Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

UPDATES:Taarifa zilizopatikana muda mfupi uliopita,zinaeleza kuwa Chama cha CHADEMA kupitia Mwenyekiti wake wa Taifa, Freeman Mbowe, baada ya kesi ya kikatiba namba 1 ya mwaka 2017 inayotarajiwa kuwasilishwa Mahakama Kuu leo, kitazungumza kwa umma kupitia waandishi wa habari kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga leo akiwemo [HASHTAG]#Wema[/HASHTAG] Sepetu. Taarifa kamili zitawajia baadae kidogo

Makene

CnP
 
Huyo ana hasira tu, lkn hawezi kudumu chadema hata siku moja, kama Msanii Tanzania hawezi kuwa nje ya CCM na kutoboa, ni swala la muda tu hata yule Jackline Wolper Masawe naye alienda chadema alivyomaliza kutumika na chadema wakamtupa, akajifunza na karudi CCM!
Kwa kifupi wanatumika chadema kama karatasi choo tu, lkn muda siyo mrefu mtasikia Wema karudi Chama Dola!

J.Wolper Masawe juu alivyokwenda chadema, chini amerudi chama Dola!
e3329682e811c63be34d00298f2561d3.jpg
Mbona hata Harmonize kamtumia kamtupa Wolper ni Uchafu
 
View attachment 473712

Nimeona kuna kila dalili zote za Wema Sepetu kwenda CHADEMA... Wema nimekuwa fan wako kwa muda mrefu sana, nakupenda sana na hata ningependa uwe mke wangu sema ndio hivyo tu.... Naomba nikupe ushauri wangu tafadhali usiende Chadema. Pamoja na matatizo ya utawala huu CCM bado ni chama kikongwe na bado kuna fursa kwako ndani ya CCM kuliko CHADEMA

Hichi ni kipindi cha mpito, 2025 mambo yatakuwa sawa Madame. Tafadhali sana, nakijua CHADEMA, nakijua CCM. Usichague kwenda CHADEMA na kuacha CCM.... Makonda amekuja na ataondoka na atakiacha CCM. Wako wapi wakina Mulongi, wakina Nyalandu.

Vuta subira Mama, nakupenda sana. Usiondoke CCM... Mimi ni mkosoaji mkubwa sana wa CCM kwa sasa, ila siwezi kuondoka bali navuta muda 2025 nijipange tena
Atarudi tena muda muafaka wanafiki akina mako awakiondoka!
 
Au wanatengeneza madili waliyosema kina Nyerere na mama sepetu
 
Back
Top Bottom