Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Wema hajaitwa chadema kaamua mwenyewe na akili zake na siyo kama chadema ni wasafi sana, kila Chama kina watu na tabia zao binafsi tabia ya mtu haiingiliani na uwanachama kesi yake ayamaliza mwenyewe
well said mkuu.. Kwanza kakesi kenyewe cha kutumia bangi,
 
SASA NDIYO CHADEMA INAKUFA RASMI, YAANI UOZO WOTE HUO WANAUCHUKUA? KWELI MBOWE UNAKIUWA CHAMA HATA BEN SAANANE ALIPOKUAMBIA UKWELI HATA LEO HATUJUI UKO WAPI.....NAMNUKUU SAANANE ALIVYOKUAMBIA BILA UOGA...."MWENYEKITI UNEFIKIA MWISHO, KAMA NI MPIRA UMEVUTIKA MWISHO, HAUVUTIKI TENA", MWISHO WA KUNUKUU, MPAKA LEO HATUJUI YUKO WAPI.....TUNAKUMBUKA YALIYOMKUTA WANGWE
 
Dhambi ya kumtukana na kumuita Slaa kuwa ni Dr Mihogo itawaandama milele chadema.

Wachawi, mafisadi, wauza madawa ya kulevya, wahujumu uchumi wote watajiunga Chadema.
halafu wananiacha hoi CDM
dhoruba ikiwageukia ,wanaisafisha...
mtu mbaya akihamia kwao wanamsafisha, jambo baya likiwa kwao wanalisafisha!!!
wana-CDM hayo ni mahaba sio upinzani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

mnatia aibu sana, hakuna sababu ya kujiita wapinzani
 
Mtu kakutwa na bangi bado tu serikali imlee kisa kada ?hii nchi tunaipeleka ka gari la uledi.....anyway, kila mtu ana brain yake...
 
CHADEMA kupitia Mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe, baada ya kesi ya kikatiba namba 1 ya mwaka 2017 inayotarajiwa kuwasilishwa Mahakama Kuu leo, kitazungumza kwa umma kupitia waandishi wa habari na kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga leo akiwemo msanii Wema Sepetu.
View attachment 473709
Mbowe na Lissu leo wanawasilisha ile hati ya mashitaka iliyorekebishwa na kumuongeza Mwanasheria Mkuu. Wema Sepetu yupo Katikati ya Esther Bulaya na Mbowe hii leo. Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura
View attachment 473719 View attachment 473718
Baada ya hapa Mbowe ataongea na Waandishi.

Ikumbukwe kwamba Lissu ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) na Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, jana alijitokeza mahakamani kuwa wakili wa Wema na wenzake wawili akiwamo mfanyakazi wa ndani. Msanii maarufu wa fani ya uigizaji wa filamu, Wema Sepetu anakabiliwa na kesi ya kukutwa na bangi. Kesi hiyo ya Wema iliahirishwa hadi Machi 15.




Jamani chadema mefikia lissu na mbowe wanahangaika na wema sepetu,so cheap of chadema .
 
Huu ni ujinga siwezi amini emotions zinakivuruga chama, tunashauriwa tusifanye maamuzi wakati tukiwa na hasira.......hii ya Wema na Chadema naona ni mapema sana kuizungumzia,na ninaona kama vile BABA KTK FAMILIA AKIMKEMEA MTOTO BASI MTOTO AWE BA UAMUZI WA KUHAMIA KWA JIRANI THIS IS REAL NONE SENSE
 
Hili jambo sio jema kwa waonao mbali.
Sitaki kuamini hili kwa sasa.
Ikiwa ndivyo tusitegemee muujiza kwa chadema kushika dola. Hii itakuwa kete muhimu kwa ccm...sitamani tufikie hapo

Mhuu! Hii reasoning hatari sana! It's as if wewe ndiye hakimu wa Watanzania - nani anafaa kujiunga na chama cha siasa na nani hafai. Nikuulize: alipokuwa CCM alistahili au hakustahili? Ameamua kujiunga Chadema, anastahili au hastahili? Then, vigezo vyako vya kijiunga na chama cha siasa ni vipi?
 
Nayachukia sana magamba na serikali yao ila kila nikiufikiria upinzani uliopo bongo nabaki najisemea 'masikini tz yangu'.

Sipendi hata kupiga kura kwa maana najua yote ni yale yale tu.
 
Ccm bwana wa ajabu sana, yaani wananikumnusha kale kamsemo ka sungura mjinga " SIZITAKI MBICHI HIZI" baada ya kudhindwa kuzipata .
Sema alishutumiwa akiwa ccm, mbona hamkumfukuza? Leo ametoka manaanza nyodo.
 
Wema mlipomtumia kama chambio ilikuwa sawa. Kujiunga mwenyewe chadema imekuwa nongwa.

Si ajabu maana kila anaejiunga na chadema toka ccm ngonjera ni zile zile
Uko sahihi Mkuu. Huyo dem ana sura nzuri sana, hata ningekuwa mimi uzalendo ungenishinda tu.
 
hivi Wema kajileta mwenyewe Chadema au Chadema ilimfuata?

kama kajileta mwenyewe, sioni tatizo kwa Chadema kumkataa.
ila kama Chadema ndiyo "wamemtongoza" basi they must be out of their freaking minds!
Hivi huwajui ccm walivokuwa na roho za kwanini na fitna? Utadhani wema alifungwa kamba kuja chadema.
 
Wema kuhamia CHADEMA unanufaika na nini? Vyama vyote kila mtu ana "interest" zake. Yaani kila mmoja akaangalia tumbo lake, Kwa hiyo hawezi kukusaidia. Vyama vyote viko kimaslahi, havimsaidii mtu. Cha kulalamika hapa ni kumlaumu aliye Leta siasa
 
Back
Top Bottom