Msanii Soggy Doggy ajiunga CHADEMA

Msanii Soggy Doggy ajiunga CHADEMA

Pale KBV bado papo akikuletea tena utoto njoo nae pale transit tumpe adabu.
Hahahahahaha Mkuu.
Pale transit motel napapata sana Mkuu.
Pako tulivu kinoma,nilipita hapo mwezi wa tatu mwaka huu naona pameboreshwa sana,maana ata ukiwa kule kwa ndani basi mtu wa nje hakuoni.
Namkumbuka bosi wa hapo alikua anaitwa Lowland,jamaa yuko poa sana mazee!!
 
Kweli naamini ccm ndio baba wa demokrasia na mfano wa kuigwa ktk siasa!

52fghv.jpg

Nimecheka sana kuona hizo sahani za Ubwabwa.Yaani hiyo ndio utekelezaji wa Ilani wa Papo kwa Papo.
 
Baada ya kufulia kwenye music wanakimbilia kwenye siasa.

Ndio maana sisi tumeamua kuwa na akina John Komba a.k.a Mzee wa Blueberry guest house Sinza ambae "hajafulia" kwenye muziki.
 
Ha ha ha Juliana yuko CCM siku hizi labda Justina utamkuta...(Song la "nimpende yupi kati yao")
Justina Juliana nawapenda sana...by Soggy.
Hata kina Luck Dube na wanamuziki wengineo wanatajwa katika uhuru wa Afrika kusini.....nanyi historia itawakumbuka!
All the best
 
Ameingia chaka aheri angewaomba clouds fm wampe promo arudi tena kwny muziki siasa haziwezi kumpa chati ya mziki wake uliopotea
 
Vijana waliojiunga na chadema wanakaribia 90.1% ya vijana wote tz...ni mafanukio ya ajabu...karibu kamanda.
 
hivi mpaka leo anaitwa msanii? Naona chadema ndio imekua angukio la wakosa ajira, wanasiasa walio jichokea ndio kimbilio lao na sasa hata wasanii walio jichokea wanatimkia huko. Njaa mbaya sana
 
Amekimbilia huko kwa lengo la Kutaka Ubunge tu?
Hakika hiko chama ni majanga......lakini huyu kafukuzwa Radio Uhuru ambayo mmiliki wake ni CCM!
 
Inashangaza sana huyu jamaa kajiunga jana Chadema anataka apewe nafasi ya ubunge, wakati kina Mohamedi Mtoi, kila siku wanatumika lakini hata kiongozi wa kata ajapewa huko Bumbuli.

CC; chama,
Mtoi nani anamjua zaidi ya ndugu zake na sisi wa JF? Atabaki kutoa matamko ya cdm tu humu jf hamna zaidi ya hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom