Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Chama kupitia Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe, baada ya kesi ya kikatiba namba 1 ya mwaka 2017 inayotarajiwa kuwasilishwa Mahakama Kuu leo, kitazungumza kwa umma kupitia waandishi wa habari na kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga leo akiwemo msanii Wema Sepetu.


Huyo ana hasira tu, lkn hawezi kudumu chadema hata siku moja, kama Msanii Tanzania hawezi kuwa nje ya CCM na kutoboa, ni swala la muda tu hata yule Jackline Wolper Masawe naye alienda chadema alivyomaliza kutumika na chadema wakamtupa, akajifunza na karudi CCM!
Kwa kifupi wanatumika chadema kama karatasi choo tu, lkn muda siyo mrefu mtasikia Wema karudi Chama Dola!

J.Wolper Masawe juu alivyokwenda chadema, chini amerudi chama Dola!
e3329682e811c63be34d00298f2561d3.jpg
 
Wema umechukua maamuzi mazuri tu na yenye busara yasiyo na shaka yoyote kwani ni hiyari ya mtu yoyote kujiunga na chama husika anachokiona kuwa kinafaa kwa masilahi ya wananchi
 
Huyo ana hasira tu, lkn hawezi kudumu chadema hata siku moja, kama msanii Tanzania hawezi kuwa nje ya CCM na kutoboa, ni swala la muda tu hata yule Jackline Wolper Masawe naye alienda chadema njaa ilivyomshika karudi CCM!
Kwa kifupi wanaitumia chadema kama karatasi choo tu, lkn muda siyo mrefu mtasikia Wema karudi Chama Dola!

e3329682e811c63be34d00298f2561d3.jpg
Kwahiyo CCM kuna maslahi??
 
Kipindini cha Kampeni walikuwa na kiherehere kusimama majukwaani kutoa support kwa "kijani" leo ndo wanagundua that was crap.. warudi nyumbani kwao, tena siyo huyo tu, wooote! Ingawa ningewa-caution sana CHADEMA kuitoifanya hii ishu kama ni ya kisiasa. Kama wanataka kumpa support (Lisu being her Lawyer) iwe as professionalism na si kwasababu tu ku-attack upande wa pili, pia kama kweli Wema amehamia CHADEMA, uongozi should just take it kawaida, NOT a big deal. Si lazima kumtangaza..

Kwanini, kama ni mwanachama mpya na maarufu, mpiga kampeni kwanini asitangazwe... anatangazwa kama mwanachama tu, sioni ubaya kwa hilo.
 
Huyo ana hasira tu, lkn hawezi kudumu chadema hata siku moja, kama Msanii Tanzania hawezi kuwa nje ya CCM na kutoboa, ni swala la muda tu hata yule Jackline Wolper Masawe naye alienda chadema njaa ilivyomshika karudi CCM!
Kwa kifupi wanaitumia chadema kama karatasi choo tu, lkn muda siyo mrefu mtasikia Wema karudi Chama Dola!

J.Wolper Masawe juu alivyokwenda chadema, chini amerudi chama Dola!
e3329682e811c63be34d00298f2561d3.jpg
.....
.....vimba upasuke
 
Back
Top Bottom