Msanii Soggy Doggy ajiunga CHADEMA

Msanii Soggy Doggy ajiunga CHADEMA

Huyu kijana ni mmoja wa wasanii waliokataa muda mrefu dhuluma inayofanywa na clouds entertainment wakaja na issue ya VINEGA akiwa na Sugu, Mkoloni na wengine. Sasa lady jd nae ndani

Shida yake kubwa ni bhangi na unga atuambie ameacha? Asije akawa Kama Mangwair maana naye yumo sana kila mtu anajua hilo
 
kwani kaacha kazi kwenye redio ya chama kikuu kinachopendwa na watanzania wengi
 
Miss xonception ni kujiunga na chama ili uwe Mbuge.............Tunakazi ya kuelimisha jamii kujua haki zao za msing"ccm waniita kazi hii kupandikiza chuki kwa wnanchi juu ya serikali yao"

shime tuungane
 
Tatizo lake kubwa ni powder asije akawa Kama Mangwair
 
Kamanda mla unga? Asije akawa Kama Mangwair maana Ule mchezo wake hajaacha. Huwezi pata kitu unapoteza muda wako bure lakini hata wewe huna cha kupoteza maana huna Mbele wala nyuma najua muziki haupo nawe tena

Mwigulu si upo bungeni au unasubiria ndiooooooo? Si bora hata mla unga kuliko wewe uliyeugua kichaa na ukabakiwa na upum.b.a.v.u kichwani!!!
 
...twende sogy, umekuja wakati muafaka spidi tuliyonayo ni kali sana adui wa tanzania anatuua kwa mabomu,tuungane tumkomeshe...
 
Mabadiliko yanakuja hivyo hivyo hata motto anaanza kwa kutambaa kasha anatimua mbio kama akina Rudisha wa Kenya, watakuja wengi tu kadri muda unavyozidi kwenda na hawaji kwa kuahidiwa vyeo wala nini ni mioyo yao inawatuma na jinsi wanavyoona mambo ya kukatisha tama mitaani kwao
 
Kamanda mla unga? Asije akawa Kama Mangwair maana Ule mchezo wake hajaacha. Huwezi pata kitu unapoteza muda wako bure lakini hata wewe huna cha kupoteza maana huna Mbele wala nyuma najua muziki haupo nawe tena

Unasema hayo kwasababu kajiunga na cdm au., angekuwa kwenye hichi chama chenu cha kigaidi (ccm) usingesema haya.
 
Mwigulu si upo bungeni au unasubiria ndiooooooo? Si bora hata mla unga kuliko wewe uliyeugua kichaa na ukabakiwa na upum.b.a.v.u kichwani!!!

Hujuwi ulitendalo wewe sio kosa lako ni matatizo ya kupenda Chamdomo maana ni ugonjwa mbaya unaharibu thinking capacity. Jichagulie tusi kubwa na umpe Yule anae kuweka mjini
 
Yaani hata wewe unawadharau watu wa segerea sana inabidi utuombe radhi maana huwezi kuwa kiongozi wetu. Umeacha ile tabia ya Mangwair? Maana wewe upo Kama the late kila mmoja anajua hilo
Mkuu ni kweli kabisa.
Huyo dogo pia niliwahi kumpa kipigo cha mbwa mwizi hapo dar maeneo ya airport kuna bar moja ilikua inaitwa 'KBV'nadhani bado ipo,walikua na chapombe mwinzie 'SUMA G'niliwapa kichapo sana ilikua 2001.
Jamaa eti ananiambia mwanaume mzima unakunywa soda.Ebana alijuta.
Ata hapa Arusha nimemtoa sana,maana kuna kipindi alichoka balaa.
Eti ndio awe mbunge wenu lol!
 
Mheshimiwa ndallo umeitoa wapi hii? Umenifurahisha sana mpaka mke wangu amenishangaa.
Migisha! Tatizo la CCM niwaongo mno halafu ni wasahaulifu! Nilishamwambiaga Mizengo Pinda kua ukiwa muongo pia usiwe msahaulifu!
 
Vipi leo umeamua kuitumia id hii. Vipi zile id za utaifakwanza na bungeni umeziacha?

Ile ya mdogo wako ambae nimemuoa ameenda nayo sokoni. Any way nipe ya kwako shemeji yangu
 
Mkuu ni kweli kabisa.
Huyo dogo pia niliwahi kumpa kipigo cha mbwa mwizi hapo dar maeneo ya airport kuna bar moja ilikua inaitwa 'KBV'nadhani bado ipo,walikua na chapombe mwinzie 'SUMA G'niliwapa kichapo sana ilikua 2001.
Jamaa eti ananiambia mwanaume mzima unakunywa soda.Ebana alijuta.
Ata hapa Arusha nimemtoa sana,maana kuna kipindi alichoka balaa.
Eti ndio awe mbunge wenu lol!

Pale KBV bado papo akikuletea tena utoto njoo nae pale transit tumpe adabu.
 
Back
Top Bottom