Mkuu umenena yaani CDM kweli hakina viongozi hata huyu muhuni? Kweli kazi mmnayoPamoja na kwamba ninapenda mabadiliko, lakini hii sio sahihi na siafiki. Umaarufu sio uongozi. Huyu Soggy hivi bungeni ataenda kufanya nini? Jamani, ebu tuwe wakweli; hivi tunamuweka kwenye mizani gani tukimsoma Soggy kupitia kwenye ujumbe wa nyimbo zake? Kweli ana uwezo wa kuchambua masuala mtambuka yanayoikabili nchi?
CHADEMA, ni heri kuliacha jimbo kwa CCM (kama kuna mgombea bora) kama kuliko kupoteza nguvu na fedha kwa mtu ambaye sio sahihi.