Chilisosi
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 3,050
- 748
CHADEMA ndio sehemu pekee ya kupata virobaBaada ya kufulia kwenye music wanakimbilia kwenye siasa.
CHADEMA ndio sehemu pekee ya kupata virobaBaada ya kufulia kwenye music wanakimbilia kwenye siasa.
Kwa sasa ndani ya CCM hakuna mwenye uwezo wa kulijua hilo kama ni changamoto, Nape akija hapa utasikia anasema kafulia huyo.Soggy Doggy huyuhuyu aliyekuwa mtangazaji wa Radio UHURU ya LUMUMBA? CCM mchukulie haya matukio ya vijana kujiunga na vyama vya upinzani kama changamoto kuu hii dhahiri inaonyesha kuwa chama chenu kinaendelea kukosa mvuto kwa vijana ambao ndiyo nguvu kazi ya nchi kwa kila sekta.
Majangaaaaaaaaaaaaa
kwahiyo akivuta Baghi hana haki ya kushiriki siasa, UNGA SI NYINYI watoto wa viongozi ndio mnawaletea vijana wenzenu watumie, Unyang'au mwingine banaBhangi oyeeeeeeeeeeee na people's sssssssss bhangi. Full powder kwa Soggy. Huyu jamaa kafubaa sana tatizo lake kubwa ni bhangi na powder maana ni teja mkubwa.amechakaa sana kuliko miaka ya nyuma Kama mtu aliyechanganyikiw
Bhangi oyeeeeeeeeeeee na people's sssssssss bhangi. Full powder kwa Soggy. Huyu jamaa kafubaa sana tatizo lake kubwa ni bhangi na powder maana ni teja mkubwa.amechakaa sana kuliko miaka ya nyuma Kama mtu aliyechanganyikiw
Chadema ndio sehemu pekee ya kupata viroba
Khaa!!! safi sana, Siasa ndiyo kazi inayolipa kuliko zote bongo. Waachieni vijana kwa wazee wajitupe kwenye siasa. Waache kazi zao za uzalishaji na huduma. Wakae vijiweni wakibishana kuhusu magamba au magwanda. Waendelee kukaa kwenye ofisi zenye ac zinazolipiwa kwa ruzuku inayotokana kodi zetu huku wakipanga jinsi ya kuweka fitina na uzandiki dhidi ya wapinzani wao. Wote wasiwe na mawazo ya kuipeleka nchi mbele zaidi ya kujua jinsi watakavyoupata uraisi, ubunge, udiwani au kuwa hata wapambe wa hao watu. Ama hakika baada ya miaka 10 tutakuwa tutakuwa dunia ya kwanza:disapointed:Mkuu Elli inabidi tukupe jukumu ukamfanyie kazi yule mzee shauri ilii naye ajiunge na vijana.
chama cha mateja mtawapa q-chila,chid benz afande ndo huyo nae,bado makahaba wa bongo movie
Usiwe na akili fupi wakati wa kufikia conclusion nani kakuambia tayari Soggy ameshakuwa kiongozi.Mkuu umenena yaani CDM kweli hakina viongozi hata huyu muhuni? Kweli kazi mmnayo
huyu jamaa ameacha kazi redio UHURU???
Chadema ndio sehemu pekee ya kupata viroba
kwani kaacha kazi kwenye redio ya chama kikuu kinachopendwa na watanzania wengi