News Alert: Msamvu, Morogoro: Vibanda 8 vya biashara katika eneo la Stendi ya Mabasi vyateketea kwa moto

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
9,055
2,000
Narudia Tena Ile ajali ya Moto haikutokea msamvu ila ni karibu tu na ili muelewe location ndio eneo maarufu mnalolijua wengine ni msamvu ila Ile ajali haikutokea msamvu ilitokea njia panda ya kwenda mafisa na mji mpya ambapo ni vitongoji vikubwa vya hapo Moro na asilimia kubwa walioungua ni mateja wa mafisa. Nyuma ya hilo eneo Kuna mtaa maarufu wa mateja morogoro nzima.
 

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
9,055
2,000
Kwa msiojua ule Moto uliuwa wasio na hatia wengi ila pia mateja na wezi MTAANI hapo wamepungua Sana kiufupi kwa wanaolijua Hilo eneo watakuambia jinsi lilivyo na mateja wengi. Kimsingi mateja walifanyiwa pruning.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom