Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
Huachi vituko?
.....She just want changes nothing else kwanini mapovu she is human and she is a woman mlipo mtaka alikuwepo leo tumemtongoza vzr zaid she is ours is that a problem bro
mkuu vipi Sports City Lounge ya mshikajio Juma Pinto siku hizi? nakumbuka wewe ulikuwa mdau mkubwa sana pale. pamoja na da "prince" mwenyewe....jana naona wanoko wa Jamhuri wamempaka!
Angevuta subira.....Kulikuwa na haraka gani ya kujiunga Chadema? Si angesubiri mpaka kesi yake itolewe hukumu.
Au kasahau kwamba kuna style ya kukomoana inaendelea?
Kasha wehuka halafu hajalipwa au for how long atalipwa.....
.....Leo utawehuka
Msaada ni wa maana unapomsaidia the needyKosa kubwa kwa chadema kumpokea wema kwa kipindi hiki anachokabiliwa na tuhuma za kutumia unga.ushauri wangu wangesubiri sakata hili limalizike then ndo wahamue kumpokea.
Wakitokea wapi? Mnagundua uchafu wao wanapotoka kwenu?Dhambi ya kumtukana na kumuita Slaa kuwa ni Dr Mihogo itawaandama milele chadema.
Wachawi, mafisadi, wauza madawa ya kulevya, wahujumu uchumi wote watajiunga Chadema.
Kwani CDM ipo kwa ajili ya akina nani??Hivi kwa sababu ametuhumiwa basi hastahili kuwa Mtanzania?? Mbowe ameshutumiwa hivyo hafai kuwa CDM??
ok sijabahatika kuisikiaUmeisikia audio iliyotoka ya maongezi ya mama Wema na Steve Nyerere? Hapo ndio nimetolea hayo niliyoandika.
Hahahaaaaaa umenikumbusha Mkuu,wapi Nape the vuvuzela!!!Mama ongea na mwanao
Kinabo weweeeee!!! Utapata wa Kadi ya CDM??Mimi naanza na nina wengine watu kadhaa ambao pia watarudisha kadi zao mara wapatapo uhakika wa kile kinachosemwa. kuwa watu kama akina wema wamejiunga cdm. wema hakuwah kuwa mfano mzuri kwa watu wenye akili timamu. chadema kinapoteza uelekeo na misingi yake ya mwanzo.
tulipiga mbio vyema nani katuzuia? leo mtuhumiwa wa madwa ya kulevya ambaye amehama ccm kwa kuwa amepishana kimaslah au kimtizamo na watu walioko serikalini anaonekana ni mtu wa muhimu cdm? sisi makamanda wa ukweli mnatuweka wapi? wema anakuja kuidhoofisha cdm. kweli na waambia huu ni mkakati wa ccm kupitia usalama wa taifa kuidhoofisha cdm. na bado kuna wengine wa aina hiyo watakuja.
View attachment 473750
miaka kadhaa ijayo CHADEMA haitakuwa na hoja ya kuisimamia. itabigwa ganzi kwenye suala la ufisadi na itapigwa ganzi kwenye suala la madawa ya kulevya. CCM watasimama na kusema mnaona? tuliwakamata watu kadhaa CDM ikawachukua. na chadema itatumia nguvu nyingi sana kumsafisha wema huku siku zikienda.
wema sepetu ni rafiki mkubwa wa ridhiwani. wazungu wanasema "show me your friends i will tell your character" sasa huu hamuoni kuwa ni mtego? wapinzani ni sisi sisi tumekuwa tukipigia kelele habari za watu flan. TUNAANZA KUJIPA MAJUKUMU YA
KUWASAFISHA" hii ni kazi mbaya na chafu sana.View attachment 473748
pumzi imekata kwa sasa. nimeona safai hii inazidi kuwa nzito. huyu wema alisema wafuasi wa chadema hawajielew. leo hii anasemaje? wameanza lini kujielewa? tulikuwa tunapiga kelele suala la kuwashirikisha wasanii au waigizaji katika siasa. waigizaji maisha yao yameshageuka wamekuwa waigizaji. na haya matokeo mtakuja kuyaona ka wakati wake.
"SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA"