Msamvu, Morogoro: Vibanda 8 vya biashara katika eneo la Stendi ya Mabasi vyateketea kwa moto

Aisee mbona majanga hayaishi kwetu, sitaki kuamini chanzo ni umeme naamini pale palifungwa vifaa imara circuit brake main switch sio za kubabaisha.
 
Pale msamvu Kuna Nini? Mara gari la petrol, Mara gesi sasa Mara Hii n kituoni kabisaaaa... Naona Kuna laana mle.... Maana tangu kituo kijengwe mabalaaa tu pale
Ila gari iliangukia nyuma kidogo na kituo cha Msamvu mkuu, iliangukia kituo cha maraha mitaa ya itigi.
 
Kituo kimejengwa vizuri miundombinu mizuri
Tukio linatokea tulikuwa bar terminal hapa msamvu
Nliona tu watu wanahaha kukimbilia kuona imekuwaje

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app

Hebu chukua tahadhari mkuu, jikinge. Bado tunakuhitaji sana.

Ni hitilafu ya umeme au chanzo ni nini? Walifanikiwa kuuzima kwa wakati kabla madhara makubwa kutokea?

Shukrani
 
Naamini kuna aidha shida ya mfumo wa umeme Morogoro kwa sababu hata matukio ya nyumba za watu kuungua ni mengi sana au kuna tatizo la kiroho hasa ukizingatia matukio ya mioto mingine isiyosababishwa na umeme
 
Jamaa haitishi rescue team wala fire anaitisha camera warekodi tukio

Jr
Huyu jamaa ni Bogas kabisa...
Mimi baada ya kuangalia video nimebaki namshangaa yeye, Bora angekaa kimyaa..
Hawa ndio maana wanakamatwa....

Ita Fire....
Toa support....
Nakataa kabisa kama amekosa kabisa cha kufanya, hata kusogeza/kuokoa mali za pembeni zisikutwe na moto..
Msaada ni watu na unaanza na mtu mmoja,

Fire nao sijui watajitetea kwa lipi....
Wanasingiziaga vichochoroni gari haziwezi pita, hapa je.....?, Wasije wakasema umbali hili ndio halitaingia akilini....

Ajali imetokea mjini...
Haitoshi tena stend...
Hio nayo haitoshi Stend kuu ya Mji...
Haitoshi nayo, Makao Makuu ya Mkoa...

Futuhi sijui tumerogwaa.....

Kuna ajali ilitokeaga kule Bariadi simiyu(ngoja nifukue ule uzi) eti gari la zima moto limefika tu site lianze uokoaji, wakiwa wanajipanga eti likaanguka?
Screenshot_20200531-072550.jpg

Wananchi ndio wakaanza kuchota maji na mchanga kuzima moto, Gari limetulia tuu..
Mimi nilibaki mdomo wazi, Labda wewe mganga utatusaidia...
 
Back
Top Bottom