Judi wa Kishua
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,241
- 1,472
Sogi Mbwa ameamua kuchekesha jamii...Makongoro alivyoibadili Segerea kuwa ulaya ndogo nani wa kumtoa..barabara St maryz,Kisukuru na sasa inakuja umoja road....siku izi Tabata ndio cake mpya hapa mjini yote iyo ni Makongoro