Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Hapa naona hapajakaa vyema.
Ingekuwa busara sana Mbowe kupambana na hali yake kivyake kuliko kuungana na Wema anayesemekana alishikwa na ushahidi.
Hii inaleta taswira mbaya
Huo ushahidi alioshikwa nao wema aliutoa wapi yawezekana mzigo ulikuwa wa mbowe ndio maana mbowe kajisogeza karibu na wema na kumpa wakili wa Chadema Tundu Lissu amtetee kwa gharama za Chadema akiogopa Wema asije mwaga ushahidi dhidi ya Mbowe. CRIME EXPERTS FUATILIENI KWA KARIBU HUU UHUSIANO WA GHAFLA WA WEMA NA MBOWE SOURCE NINI? KUNA MARRIAGE FOR MAKARATASI NJE YA NCHI kuoa AU KUOLEWA KUPATA MAKARATASI. KAZI KWENU WATAAALAAMU WA CRIME.
 
Kutojitambua kweli ni janga jamani. Only in wababaishaji wana abudiwa namna hii. Hivi watu wanashindwa kujiuliza what has Wema done for this country or their lives ila wanajitoa muhanga na kusahau wayafanyayo. Inasikitisha.
 
Cdm wanahitaji sana media attention kwa sasa ili wasipotee hewani. Nadhani serikali inawatengenezea bila kujua.
HHAHHAHAHHA dah!WACHA NICHEKE akili ikae sawa!
CHADEMA WALISHANIDISAPPOINT SANA !ILA SIKUTEGEMEA WANGEENDELEA TENA KWA KIWANGO HIKI!
ila mi nani bana hebu nikamalize siku ya mkoloni!
 
Kutojitambua kweli ni janga jamani. Only in Tanzania changuadoa, mbwiaji unga, wababaishaji wana abudiwa namna hii. Hivi watu wanashindwa kujiuliza what has Wema done for this country or their lives ila wanajitoa muhanga na kusahau wayafanyayo. Inasikitisha.
INAUMIZAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
YANI KWA MTU YEYOTE MWENYE AKILI INAUMIZA SANA!
damu jasho na ukhanithi waliopewa watu kwa ajili ya hiki chama leo kinafanya mambo ya aina hii unaweza ulie mpk ukae chini!
got nothing against wema ,ila CHADEMA MNATUUMIZA AISEEE!
 
Kipindini cha Kampeni walikuwa na kiherehere kusimama majukwaani kutoa support kwa "kijani" leo ndo wanagundua that was crap.. warudi nyumbani kwao, tena siyo huyo tu, wooote! Ingawa ningewa-caution sana CHADEMA kuitoifanya hii ishu kama ni ya kisiasa. Kama wanataka kumpa support (Lisu being her Lawyer) iwe as professionalism na si kwasababu tu ku-attack upande wa pili, pia kama kweli Wema amehamia CHADEMA, uongozi should just take it kawaida, NOT a big deal. Si lazima kumtangaza..
She just want changes nothing else kwanini mapovu she is human and she is a woman mlipo mtaka alikuwepo leo tumemtongoza vzr zaid she is ours is that a problem bro
 
Mimi naanza na nina wengine watu kadhaa ambao pia watarudisha kadi zao mara wapatapo uhakika wa kile kinachosemwa. kuwa watu kama akina wema wamejiunga cdm. wema hakuwah kuwa mfano mzuri kwa watu wenye akili timamu. chadema kinapoteza uelekeo na misingi yake ya mwanzo.

tulipiga mbio vyema nani katuzuia? leo mtuhumiwa wa madwa ya kulevya ambaye amehama ccm kwa kuwa amepishana kimaslah au kimtizamo na watu walioko serikalini anaonekana ni mtu wa muhimu cdm? sisi makamanda wa ukweli mnatuweka wapi? wema anakuja kuidhoofisha cdm. kweli na waambia huu ni mkakati wa ccm kupitia usalama wa taifa kuidhoofisha cdm. na bado kuna wengine wa aina hiyo watakuja.

View attachment 473750

miaka kadhaa ijayo CHADEMA haitakuwa na hoja ya kuisimamia. itabigwa ganzi kwenye suala la ufisadi na itapigwa ganzi kwenye suala la madawa ya kulevya. CCM watasimama na kusema mnaona? tuliwakamata watu kadhaa CDM ikawachukua. na chadema itatumia nguvu nyingi sana kumsafisha wema huku siku zikienda.

wema sepetu ni rafiki mkubwa wa ridhiwani. wazungu wanasema "show me your friends i will tell your character" sasa huu hamuoni kuwa ni mtego? wapinzani ni sisi sisi tumekuwa tukipigia kelele habari za watu flan. TUNAANZA KUJIPA MAJUKUMU YA


KUWASAFISHA" hii ni kazi mbaya na chafu sana.View attachment 473748


pumzi imekata kwa sasa. nimeona safai hii inazidi kuwa nzito. huyu wema alisema wafuasi wa chadema hawajielew. leo hii anasemaje? wameanza lini kujielewa? tulikuwa tunapiga kelele suala la kuwashirikisha wasanii au waigizaji katika siasa. waigizaji maisha yao yameshageuka wamekuwa waigizaji. na haya matokeo mtakuja kuyaona ka wakati wake.

"SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA"

Kwani CDM ipo kwa ajili ya akina nani??Hivi kwa sababu ametuhumiwa basi hastahili kuwa Mtanzania?? Mbowe ameshutumiwa hivyo hafai kuwa CDM??
 
Yaani huuu ni zaidi ya ufarasii!

wakati rahaa ( kampeni) wanakambilia CCM tena kwa mbwembwe na kejeli kweli kweli, kwenye shida wana 'pretend' kuwa wapo CDM, binafsi nimeshangaa sana kwa Lissu kuamua kumtetea huyu 'CD' na kumkacha kamanda Lema????
 
Huo ushahidi alioshikwa nao wema aliutoa wapi yawezekana mzigo ulikuwa wa mbowe ndio maana mbowe kajisogeza karibu na wema na kumpa wakili wa Chadema Tundu Lissu amtetee kwa gharama za Chadema akiogopa Wema asije mwaga ushahidi dhidi ya Mbowe. CRIME EXPERTS FUATILIENI KWA KARIBU HUU UHUSIANO WA GHAFLA WA WEMA NA MBOWE SOURCE NINI? KUNA MARRIAGE FOR MAKARATASI NJE YA NCHI kuoa AU KUOLEWA KUPATA MAKARATASI. KAZI KWENU WATAAALAAMU WA CRIME.
Hoja mfu. Ndoto nzuri tu.
 
HATA KAMA KAJILETA!
they shudve treat her like nobody as she is!
NOW NA SELFIE NA MWENYEKITI?

NA KESI ANATETEWA NA MWANASHERIA WA CHAMA?
CHEDEMA WAMELOGWA AU NI AKILI ZAO?
Point of correction Sir, ...inatetewa na Wakili TAL ambaye also anahappen kuwa mwanasheria wa CDM
 
ukimuomba Mungu msamaa anakusamee cdm ukitubu tunakupokea ata Osama angetaka kujiunga tungempokea ila kwa sharti moja LA kutubia

sisi sio nyie wa visasa


na neno la Mungu linasema samee 7×70= Fanya esabu utagundua kila baada ya mda gani unatakiwa kusamee
 
Back
Top Bottom