Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

INAUMIZAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
YANI KWA MTU YEYOTE MWENYE AKILI INAUMIZA SANA!
damu jasho na ukhanithi waliopewa watu kwa ajili ya hiki chama leo kinafanya mambo ya aina hii unaweza ulie mpk ukae chini!
got nothing against wema ,ila CHADEMA MNATUUMIZA AISEEE!


Just imagine kama wangechukua nchi ingekuwaje kwa hali hii?
 
Naona mmemchafua sasa mnakuja na sizitaki mbichi hizi.Hivi Miezi mitatu alikuwa na Samia hamkujua kama ni Teja!?Hivi Ukishaona kuwa muathirika wa madawa haustahili kuwa Mtanzania??

Naona TID yuko busy na Mkuu wa Mkoa vipi ameshasafishwa??

Mnapenda sana kuabudiwa msipoabudiwa mnakuja na tararira nyingiiiiiii
 
Huu ni ujinga siwezi amini emotions zinakivuruga chama, tunashauriwa tusifanye maamuzi wakati tukiwa na hasira.......hii ya Wema na Chadema naona ni mapema sana kuizungumzia,na ninaona kama vile BABA KTK FAMILIA AKIMKEMEA MTOTO BASI MTOTO AWE BA UAMUZI WA KUHAMIA KWA JIRANI THIS IS REAL NONE SENSE
Baba akiwa anabaka watoto watoto wavumilie tu?
 
Ahahahha....... Yaani siasa za kibongo zimeka ki movie movie tu
 
Sisi tunacholenga ni kuchukua nchi basii cabinet ya serikali yetu ni wna cdm w damuu kbx hawa wanaokuja wanatuletea kuraa tuu ww huoni kuja kwa wema cdm ucshangae kuona wimbi la wasanii linaminika cdm sabab ya wema tuuu think twice
 
Mimi naanza na nina wengine watu kadhaa ambao pia watarudisha kadi zao mara wapatapo uhakika wa kile kinachosemwa. kuwa watu kama akina wema wamejiunga cdm. wema hakuwah kuwa mfano mzuri kwa watu wenye akili timamu. chadema kinapoteza uelekeo na misingi yake ya mwanzo.

tulipiga mbio vyema nani katuzuia? leo mtuhumiwa wa madwa ya kulevya ambaye amehama ccm kwa kuwa amepishana kimaslah au kimtizamo na watu walioko serikalini anaonekana ni mtu wa muhimu cdm? sisi makamanda wa ukweli mnatuweka wapi? wema anakuja kuidhoofisha cdm. kweli na waambia huu ni mkakati wa ccm kupitia usalama wa taifa kuidhoofisha cdm. na bado kuna wengine wa aina hiyo watakuja.

View attachment 473750

miaka kadhaa ijayo CHADEMA haitakuwa na hoja ya kuisimamia. itabigwa ganzi kwenye suala la ufisadi na itapigwa ganzi kwenye suala la madawa ya kulevya. CCM watasimama na kusema mnaona? tuliwakamata watu kadhaa CDM ikawachukua. na chadema itatumia nguvu nyingi sana kumsafisha wema huku siku zikienda.

wema sepetu ni rafiki mkubwa wa ridhiwani. wazungu wanasema "show me your friends i will tell your character" sasa huu hamuoni kuwa ni mtego? wapinzani ni sisi sisi tumekuwa tukipigia kelele habari za watu flan. TUNAANZA KUJIPA MAJUKUMU YA


KUWASAFISHA" hii ni kazi mbaya na chafu sana.View attachment 473748


pumzi imekata kwa sasa. nimeona safai hii inazidi kuwa nzito. huyu wema alisema wafuasi wa chadema hawajielew. leo hii anasemaje? wameanza lini kujielewa? tulikuwa tunapiga kelele suala la kuwashirikisha wasanii au waigizaji katika siasa. waigizaji maisha yao yameshageuka wamekuwa waigizaji. na haya matokeo mtakuja kuyaona ka wakati wake.

Na pia inaonekana hakufanya mahesabu mazuri kuhamia ccm. hili linaweza kumgharimu na siku akirudi CCM chadema watakuwa na hard time hasa.wema is not reliable. cdm walikuwa na jackline wolper. yu wapi sasa? walikuwa na ray yu wapi sasa? hawa watu si reliable. na kwa issue hii atarudi ccm akipiga magoti kubembeleza wamchukue wamsamehe na siku hiyo cdm watakuwa na wakati mgumu sana. kitakamchomrudisha wema atasema cdm kuna ukabila,ukanda na ubaguzi. hivyo ameona ni bora arudi ccm. haya nayasema kuna siku mtayakumbuka.


"SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA"
kumbuka mtu kutuhumiwa HATA kupatwa na hatia hakumuondolei mtu uraia wake, hivyo bado anahaki kuwa mwanachama chochote ila kwenye kugombea uongozi ndo itakua shida, Kumbuka CCM ina watu wengi kwenye issue ya ungam ufisadi, TEMBO/Pembe hadi katishia kwenda mahakamani lakini bado ni katibu mkuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Nacheka kwadharaaaau anakujua Nani hadi ujambishe watu

Wafu tu wenyewe hawakujui sembuse jf Wema kaamua kujiunga cdm

Nimapendekezo yake dawa inahusika nini hapo umesikia kiongozi gani akimsafisha wema

Mwafaa. [emoji125][emoji125][emoji125]
 
SASA NDIYO CHADEMA INAKUFA RASMI, YAANI UOZO WOTE HUO WANAUCHUKUA? KWELI MBOWE UNAKIUWA CHAMA HATA BEN SAANANE ALIPOKUAMBIA UKWELI HATA LEO HATUJUI UKO WAPI.....NAMNUKUU SAANANE ALIVYOKUAMBIA BILA UOGA...."MWENYEKITI UNEFIKIA MWISHO, KAMA NI MPIRA UMEVUTIKA MWISHO, HAUVUTIKI TENA", MWISHO WA KUNUKUU, MPAKA LEO HATUJUI YUKO WAPI.....TUNAKUMBUKA YALIYOMKUTA WANGWE
....
....lumumba kimenuka
 
2020 ndio mwaka wa maajabu kutokea katika siasa za Tz. 2015 ilikuwa kituko
 
Back
Top Bottom