio mliompa majina yote mabaya duniani! Ama kweli ukiwa mchafu ingia kwa machadema watakusafisha wenyewe na kusahau kama walikuchafua!welcome madam CHADEMA pride of Tanzania!
Chama kupitia Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe, baada ya kesi ya kikatiba namba 1 ya mwaka 2017 inayotarajiwa kuwasilishwa Mahakama Kuu leo, kitazungumza kwa umma kupitia waandishi wa habari na kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga leo akiwemo msanii Wema Sepetu.
View attachment 473709
Mbowe na Lissu leo wanawasilisha ile hati ya mashitaka iliyorekebishwa na kumuongeza Mwanasheria Mkuu. Wema Sepetu yupo Katikati ya Esther Bulaya na Mbowe.Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura
View attachment 473719 View attachment 473718
Baada ya hapa Mbowe ataongea na Waandishi.
mmmmmmm imekaa kiudakuudaku sana hiiMhhhhhhh.. Haijakaa vizuri hiyo..
CUFMlikua mnaambiwa ccm ina wenyewe mkawa mnabisha,karibu chama cha wanachi
tukumbushe machadema walimpaga majina gani huyu maadamEti Leo mnamwitaje vile!!? "Madam" ha ha ha ha nyie ndio mliompa majina yote mabaya duniani! Ama kweli ukiwa mchafu ingia kwa machadema watakusafisha wenyewe na kusahau kama walikuchafua!
Mbowe anapiga tuu mluzi.hahahaCHADEMA kupitia Mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe, baada ya kesi ya kikatiba namba 1 ya mwaka 2017 inayotarajiwa kuwasilishwa Mahakama Kuu leo, kitazungumza kwa umma kupitia waandishi wa habari na kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga leo akiwemo msanii Wema Sepetu.